Leo hii Lijualikali ni DC, Wenje na Peter Msigwa hawana cheo chochote, hivi wanalala?
Daaaa! Wenjeee, daaaaa Peter Msigwa hata UJUMBE wa nyumba kumi hamna?😊🤣😵💫😁😁😄😃😀
Kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto, kuhutubia kwa lugha ya Kiingereza alipokuwa akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinafikirisha sana kuhusu mustakabali wa...
Kwa sasa hakuna chombo cha dola kinachochukiwa na wananchi kama jeshi la polisi, na kadri jeshi linavyochukiwa ndivyo wananchi wanavyozidi kuichukia serikali.
Jeshi la polisi linatuhumiwa...
Dkt. Tulia alitangaza kugombea usipika GHAFLA akabadili gia angani, sijui nini kilimsibu ila lipo jambo ndani ya CCM lilijitokeza.
Sizungumziii hata like la Majaliwa, maana staki nongwa mimi...
Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 ni ya kihistoria, ikionesha uadilifu wa hali ya juu. Imejengwa juu ya ushahidi wa kina, ushirikishwaji wa wananchi na kujitolea...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi...
Ndugu zangu Watanzania,
Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Nape Moses Nnauye Katibu Mwenezi wa CCM Mstaafu aliyeongoza Kampeni maarufu ya kujivua Gamba Ndani ya CCM ili Wale walioitwa Mafisadi na...
William Ruto aligopa kumualika Rais Samia nchini Kenya kuongelea refinery ya Tanga kwasababu aliogopa atazomewa na vijana Kenya na maandamano yangekuwepo. Lakini kwa akili yake ndogo haelewi...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia kwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, kimeishauri Serikali kuangalia uwezekano wa kutoa ruzuku kwenye mafuta. Hatua hiyo inalenga kupunguza...
Leo sina salamu, siku hazigandi, wanaonizunguka wananichora tu, kuna siku kisiwa kitatawaliwa kibabe na Tanganyika kama Tawan, na hakutakua na namna, niyafanyayo mpaka vitukuu wangu watajutia...
05 May 2026
Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA
MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA...
30 April 2026
Brenda Rupia Kamanda: Ukandamizaji na Upinzani wa Kisiasa: Utawala wa Sheria nchini Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=7iFw37GQQb4
Brenda Rupia Kamanda, msemaji wa chama...
Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na...
Makonda haruhusiwi kuingia USA-World cup hata kama waziri
The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign...
Uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi ambao binafsi sitokuja niusahau. Kwani ni uchaguzi ambao CCM walipata pigo, na aibu ya Karne.
Kwa miaka mingi CCM wamekuwa wakiiba kura za wapinzani, kitendo Cha...
Unamuita Drogba wakati Sekta ya mpira ikiwa na matatizo lukuki, ukata mkubwa wa Vifaa na miundombinu ya Michezo Mashuleni na Mitaani, hatuna academy za kutosha nchini.
Suala la Msingi:
Wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.