Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 44,934
- 36,847
Hivi milioni mia3.34 ni za kuwatoa jasho kweli my friends, ladies and gentlemen?
Kulikoni chadema chadema wawe wagumu kiasi hiki kwenye kuchangia pesa kwaajili ya chama chao, lakini ni wepesi sana kutukana na kuporomosha matusi wakitetea chama hicho?
There must be something wrong somewhere within chadema circle. What do you think is in between?🐒
Mungu Ibariki Tanzania