Wakati hayati Magufuli anavunja Katiba Bunge lilikuwa wapi? Chama kikuu cha Upinzani kilikuwa wapi? Mahakama je?!

Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa

Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?

KUB je?

Na Mahakama?

Mlale unono
Kwamba umesahau mlipokuwa mmemuweka Mbowe?

Haya, ngoja nikukumbushe. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani alikuwa na kesi ya ugaidi, na viongozi wengine mliotishia maisha yao walikimbia nchi.

Hivi umeuliza bunge lilikuwa wapi? Jibu ni hili, "bunge lilikuwa mfukoni mwa Ndugai".

Inahitaji kiwango kikubwa sana cha upumbavu kuiamini na kuitetea CCM!
 
Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa

Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?

KUB je?

Na Mahakama?

Mlale unono
Umeandika ujinga, ulitaka Chama.kikuu waandamane kwa.ajili yako na familia yako? Wakati mbowe Mashamba yake yana haribiwa kule wilayani Hai, uliongea chochote? Wacha kuwaza kwa kutumia utumbo mkubwa
 
Kwamba umesahau mlipokua mmemuweka Mbowe?

Haya, ngoja nikukumbushe. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani alikua na kesi ya ugaidi, na viongozi wengine mliotishia maisha yao walikimbia nchi.

Hivi umeuliza bunge lilikua wapi? Jibu ni hili, "bunge lilikua mfukoni mwa Ndugai".

Inahitaji kiwango kikubwa sana cha upumbavu kuiamini na kuitetea CCM!
Hawa ni wanao jaza server na post za kijinga jinga tu
 
Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa

Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?

KUB je?

Na Mahakama?

Mlale unono

Soma hukumu

Court name
High Court of Tanzania
Registry
High Court Dar es Salaam Main Registry
Case number
Misc. Cause 8 of 2022

Zitto Zuberi Kabwe vs the President of the United Republic of Tanzania & Others (Misc. Cause 8 of 2022) [2022] TZHC 14947 (05 December 2022);​

Media neutral citation
[2022] TZHC

Source : Zitto Zuberi Kabwe vs the President of the United Republic of Tanzania & Others (Misc. Cause 8 of 2022) [2022] TZHC 14947 (05 December 2022); | Tanzlii
 
Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa

Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?

KUB je?

Na Mahakama?

Mlale unono
Hivi ulishawahi kujiuliza marehemu Sitta jina lake Halikurudi katika walitaka usipika ??? Sema chama lako halitaki mabadiriko wala mawazo chanya kutoka mahala popote. Na sijui kama na wewe ni munufaika wa hiyo clan. Kama haumo basi utaishia kukebeshi vyama vya upinzani hadi mwisho wa nguvu Yako.Mtaungana kubeza vyama mbadala, lakini mwisho wa siku wanaoumia ni akina nani au ukoo wenu wote ni wapendwa na Lumumba?
 
Madikteta huwa yanavunja misingi yote ya haki na wajibu. Huwa yanajinasibisha na kujibebisha kwa jeshi tu. Wanajeshi hupendwa Sana na kulipwa vizuri.

Jiwe alikuwa karibu sana na jeshinkiasi kwamba hata vyeti feki hakukagua jeshini. Akamfanya mabeyo kuwa kama personal secretary wake. Kila mahala, kila hafla alikuwa anazunguka naye.

Mifumo ya sheria na utoaji haki, mifumo ya kidemokrasia yote ikabinywa. Na sauti zote za kudai haki zikazimwa. Ulitegemea nn?
 
Kwamba umesahau mlipokua mmemuweka Mbowe?

Haya, ngoja nikukumbushe. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani alikua na kesi ya ugaidi, na viongozi wengine mliotishia maisha yao walikimbia nchi.

Hivi umeuliza bunge lilikua wapi? Jibu ni hili, "bunge lilikua mfukoni mwa Ndugai".

Inahitaji kiwango kikubwa sana cha upumbavu kuiamini na kuitetea CCM!
Mkuu SMART GHOST barikiwa Sana mkuu wangu.
 
Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa

Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?

KUB je?

Na Mahakama?

Mlale unono
Kambi ya upinzani ilipokuwa inapinga, walikuwa wanatolewa nje ya bunge. Na wanapotoa hoja zenye mshiko, bunge linaamua kupiga kura ili kufikia maamuzi na unajua waliopo wengi mbungeni ni watu wa namna gani, walisikika wakisema ATAKE ASITAKE NI.....
 
Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa

Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?

KUB je?

Na Mahakama?

Mlale unono
Huu ujinga wa kutafuta kichaka cha kujifichia acha mara moja!! CDM inajulikana walikua enemy no one wa utawala awamu ya tano, bunge kuanzia speaker walikua ni mwendo wa mapambio kwa Rais, upinzani walishughulikiwa ndan ya bunge na Rais akasema waz wakiwa nje atawashughulikia. Mahakama ilikua inafuata maelekezo ya utawala!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom