Bila kupoteza mda niende kwenye mada.
Aiseee katika harakati za kutafuta mkate wa watoto nimefanikiwa kupita sehemu nyingi za Tanganyika na nimekuwa nikiona watu wengi wakitoa maduku duku yao...
Mbunge machachari na Mwenye Ushawishi mkubwa kwenye Bunge la Ulaya , Mh David McAllister , amekutana na Viongozi wa Chadema Jijini Brussels Ubelgiji , na kufanya nao mazungumzo .
Viongozi wa...
Kumekuwa na sintofahamu pale utekelezaji wa miradi ya Maendeleo kwa fedha za kutoka Serikali kuu unapochelewa kukamilika katika Halmashauri.
Mara nyingi lawama zimekuwa zikienda kwa Wakurugenzi...
Nipo hapa home umeme umekata.
Na hii ni Desembe 3.
Mlisemea Kinyerezi 1 itakuwa imekamilika.
Sasa mbona mmedanganya bunge?
====
Walichokisema November 2, 2022
Serikali imesema makali ya mgao...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere hapa ulikurupuka kusema baadhi ya viongozi walichochea vurugu sio kweli. Ukiwa Kiongozi ni muhimu kutumia burasa na kuchunga kinywa chako Mbele ya...
Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na...
Wakuu wa mikoa ambao hadi tumeuanza Mwezi Disemba wanachapa kazi kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu je kati ya hawa ni nani aliyefanya vizuri zaidi na ni nani aliyemuangusha Mh Rais Samia...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho hakitashiriki uchaguzi wa kuwapata wabunge watakaoiwakilisha Tanzania kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashiriki (Eala).
Uchaguzi huo...
Nitataja mambo kadhaa
1. Kwanini mchakato wa katiba mpya awamu ya pili ya Mh Jakaya utumie mabilioni ya pesa kisha uwe abandoned kirahisi tu hivi????. Hizo fedha zingesaidia kumaliza tatizo la...
02 December 2022
Sumbawanga, Rukwa
Mbunge pekee wa CHADEMA Mh Aida Khenan aelezea mbinu alizotumia mpaka kushinda ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020
Hali ilikuwa mbaya baada ya CCM...
Siku ya watu wenye ulemavu; Tuondoe vikwazo.
Utangulizi
Leo tarehe 3 Disemba, Duniani kote wadau mbalimbali wanaadhimisha siku ya watu wenye ulemavu. Siku hii hutumika kutathimini jitihada za...
Katiba ni nini? Tunaweza kusema Katiba ni dira ya taifa au mwongozo mama wa taratifu na miongozo itumikayo kuliongoza taifa.
Kuna mambo muhimu sana mengi ambayo ni ya msingi katika mustakabali...
Langu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia Serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma...
Hii tabia ya kuivua nguo nchi yako kwenye MAJUKWAA ya kimataifa inasaidia kivipi kushika DOLA kwa mtu, hapa afrika Kila mpinzani aliwaunda serikali alitumia MAJUKWAA ya kimataifa KUISEMA vibaya...
Hii miccm imevunja morali ya watanzania kuipenda nchi yao kwasabb ya uongozi mbovu na usio na dira wala mwelekeo.
Kila zama na awamu wamekuwa wakija na ahadi za kijanjajanja na ulaghai za...
Hii ndiyo taarifa mpya kuhusiana na ziara ya viongozi wa CHADEMA inayoendelea barani Ulaya.
Tayari viongozi hao wanaoongozwa na Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu wamekutana na kufanya mazungumzo...
Pamoja na kwamba Rais wa Tanzania ni Rais wa wananchi wote, lakini ziara zake nchini Tanzania zinakuwa ni ziara za Mwenyekiti wa CCM, ukiacha hotuba labda na matukio ambayo ndiyo huwa ya kitaifa...
Yes mimi ni mwanaccm damu. Lakini nikimsikiliza Dkt. Bashiru akikosoa wanaomsifia mama napata kichefu chefu.
Huyu ndo katibu mkuu wa kwanza wa CCM kufanya biashara ya kununua wapinzani kwa pesa...
Sikumbuki ni mwaka gani lakini nakumbuka kwenye moja ya bajeti zake aliitekeleza kwa ufanisi Kwa kiwango ambacho hata Mbowe na wenzie walikosa kabisa cha kukosoa wakaishia kusifia tu.
Kwa jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.