Nani atakwenda Mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru?

Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,658
2,000
Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba?

Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii pamoja na Katiba!!

Nani atakayethubutu kufungua Kesi kupinga uteuzi wa Dr. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?
 
DAVSON

Member
Sep 27, 2012
40
125

Kwani kuna kifungu gani kimevunjwa cha sheria acheni kufuata mkumbo
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,237
2,000
Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba?

Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii pamoja na Katiba!!

Nani atakayethubutu kufungua Kesi kupinga uteuzi wa Dr. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?
Kifungu gani kimevunjwa? All in all hata kama katiba imevunjwa, unakwenda kwenye Mahakama zipi? Za Ibrahim Juma? Za Stella Mugasha? Ili upate nini? Ninachoomba ni kuwa wakitoka madarakani hukumu za hawa na awamu hii zipitiwe upya na jopo maalum kwa ajili ya kutenda haki
 
Fund man

JF-Expert Member
Feb 24, 2021
309
500
Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba?

Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii pamoja na Katiba!!

Nani atakayethubutu kufungua Kesi kupinga uteuzi wa Dr. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?
Hakuna yeyote atakaye thubutu, akijitokeza mtu mahakama itatupilia mbali shauri Hilo kwa kusema ni batili. Hii ni Tanzania mpya.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
102,256
2,000
Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba?

Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii pamoja na Katiba!!

Nani atakayethubutu kufungua Kesi kupinga uteuzi wa Dr. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?
Lissu angeweza kwenda mahakamani kupinga kama kweli huo uteuzi una makandokando na unakiuka katiba ya JMt
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
88,616
2,000
Hongera wewe unayeishi kwenye jamhuri ya sukhuma land
Naam! Tupo tunayeya tu.
A7F7DB29-3B06-4F95-92AC-233F4FE2DE07.jpeg
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
39,558
2,000
Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba?

Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii pamoja na Katiba!!

Nani atakayethubutu kufungua Kesi kupinga uteuzi wa Dr. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?

Madictator huwa hawaogopi mahakama, bali huogopa nguvu ya umma tu.
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
8,985
2,000
Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba?

Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii pamoja na Katiba!!

Nani atakayethubutu kufungua Kesi kupinga uteuzi wa Dr. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?
Eeenh,
Huyo mtu/kundi atakuwa hana akili kichwani?

Hiyo mahakama ya kusikiliza kesi hiyo itakuwa imeshuka toka mbinguni?

Huo muda wa kupoteza, hakuna jambo jingine la maana linaloweza kufanyika; kwa mfano - angalau hata kuwafundisha wananchi wajue taratibu, sheria na Katiba - vyote vinasema nini juu ya uteuzi wa nafasi hiyo!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom