Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zanguni, nimemsikiliza Mh. alipokuwa akiwahutubia Wana Diaspora Marekani. Moja kati ya masuala aliyozungumzia ni Katiba mpya. Nilichotambua ni kwamba, kama tutatembea kwenye mawazo yake...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
My take Jamani hii ni hatari sana na hapa ndio nimeanza kumuelewa ndugai kwamba alikuwa yupo sahihi sana. na kinacho nisikitisha zaidi hizi pesa zilizokopwa ni nyingi sana na haziendani na kilicho...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Uchambuzi huu ulifanywa na ndugu Twahir Kiobya huko clubhouse. Ameisifu hotuba ile kwa ubora wake, akachambua mbinu mkakati ambazo ndugu Mbowe anatumia katika kufanikisha mazungumzo ya chama...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza huyu Jamaa kila siku anabadirisha magari anayatoa wapi angalia kwenye clip hapo chini. Pili hili la makonda kutunishia kanisa misuli juu ya waraka walioutoa siku ya pasaka. Tunaenda...
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald J, Wright amesema katika vijana aliokutana nao wameonesha kutaka kushiriki katika maisha ya kisiasa na kijamii, pia wanataka uhuru wa kujieleza sauti zao...
0 Reactions
2 Replies
619 Views
Kitendo cha Lema na Heche kusema bora Mwendazake kuliko Samia wamekosea! Ni afadhali Rais Samia kuliko mtangulizi wake. Uzuri mmoja wapinzani hata wakikosea hurekebishana kwa hoja na staha mambo...
19 Reactions
102 Replies
10K Views
Kwa nukuu hii hapa ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara comrede Kinana akimuelezea Rais Dk.Samia alikuwa anatuma ujumbe gani hasa? Nukuu ya Kinana hii hapa 👇
2 Reactions
10 Replies
757 Views
Kitendawili? Tega. Hivyo sio nchi invyoendeshwa kisayansi, Haijalishi chama kinamuweka nani kileleni kwenye nchi ambayo zina civil services zilizo imara (na ya kwetu ovyo). Mweh, acha tu...
1 Reactions
63 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeipongeza serikali kwa kuanza kuboresha mazingira ya haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Hayo yalisemwa na Chama hiko wakati...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chama hicho Duniani kote leo. Kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mandela wa Eneo la Maziwa Makuu, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh...
11 Reactions
43 Replies
3K Views
Katika kile tulichokiita kama fungua kikao cha Bunge sisi wakazi wa Dodoma na wana-CHADEMA kesho tutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara pale viwanja vya barafu kupokea maoni ya wananchi na kuwapa...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Hatukumuelewa mzee wetu, hili nililisema na nitaendelea kulisema hilihili mpaka kiama. Mzee alijua kuwa kijana yule hakuwa "President material" at al,l ila kwa kuwa watu wengi ama kwa kudanganywa...
43 Reactions
240 Replies
13K Views
Nchi hii ina Watu wa Ajabu kabisa. Hata kuwe na MIJADALA MUHIMU kwa TAIFA km suala la UMEME MAJI au UFISADI Ukitaka. Watanzania Waache KUUJADILI MIJADALA hiyo wewe Anzisha tu MJADALA Mwingine...
0 Reactions
2 Replies
465 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kinatarajia kuanza ujenzi wa ofisi yake ya kisasa ya Chama kwa Mkoa wa Iringa . Huu ndio Muonekano wa ofisi hiyo utakavyokuwa Toa maoni yako
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wadau! Tukutane hapa kujua yanayojiri leo mwanza kwenye mahadhimisho ya miaka ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika: Update: Majeshi mbalimbali ya gwaride yanaingia uwanjani. Updates: Waziri...
13 Reactions
568 Replies
59K Views
Nawauliza serikali yetu ya Tanzania, toka nakua enzi za Mtukufu Raisi Nyerere, kila sherehe kubwa ya kitaifa, linatoka Tangazo kwamba Raisi amesamehe Wafungwa kadhaa Hivi Marais mnapokabidhiwa...
1 Reactions
1 Replies
532 Views
Hatimaye mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ametegua kitendawili cha namna alivyoiepuka kesi ya ugaidi. Mbowe amesema, "Ni nani Katika hii Dunia apewe msamaha na Rais halafu aukatae huo...
5 Reactions
83 Replies
4K Views
Boda boda kufungwa Tela, ili kuzuia Ajali. Dar es Salaam. Ni siku saba tangu ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amekuwa mjadala katika vyombo vya habari kutokana na kauli na...
1 Reactions
138 Replies
23K Views
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu: Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa. Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi...
23 Reactions
98 Replies
5K Views
Binafsi nimepata mshtuko mkubwa baada ya kuona ongezeko kubwa la deni la taifa kufikia trillion 91 kutoka trillion 60.9 mwezi April 2021 wakati Samia anashika madaraka. Kwa hesabu ya haraka ni...
22 Reactions
57 Replies
4K Views
Back
Top Bottom