Fitina za ATCL? Precision Air yahamishia base yake KIA

Fitina zilizoiua Fast Jet sasa zimehamia kwa Precision Air. Precision Air wamepata vikwazo vingi pale uwanja wa Mwl. Julius Nyerere na kuamua kuhamishia Base ya KIA.
Hakuna jiwe litabakia bila kugeuzwa.
Ukiona mambo yako yanakua magumu awamu hii jua kabisa ulikua mpiga dili[emoji23]
 
Fitina zilizoiua Fast Jet sasa zimehamia kwa Precision Air. Precision Air wamepata vikwazo vingi pale uwanja wa Mwl. Julius Nyerere na kuamua kuhamishia Base ya KIA.
Mwezi April ndugu yangu nilimpokea Airport kutoka Bukoba, aliniambia walikuwa abiria wawili ndani na Rubani na wafanyakazi. Toka siku hiyo niliyategemea haya
 
Tungoje waende Mumbai na kurudi tutajua ndege ya abiria 262 imekwenda na wangapi na imerudi na wangapi. Mimi najiuliza wanakwenda kufanya nini wote hao na wa kuja wanafuata nini Dar?
 
Ngosha atawafuata huko KIA na kuwamaliza. Chezea ngosha wewe!

Back
Top Bottom