Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WANAFUNZI TANZANIA NA CHINA KUBADILISHANA UZOEFU Na WyEST DSM # Mkataba ushirikiano wasainiwa DIT na Taasisi ya Ufundi (CQVIE) ya China # Prof. Mkenda ashuhudia utiaji saini makubaliano...
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Sababu za watanzania wengi kushangilia kukamatwa kwa hii ndege. 1- Tatizo lilianzia kwenye Slogan ya hii Ndege “ HAPA KAZI TU” haikuwa sahihi kwa sababu moja kwa moja inahususisha Chama cha CCM...
169 Reactions
446 Replies
38K Views
Najua Tanzania kuanzia wakati wa Kikwete imekuwa kama sifa kuwa na PHD hata kama ni za kupewa, kupendelewa au kununua. Kwa wanajua elimu huwezi na ni vigumu kuweza kupata PHD ya kweli wakati wewe...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo alishiriki kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ambapo kitaifa yalifanyika mkoani Lindi. Mapokezi ya Rais Samia...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Kila leo najaribu kutafakari mustakabali wa taifa hili na mienendo ya taasisi mbalimbali za Serikali na utendaji wake. Ni jambo la kusikitisha, kutisha na kustaajabisha na ukosefu wa...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Habari za mchana kwa kila mmoja! Tumekuwa tukisikia PM Kassim Majaliwa akiwahoji watu mbali mbali juu ya upigaji katika maeneo tofauti aliofanya ziara. Mifano: 1. Alipofanya ziara katika...
1 Reactions
11 Replies
794 Views
Mwenyekiti wa CCM Dar ni Mtemvu, wale jamaa wataficha wapi sura zao? Nasikia kapata kura 444 Abbas Mtemvu ndo mwenyekiti Mpya wa CCM wa Dar Es Salaam
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Siwachoshi! Mliorogwa na jina JPM muendelee kuamini kuwa hasara zote za nchi hii chanzo chake ni yeye hata kama miaka miwili yuko kaburini! Swali ni je, ndege yetu iliyokamatwa huko imefanya...
2 Reactions
7 Replies
749 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Manyara katika Mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Kwaraa leo tarehe 23 Novemba, 2022 SEHEMU YA...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani katika viwanja vya llulu Mkoani Lindi leo Disemba 1, 2022 Hotuba ya Rais Samia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapa chini ni nchi 10 bora Afrika kwa uzalishaji wa nyanya. Sisi pomoja na kuwa na ardhi ya kutosha na vyanzo lukuki vya maji ni wa pili kutoka mwisho. 1- Egypt [emoji1093] 7,943 tons 2-...
13 Reactions
54 Replies
3K Views
Tunapeana tu taarifa ili isionekane ni viongozi wa Serikali tu ndiyo wanaosafiri sana. Freeman Mbowe yuko Marekani na tarehe 10 Dec atafanya mkutano mkubwa pale Washington DC. Kadhalika Katibu...
0 Reactions
29 Replies
1K Views
Binafsi sijasikia Tangazo wala kushuhudia Chadema ikifanya mkutano wa hadhara mahali popote Ninachokumbuka Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndio amefanya mkutano wa hadhara huko Tunduru mikoani...
1 Reactions
6 Replies
665 Views
Ndugu zangu Rais Samia Ameendelea Kudhihirisha kwanini anapendwaa na kukubalika na watanzania,Amethibitisha sababu za mamilioni ya watanzania Kuendelea kumwamini na kumuunga mkono katika juhudi...
1 Reactions
45 Replies
2K Views
Sasa ni dhahiri kwamba maisha ya Watanzania yamekuwa magumu kuliko awamu zote zilizopita , familia nyingi sasa zinakula mlo mmoja tu, huku Maharage yakiwa Chakula Muhimu kabisa. Ni kweli kwamba...
10 Reactions
64 Replies
5K Views
Msiniulize kwa nini, ila kifupi, vita ya kiuchumi ni ngumu sana kuipigana, sabotage ni nyingi, tuombe hii vita tuishinde au tuombe ipite salama, maana huko nje hali yetu kimataifa siyo nzuri...
26 Reactions
109 Replies
11K Views
Waziri wa Ujenzi una wizara kubwa mno, sina hakika kama unaimudu. Enzi hizo wizara hiyo ndiyo ilimtoa Hayati Magufuli mpaka kufikia kujulikana utendajikazi wake kwa Watanzania. Wizara yako...
2 Reactions
4 Replies
666 Views
Ndugu zangu Ikumbukwe kuwa CCM ndio iliyounda serikali na siyo serikali iliyo unda CCM, CCM ndio iliyotangulia ndio ikafuata serikali, CCM ndio iliyoomba kura kwa wananchi na ndio iliyosimama...
0 Reactions
33 Replies
1K Views
Mjukuu wa Baba wa taifa la Zanzibar mh Fatma Karume amesema ubaguzi wa kisiasa waliasisi CCM Kule Zanzibar na alipowaambia walimwita Msaliti Karume amewataka CCM waruhusu mikutano ya Siasa na...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa kilio kile lazima alizidiwa kutoa rushwa na wenzake kwa wajumbe. Ila chama hicho jamani, da! Ajabu yanarekodiana bila hata haya ! Siku si nyingi hawa watakuja kuuana kwa mambo ya...
13 Reactions
39 Replies
3K Views
Back
Top Bottom