2020 Mgombea mwenza wa CCM mh Samia na Tundu Lisu wa Chadema ndio walizunguka Nchi nzima kuomba kura na CCM kupata 84%

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,855
141,793
Katika mazingira halisi Uchaguzi Mkuu wa 2020 walioshindana Majukwaani ni Rais Samia na mgombea Urais wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu

Rais Samia akiwa makamu wa Rais aliwezesha CCM kupata Ushindi mnono wa 84% ya kura zote huku Tundu Lisu akijizolea 13%

Ndio najiuliza 2025 Chadema watapata Hata 5% kwa sababu sasa watashindana na Rais Samia siyo tena makamu wa Rais kama 2020

Mlale unono!
 
binafsi naheshimu sana uhuru wa watu, lakini napata shida sana nikiona kijana anaona ukweli wa CCM upo kwenye sanduku la kura.

na kwa Mzee naona mtoto wake ni yule mjinga aliye hai.
 
Katika mazingira halisi Uchaguzi Mkuu wa 2020 walioshindana Majukwaani ni Rais Samia na mgombea Urais wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu

Rais Samia akiwa makamu wa Rais aliwezesha CCM kupata Ushindi mnono wa 84% ya kura zote huku Tundu Lisu akijizolea 13%

Ndio najiuliza 2025 Chadema watapata Hata 5% kwa sababu sasa watashindana na Rais Samia siyo tena makamu wa Rais kama 2020

Mlale unono!
Saa100 alipigwa kura na nani? Unataka kubadili nyekundu kuwa njano?
 
Bila wandewa hamtoboi
FB_IMG_16677474382195648.jpg
 
Katika mazingira halisi Uchaguzi Mkuu wa 2020 walioshindana Majukwaani ni Rais Samia na mgombea Urais wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu

Rais Samia akiwa makamu wa Rais aliwezesha CCM kupata Ushindi mnono wa 84% ya kura zote huku Tundu Lisu akijizolea 13%

Ndio najiuliza 2025 Chadema watapata Hata 5% kwa sababu sasa watashindana na Rais Samia siyo tena makamu wa Rais kama 2020

Mlale unono!
MWAKA 2020 hakukuwa na UCHAGUZI bali kulikuwa na UTEUZI wa KIHISTORIA uliofanywa na Magufuli Sijui yupo wapi maana haonekani ALIFANYA UTEUZI WA WABUNGE WOTE
 
Back
Top Bottom