Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Tetesi zlizopo ni kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikilipwa mabilioni ya fedha na kampuni za nje lakini fedha hizi zimefanywa siri bila kuingizwa katika kasri za serikali, na hivyo kuwa nje ya...
32 Reactions
204 Replies
25K Views
Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) tunalaani kitendo cha Serikali kuvunja vibanda vya wafanyabiashara/wajasiriamali wadogo katika Soko Kuu la Kariakoo, Jijini Dar Es Salaam. Tukio hili ni la...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia. Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la...
22 Reactions
109 Replies
7K Views
Uchunguzi uliofanywa na Jumuiya ya Kiafrika ya Madawa ya Maabara (ASLM) imeonesha nchi 14 za Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania ikiwemo zinakabiliwa na hatari ya kuongezeka wagonjwa wenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kutoka Lindi.. Maelfu ya Wanachadema na wanachama wa ACT Wameungana na Wananchi wa Lindi Kumlaki na kumpokea mh. Rais Dr. Samia alipowasili Mkoani humo kwa ziara ya kikazi sanjali na kuwa mgeni...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Na Deodatus Balile, Dubai Wiki iliyopita nimepata fursa ya kusafiri kwenda Dubai. Nimetembelea maeneo kadhaa, ila moja ya maeneo hayo ni Bandari tatu zinazoendeshwa na Kampuni ya DP World...
31 Reactions
132 Replies
7K Views
Mama mara kwa mara anaongelea swala la kubambia watu kesi lakini ha kujiuliza kuna hata mtu mmoja aliwaho shitakiwa kwa kubambikia wati kesi? Kumbuka kuna pesa ya walipa Kodi inapotea kuendesha...
0 Reactions
6 Replies
495 Views
Kwa mujibu wa sheria/taratibu za Utumishi wa umma, mfanyakazi kuwa na madeni kupitia kiasi ni jambo linaloweza kuhatarisha ajira yako serikalini. Binafsi najiuliza, serikali ambayo yenyewe ina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuna kitu kinawafurahisha watawala ka kuona kiwango cha uzuzu cha Watanzania ni cha kiwango cha kutisha. Unakuta pesa zimepigwa sehemu fulani sasa njoo kwa Wajinga sisi utasikia ; Ohoo Mama...
15 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa" ya leo inajikita kwenye Ibara ya 18 ya Katiba kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, yetu ya JMT ya mwaka 1977, kuanzia Ibara ya...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Wafuasi wa vyama vikuu vya upinzani nchini CHADEMA na ACT Wazalendo Mkoani Lindi wameungana na wenzao wa CCM pamoja na wananchi katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande...
16 Reactions
62 Replies
5K Views
Kumekuwa na utamaduni wa kulaumu wapinzani mali za serikali zikishikwa kwasababu ya uzembe wa serikali na ukatishaji wa mikataba. Sasa tusije kusikia Mwigulu akija hapa badala ya kuelezea...
2 Reactions
6 Replies
644 Views
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga huku akisema uchaguzi huu hautakuwa...
10 Reactions
23 Replies
4K Views
Uongozi wa chama cha walimu wilaya ya nyamagana upo njia panda kuhusu zilipo fedha za vituo yaani pesa zinazorudishwa mashuleni kwa ajili ya kuendeleza shughuli za chama mashuleni. Zimesitishwa...
0 Reactions
4 Replies
585 Views
~Kishindo cha Shaka uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Amani ~Asema ni CCM ndiyo yenye uwezo wa kuleta maendeleo ya nchi ~Asisitiza kazi nzuri inayofanywa na Rais Mwinyi inaonekana CHAMA Cha...
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Ndugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania. Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa. Cha kushangaza na kusikitisha...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia...
46 Reactions
220 Replies
21K Views
Kuhusu Ya endeleaayo kwenye kuiba mitihani na kubadili namba za watahiniwa Baada ya shule husika kufungiwa kuwa kituo cha Mitihani ya Baraza, Nini Hatma ya Wanafunzi waliokuwa wanasoma shule...
2 Reactions
3 Replies
587 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…