Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Magufuli: Nakuagiza Waziri, waambie ATCL hata kama ni mara moja waanze kuja hapa Mpanda, na mimi sitoki hapa bila kupanda ATCL. Hakuna kisingizio cha kutoleta ndege, vyote vilivyokuwa...
7 Reactions
100 Replies
11K Views
FAHARI KUU KUSABABISHA RAIS SAMIA KUPATA TUZO YA UTALII. Suphian Juma Nkuwi, nikiwa kama mmoja wa waratibu wa Tamasha la Kimataifa la Miss Jungle International, nimefurahi sana kumkabidhi Rais...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi ndivyo ilivyokuwa leo tarehe 8/12/2022 ambapo kulikuwa na vikao vya faragha vya kujadili Haki, Usawa na Demokrasia ikiwa ni maandalizi ya kuhitimisha vikao vya IDU hapo kesho. Hapa akiteta...
36 Reactions
91 Replies
5K Views
Hata wabunge hawataki kuisoma hii michezo lakini baada ya TISS kuona ugumu wa Tundu Lissu kuhamia ACT kwa maana ya kuimaliza CHADEMA Plan B ikapangwa nayo ni kuupaisha umaarufu wa ZITO kwa gharama...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Hakuna haja ya kuongea sana. Ktk historia ya siasa za CCM kuna jambo limezuka na jambo hilo sio la kawaida. Ccm imebaki inaendesha mikutano ya ndani yenye vitisho vikali mno. Cha ajabu zaidi ni...
25 Reactions
95 Replies
10K Views
Nimekuwa nikiisoma barua ya Butiku, now and then, natafakari mshangao wake kumuona Mkapa alivyobadili baada ya kuukwaa urais. Mshangao wake unaibua maswali mengi ikiwa pamoja na: i) kwamba ina...
3 Reactions
139 Replies
14K Views
Kwa kuangalia malumbano yanayoendelea kwa muda mrefu sana humu JF, kuhusu uimara wa hivi vyama viwili, CHADEMA na CCM, nimeona ni bora tukawa na kura ya maoni kuangalia kwa maoni ya watu wa JF...
1 Reactions
7 Replies
865 Views
Wafuatao umewatonesha majeraha makubwa sana Mioyoni mwao. Umewadhalilisha mbele ya Umati. Umewafedhehesha mbele ya Umati. Mama Anna Mkapa! Mama Janeth Magufuli! Mama Fatma Karume! Mama Maria...
47 Reactions
123 Replies
10K Views
UJUMBE WANGU WA LEO KWENU. Ndugu zangu watanzania hakuna aliye salama, hayupo! Si mwanasiasa wa upinzani, si mfanyakazi, si mkulima, si bodaboda, si tajiri wala masikini, siyo kiongozi wa dini au...
47 Reactions
236 Replies
30K Views
Ndugu yangu sugu mwaka 2025 usipoteze pesa nyingi kwenye kampeni, maana uwezekano wa kupita ni finyu sana kutokana na maendeleo anayoyaleta Dr.Tulia.Mfano bara bara,vijana na akina mama kupewa...
8 Reactions
93 Replies
4K Views
January 19, 2020 Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru anaichambua safari ya kisiasa ya CCM toka mwaka 2015, ambapo kura za CCM ziliporomoka na Magufuli alipata 58%. Fitna na misukosuko ikawa jadi ya...
18 Reactions
253 Replies
29K Views
Kuna tetesi za chini kwa chini zinaendelea miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya JPM kujiuzulu na kuachia ngazi baada ya kuitwa kuwa wengi wao ni wapumbavu na wanafanya mambo ya hovyo. Maneno haya...
15 Reactions
287 Replies
27K Views
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola hivi sasa yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa na...
24 Reactions
355 Replies
46K Views
31 Julai, Jumanne 2007 MHE. BENJAMIN MKAPA:Ushupavu wa Uongozi (The Courage of Leadership) HOTUBA YA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), MHESHIMIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA, KWENYE...
5 Reactions
19 Replies
5K Views
Wizara ya viwanda imetangaza kuuza korosho zilizobanguliwa kwa wananchi na taasisi mbali mbali zikiwemo shule, vyuo na taasisi nyinginezo. Korosho ni za kiwango cha juu nyote mnakaribishwa...
9 Reactions
172 Replies
15K Views
Wakati fulani Mwaka 2012 nikiwa hapa Iringa nilibahatika kuuona msafara wa Ridhiwani Kikwete. Ule msafara ulikuwa na wapambe wengi sana na ulipokelewa na viongozi wa CCM Iringa kwa bashaha na...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Unjani Subawona Kiukweli wakuu ni mashaka na yawezekana hofu juu ya succession plan ya chadema baada ya mheshimiwa mbowe kutoka kwenye hiyo nafasi yake najiuliza who is next after him? Kiukweli...
0 Reactions
7 Replies
737 Views
Wawakilishi wateule 27 wa Chama Cha Wananchi CUF kutoka Zanzibar wamepinga jijini Dar leo uamuzi wa Tume ya Uchaguzi Visiwani humo (ZEC) baada ya kufuta ushindi wao kwa kuwa walishapewa vyeti vya...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Kumradhi kwa kila mtu naomba nisionekane nimetukana ila huu ni mtazamo wangu tu. Kila kitu ni uzoefu. I mean kila kitu ili kifanyike kwa usahihi mkubwa panahitajika uzoefu. Hii ni law of nature...
18 Reactions
39 Replies
4K Views
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara. Wanawake 1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770 2. Dkt...
12 Reactions
272 Replies
31K Views
Back
Top Bottom