Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Wazazi nchini kote kuwasaidia Watoto wao waweze Kujiajiri. Hii inatokana na uchumi wa Tanzania kushindwa kutoa ajira kwa Wahitimu Wote. Chanzo...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Mbowe yuko vizuri kwenye mambo mengi sana lakini suala la Katiba tunampa jukumu asiloliweza Angalia tu Katiba ya Chama chake ina ubora gani? Imejaa ubinafsi Angalia alivyoshughulikia suala la...
2 Reactions
5 Replies
513 Views
Baadhi ya nukuu za Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza kwenye kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TVE na EFM Radio leo Oktoba 17, 2022. Kuhusu kutishiwa...
6 Reactions
63 Replies
6K Views
Nikitafakari sana namuonea huruma sana rais Samia, kazingirwa na genge baya sana, akiamini ni wema kumbe wana yao moyoni, hasa kujilimbikizia mali za umma. Kati ya hawa makatibu wawili, Bashiru...
15 Reactions
79 Replies
7K Views
1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli. 2. Igizo la Corona limeisha kama alivyotabiri Magufuli 3. Ndege tulizoambiwa na...
21 Reactions
66 Replies
5K Views
Wamepangua kesi zote za Sabaya bila mbeleko ya Dpp wala mashinikizo ya mabeberu kama ilivyokuwa kwa kesi ya gaidi. Ingekuwa mawakili wa Sabaya ndiyo wenye akili lakini mawakili wa Chadema...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Akiongozwa na Dkt.Magufuli,Makamu wa Rais Dk.Mohamed Bilal amefungua mzani mpya kabisa na wa kisasa ambapo gari lisilozidisha litapima kwa sekunde thelathini badala ya dakika mbili. Mzani huu ni...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Baada ya kimya kirefu hatimaye leo aliyekuwa anawania kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika ngazi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Mark Mwandosya amebainisha wazi kuwa...
37 Reactions
418 Replies
57K Views
Ndugu zangu wafanyabiashara mbalimbali wameipongeza Serikali Ya Rais Samia kwa kuwasaidia kufanya Biashara kwa Amani na utulivu kwa kuzingatia Sheria kanuni na Taratibu,wafanya Biashara...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba? Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii...
6 Reactions
96 Replies
9K Views
Kwanini nguvu kubwa inatumika kutulazimisha tuvunje kanuni na katiba Kwa kututisha? awamu ya tano inamalizika 2025 ndipo tuanze awamu ya SITA. Kanuni za kawaida za chama ni kuchukua fomu ama...
3 Reactions
2 Replies
612 Views
Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka. Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na...
16 Reactions
268 Replies
27K Views
Sijawahi Kujutia Kukuunga mkono katika Uongozi wako na kila Siku nitasema bila uwoga wala aibu kuwa kama kuna Rais ambaye Watanzania wa wakati huu tulikuwa tunamuhitaji ili ' atunyooshe ' na...
29 Reactions
126 Replies
14K Views
“Kuhusu hoja ya deni la Taifa Nafikiri kama watanzania tuanze kuwaza tofauti juu ya dhana ya mkopo Kwanza tukubaliane mkopo ni maendeleo sio Kwa sababu nyinginezo kama kusema hata nchi tajiri...
1 Reactions
2 Replies
780 Views
Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na maji mchini, amshambulia vikali mwandishi, asema "Kuwa na shukrani".
26 Reactions
288 Replies
23K Views
Kuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Tayari serikali imeshatoa taarifa ya uchunguzi wa ajali ya ndege iliyopata ajali wakati inatua uwanja wa Bukoba. Taarifa hiyo ya uchunguzi inakiri wazi uzembe wa kitengo cha dharura na uokozi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Salam za upendo kwa Watanzania wote wakati tunasheherekea Noel kuadhimishia miaka zaidi ya 200o ya kuzaliwa Yesu Kristo ambae ni Bwana na Mwokozi wa maisha ya wanadamu. Mwaka 1997 Rais Mkapa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa? KUB je? Na Mahakama? Mlale unono
3 Reactions
61 Replies
3K Views
Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la...
21 Reactions
418 Replies
23K Views
Back
Top Bottom