Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii dunia ina tabu sana kusema kweli, na shida hizi zinakuja zaidi kwa vi nchi maskini ama kwa nchi zisizo na malengo yoyote ya kuikamata Dunia hii, kKwa kifupi wale waliyotayari kuendelea kuwa...
0 Reactions
5 Replies
731 Views
Komredi Kinana amewataka wana CCM kuchagua viongozi waadilifu watakaosaidia chama kusonga mbele. Kinana amesema ni marufuku kuchagua wala rushwa kwani watakigharimu chama na serikali yake. ---...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Maxence Melo na wenzio tembeeni kifua mbele Nchi inawaunga Mkono. Ni maneno yake Nape Waziri mwenye akili nyingi aliyoyaongea wakati wa Uzinduzi wa Jamiicheck ya Jamiiforums na Utangazaji wa...
0 Reactions
6 Replies
741 Views
Jiji letu la Dar limendelea kuchangia mapato ya taifa kwa zaidi ya asilimia 90 ya makusanyo kama ambavyo imethibitishwa na taarifa ya makusanyo ya mapato kwa mwaka 2020/21
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Bashiru amenikumbusha kitu, maendeleo ni nguvu ya wananchi na hakuna kitu kinajengwa kwa pesa ya Rais, iwe shule, madaraja au hospital yote ni michango na kodi za wananchi. Misafara ya Rais na...
2 Reactions
10 Replies
613 Views
Hotuba ya bajeti ya 2022/2023 imetufumbua macho watu wengi jinsi mambo ya hovyo yaliyokuwa yanafanyika serikalini. Hayati Magufuli na tawala zilizopita walikuwa hawabani kabisa matumizi ya...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwaka 2022 unakaribia kumalizika huku wananchi wengi wakilalamikia sana utendaji wa baadhi ya mawaziri ambao wamepewa dhamana na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa mwaka 2022 Mawaziri...
5 Reactions
48 Replies
5K Views
ONGEZEKO LA 23.3% NI KWA WATUMISHI WOTE AU ASILIMIA INASHUKA MSHAHARA UNAVYOPANDA!? Leo 12:15 hrs 15/05/2023 Tangazo la kuongeza mshahara la Zanzibar,Kenya na Uganda vs tangazo la kuongeza...
6 Reactions
22 Replies
7K Views
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilei ya Miaka 50 ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato leo Tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kukabiliana na hali ngumu na ukali wa maisha napendekeza wafanyakazi wote walio katika mfumo rasmi wa ajira Tanzania walipwe kwa awamu mbili(2) kwa mwezi badala ya moja kama wanavyolipwa sasa...
15 Reactions
41 Replies
2K Views
Wengi waliumizwa vibaya na utawala wa Marehemu Magufuli. Taifa liliumizwa na utawala wa Magufuli: 1) Katiba iliwekwa kapuni 2) Sheria ziliwekwa jalalani 3) Utekaji, upotezaji na mauaji ya watu...
23 Reactions
103 Replies
5K Views
Jana nimeshuhudia ukamataji usio mzuri na hasa kwa watu wa bodaboda wanakimbizana na gari ya maliasili kwenye mitaa ya watu kwa spidi ile ni hatari sana! Mmoja kagonga trekta sijajua kama...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Waliposema Nchi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli? Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni...
20 Reactions
116 Replies
7K Views
Hawa mawaziri wanaoongoza hizi wizara wana ajenda ya siri ya Kumng’oa Samia. Mama kaa chonjo watakugharimu Urais wako wewe endelea kuwakumbatia, wananchi tunakuangalia kwa jicho la tatu
2 Reactions
7 Replies
616 Views
Katika mazingira halisi Uchaguzi Mkuu wa 2020 walioshindana Majukwaani ni Rais Samia na mgombea Urais wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu Rais Samia akiwa makamu wa Rais aliwezesha CCM kupata...
1 Reactions
6 Replies
773 Views
Yaani ipo hivi sio kwamba Tanzania ni maskini na sio kwamba kila kiongozi ambaye anaingia madarakani ndo hawezi kuongoza Tz na kuifikisha pale raia watanzania wanapenda na sio Tanzania peke yake...
0 Reactions
2 Replies
571 Views
Wiki hizi mbili status yangu WhatsApp imejazwa na posti za jumbe za heri kwa wafanyakazi, ndugu jamaa na marafiki wakiwatakia heri watu wao wanaogombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya CCM...
0 Reactions
3 Replies
410 Views
This is shame Mahindi ya Serikali yametawanywa karibia nchi nzima lakini bei yake iko juu kuliko matarajio ya wananchi ambayo yalikuwa ni kuwasaidia kupunguza gharama za maisha lakini sh 900...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Neno CCM masikioni Sasa Ni Kama kinyaa kwangu. Miaka 61 ukiongezea na ya TANU watanzania bado Wana nyimbo zile zile. Ufisadi.....ukupe, elimu duni......walimu wachache....uhaba wa vifaa vya...
1 Reactions
1 Replies
329 Views
Viongozi wengi waliopumzishwa wamekaa kimya huku wakijitaftia mkate wa kila siku kupitia kwenye kilimo na biashara mfano mzuri wapo wakina Lukuvi, Kabudi, Ally Happi, Makonda Mzee Ndugai n.k.wewe...
15 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom