Ujinga wa Raia ni furaha kwa viongozi

Ujinga wa Raia ni furaha kwa viongozi

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,575
Reaction score
8,910
Hakuna kitu kinawafurahisha watawala ka kuona kiwango cha uzuzu cha Watanzania ni cha kiwango cha kutisha. Unakuta pesa zimepigwa sehemu fulani sasa njoo kwa Wajinga sisi utasikia ;
  • Ohoo Mama anaupiga Mwingi,
  • Mungu anawaona,
  • RIP Magufuri,
  • Tutaona mengi sana,
  • Tunaisoma number na kadhalika
  • Tutakoma sana mwaka huu.
  • CCM Mbele kwa mbele

Sasa hizo hapo je zina impact gani? zinabatilisha nini? Ukishasema Mama anaupiga mwingi nini kinabadilika?

Haya ni aina ya matamshi yanayowapa faraja sana watawala kuona kwamba kumbe uzuzu upo, haiwezekani tunaibiwa pesa zetu then sisi tume invest sana kwenye utani.

Huu uzezeta wetu na ujinga utatukwamisha sana, na ndio sababu ya nchi kuto songa mbele na huu ujinga wa raia usipoisha hakuna changes zitatokea.
 
Hizo Siasa, wewe piga kazi mrume, ukiyafuata ya mitandaoni unaweza chukua Gobole ukaingia msituni. nahodha tumempata Jahazi lasonga.

Samia ni Nahodha wa Maana,huku Mitaani fedha imeanza kuonekana jana tu jamaa kanirushia mwamala 250000 si haba tulikuwa tumepoteana siku nyingi.
 
Hizo Siasa, wewe piga kazi mrume, ukuyafuata ya mitandaoni unaweza chukua Gobole ukaingia msituni. nahodha tumempata Jahazi lasonga.

Samia ni Nahodha wa Maana,huku Mitaani fedha imeanza kuonekana jana tu jamaa kanirushia mwamala 250000 si haba tulikuwa tumepoteana siku nyingi.
Tuseme Amina !
 
Hakuna kitu kinawafurahisha watawala ka kuona kiwango cha uzuzu cha Watanzania ni cha kiwango cha kutisha. Unakuta pesa zimepigwa sehemu fulani sasa njoo kwa Wajinga sisi utasikia ;
  • Ohoo Mama anaupiga Mwingi,
  • Mungu anawaona,
  • RIP Magufuri,
  • Tutaona mengi sana,
  • Tunaisoma number na kadhalika
  • Tutakoma sana mwaka huu.
  • CCM Mbele kwa mbele

Sasa hizo hapo je zina impact gani? zinabatilisha nini? Ukishasema Mama anaupiga mwingi nini kinabadilika?

Haya ni aina ya matamshi yanayowapa faraja sana watawala kuona kwamba kumbe uzuzu upo, haiwezekani tunaibiwa pesa zetu then sisi tume invest sana kwenye utani.

Huu uzezeta wetu na ujinga utatukwamisha sana, na ndio sababu ya nchi kuto songa mbele na huu ujinga wa raia usipoisha hakuna changes zitatokea.
Umesahau na Simba na Yanga ndio habari kuu za Nchi !! Jana yanga kafungwa na Ihefu watu wamekesha wanakunywa pombe. !!
 
Hakuna kitu kinawafurahisha watawala ka kuona kiwango cha uzuzu cha Watanzania ni cha kiwango cha kutisha. Unakuta pesa zimepigwa sehemu fulani sasa njoo kwa Wajinga sisi utasikia ;
  • Ohoo Mama anaupiga Mwingi,
  • Mungu anawaona,
  • RIP Magufuri,
  • Tutaona mengi sana,
  • Tunaisoma number na kadhalika
  • Tutakoma sana mwaka huu.
  • CCM Mbele kwa mbele

Sasa hizo hapo je zina impact gani? zinabatilisha nini? Ukishasema Mama anaupiga mwingi nini kinabadilika?

Haya ni aina ya matamshi yanayowapa faraja sana watawala kuona kwamba kumbe uzuzu upo, haiwezekani tunaibiwa pesa zetu then sisi tume invest sana kwenye utani.

Huu uzezeta wetu na ujinga utatukwamisha sana, na ndio sababu ya nchi kuto songa mbele na huu ujinga wa raia usipoisha hakuna changes zitatokea.
Sisi akina cc Johnthebaptist na wenzake humu kazi yetu ni kusifu tuu mkuu. Hii yote kwasababu ya posho ya kila siku pale tunapo praise and worship!!
 
Huku wengine wanapitisha mabakuli kwenye mikutano kuomba hela kwa wananchi masikini wakisha chukua hela wanakula wanawaacha wananchi masikini.
 
Hakuna kitu kinawafurahisha watawala ka kuona kiwango cha uzuzu cha Watanzania ni cha kiwango cha kutisha. Unakuta pesa zimepigwa sehemu fulani sasa njoo kwa Wajinga sisi utasikia ;
  • Ohoo Mama anaupiga Mwingi,
  • Mungu anawaona,
  • RIP Magufuri,
  • Tutaona mengi sana,
  • Tunaisoma number na kadhalika
  • Tutakoma sana mwaka huu.
  • CCM Mbele kwa mbele

Sasa hizo hapo je zina impact gani? zinabatilisha nini? Ukishasema Mama anaupiga mwingi nini kinabadilika?

Haya ni aina ya matamshi yanayowapa faraja sana watawala kuona kwamba kumbe uzuzu upo, haiwezekani tunaibiwa pesa zetu then sisi tume invest sana kwenye utani.

Huu uzezeta wetu na ujinga utatukwamisha sana, na ndio sababu ya nchi kuto songa mbele na huu ujinga wa raia usipoisha hakuna changes zitatokea.
Hakika kabisa. Kwa kweli taifa letu lina watu wajinga sana likiongozwa na vijana ambao ndio nguvu kazi kubwa ya taifa. Sasa hivi kama kuna jambo baya la ubadhirifu limefanywa vijana ama watasimama na mama au wataongea vijimaneno hivyo hapo juu. Shida nyingine ni hizi timu zetu mbili za simba na yanga. Zimekuwa vichaka pia vya kuficha maovu ya serikali na kuendekeza ujinga. Vijana wengi wameona ni faraja kila kukicha kuimba tu simba na yanga badala ya kushughulika na mustakabali wa maisha yetu hata kama kuna jambo kubwa la kutikisa nchi limetokea. Hakika tuna vijana wapumbavu sana nchi hii.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom