Matokeo Mkutano Mkuu CCM. Watoto Pendwa pamoja na kugawa ATM za kutosha kila Mkoa. Hali zao ni mbaya ndani ya CCM. Msukuma ana nguvu kuliko Makamba. Innocent Bashungwa amewazunguka karibu mara...
Bahati nzuri kila kitu kipo wazi kabisa. Wananchi wanajua kinachoendelea nchini. Hii nchi kwa sasa inavyoendeshwa na akina nani na kundi gani.
Kila mtanzania anajua namna hilo kundi...
Nasema hapana tena sio vizuri hata kama watanzania ni wajinga wa fikra na hawajui haki zao ila hii ni tooo much mnakera. Yani mnashindana tu kuagiza na kuingiza asset Kwa kuiba rasilimali za umma...
Chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Nyasa kimefanya kongamano la kisiasa lenye lengo la kutoa elimu kwa wanachi juu ya haki zao.
Mhe. Mchg. Peter Msigwa, mbunge Mstaafu wa Iringa...
Wazungu wanao msema usemao nionyeshe rafiki yako nikwambie wewe ni mtu wa aina gani. Maana yake marafiki zako ndio wanaokutambulisha mbele ya wastaarabu. Ni msemo umekuwepo kwa miaka mingi japo...
Hawa wanaojifanya kuchukia leo ndio wale wale waliokuwa wakifurahia kauli za kufuru na za kifedhuri kuwa Lowasa asichaguliwe, kuwa Rais ni mgonjwa atafia Ikulu na hatutaki misiba ya taifa, au zile...
1. Umaskini
2. Afya
3. Elimu
5. Siasa
6. Miundo mbinu
7. Maadili na ulinzi kwa watoto na wazee
8. Mazingira
9. Kilimo na umwagiliaji
10. Uhuru wa Kujieleza
11. Sheria, Kanuni na Taratibu
12...
Nimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na...
Ndugu zangu uchaguzi wa CCM kuanzia mashina mpaka Taifa Umekamilika kwa kishindo ,furaha ,amani, upendo, mshikamano,umoja na ushirikiano. Ni uchaguzi uliotikisa ndani na nje ya Tanzania,Ni...
Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, wastani wa Trilioni 7 kwa mwaka.
Magufuli alipofariki mwaka jana mwezi March aliacha Deni la Taifa liko Trilioni 71.
Toka mwaka jana Mwezi Aprili hadi...
Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia.
Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Leo kimetikisa Iringa baada ya kishindo cha Kongamano la Kanda ya Nyasa kufanyika Mkoani humo .
Bado haijafahamika hawa Chadema huwa wanatumia...
Mambo yasiwe mengi naomba ufafanuzi tu Viongozi wa Chadema Fedha za kuzunguka huko Duniani na kwenye kumbi za kuangalia World Cup wanaotoa.wapi?
Ikumbukwe Tundu Lisu anashindwa kurudi nchini kwa...
Atoa mfano wa ndege ya airbus kukamatwa Uholanzi baada ya baraza la usuluhishi la kimataifa kuona mwekezaji alipwe fidia kwa mkataba uliovunjwa na serikali.
Jopo la waamuzi huwa na watu watatu...
Kauli yako katika clip hii ni kitisho kwa Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wetu Mheshimiwa Dokta Samia Suluhu Hassan.
Naomba nikukumbushe kwamba hayati Rais Dokta Magufuli alifanya kila...
Habari za weekend!
Nimefuatilia pia nimefurahi mmejitokeza wana CCM wengi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama.ni jambo jema. Katika nafasi 20 za NEC taifa nimeona majina mengi ya...
Ametasema hayo alipoongea na Diaspora waishio Marekani. "Naomba kumwambia ukweli Rais Samia,asiwaamini wanaomsifia wakati si kweli.Hao ni wachumia matumbo yaoWanayo malengo yao"
Kuhusu Diaspora...
Napongeza kwa sababu vyeo hivi huvikuti Chadema wala CUF
Lakini tija yake ndio sijamuelewa
Mzee Makamba ni Mwenyekiti wa Makatibu Wakuu wastaafu yaani Mwenyekiti wa Mangula, Mukama, Kinana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.