Kiukweli nimeshangazwa sana na kitendo cha Rais wa Zanzibar kushiriki uzinduzi wa kilichoitwa Studio za Wasafi FM huko Zanzibar.
Zanzibar inayojitambulisha kama nchi, inao mawaziri walioteuliwa...
Nawasalimu wanajamvi,
Mh. Rais hongera sana kwa kazi nzuri. Ni kweli sisi watanzania(ingawa sio wote) tunajua kwamba JKT haiajiri bali huwajengea ukakamavu na uzalendo vijana kwa nchi yao. Kuna...
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali haijazuia maandamano na mikutano ya kisiasa isipokuwa wanaandaa utaratibu rafiki utakaotumika pasipo kuvunja sheria za nchi...
Taifa letu la Tanzania ni taifa la mfumo wa vyama vingi toka 1992 mpaka sasa.
Kuna machache nataka kufahamu kutoka kwa wanachama, mashabiki na wafuasi wa baadhi ya vyama vya kisiasa vikubwa vya...
Habari kwamba Rais Magufuli ni dikteta ilianza kusemwa na Tundu Lissu ingali bado Magufuli akiwa hai.
Magufuli akaviteka vyombo vyote vya habari, vyombo vya dola, bunge na mahakama. Nchi ikawa...
Rais wa JMT Dkt Samia ameshinda tuzo ya ku promote utalii iliyotolewa nchini India.
Waandaaji wa tuzo hiyo wametambua mchano wake wa kuugangaza utalii wa Tanzania kupitia filamu maafufi ya The...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freemen Mbowe katika mkutano wa CHADEMA alisema kuwa aliandika barua kumuomba Rais Samia Suluhu kufanya maridhiano ya kitaifa wakiamini ni njia sahihi ya kufanya kazi na...
Kwa wanaofuatilia mambo I hope mmefuatilia hotuba ya Mbowe akiongea na Diaspora huko Marekani.
Kwa haraharaka ukiangalia hotuba ile utaona muda mwingi Mbowe katumia kutetea uamuzi wa CHADEMA...
Akijibu swali la mwanachama wa Chadema kutoka Philladelphia lililotaka, kujua Mikakati ya Chadema kuelimisha wananchii, Mbowe amefunguka vizuri sana na kudai kwamba, kitendo cha kuzuia harakati na...
Huyu mbunge wangu mstaafu mchungaji Msigwa ndiyo naweza kusema ana spirit ya Upinzani na hana bei
Fikiria namna alivyomkatalia Rais wa awamu ya 5 Shujaa Magufuli aka Jiwe asimlipie Faini na...
Anayeandika hapa ni YEYE BRITANICCA
Wavivu wa Fikra wanadhani Imekuwa Ngumu ACT na Chadema Kuungana kisa uchu wa madaraka nani agombee, sasa nawafungua Bongo zenu
Hakuna ugumu kuna mbinu NEC...
Kuna jambo watu hawajaligundua, ni kwamba CCM inawaweka pembeni baadhi ya watu kisayansi sana
Njia ziko mbili na zimefanya kazi, ya Tatu ya Mheshimiwa wa soko lake Dodoma ndo iliniacha hoi,
1...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkoani Katavi ambacho kina uwezo wa kusindika wastani wa lita 10,000 kwa saa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu na Mjumbe wa kamati Kuu ya Chama hicho, Godbless Lema wametangaza kuwa watarejea nchini hivi karibuni ili kuendeleza...
Upinzani wa Tanzania japokuwa ni fake lakini pia umeshashindwa katika ufake wake.
Wananchi wanaona ni heri ya CCM japo inaishi katika mapungufu mengi, kuliko vyama vya Upinzani ambavyo...
Nimeshiriki mara kadhaa kwenye processes za ranking ya mataifa katika vigezo ambavyo hutazamwa na multinational companies zinapotaka kwenda kuwekeza. Nchi zote Duniani zinatafuta wawekezaji...
Kwa yakini ya moyo wangu kabisa, leo nilipokua nikitazama sherehe za kuwatunuku nishani wapiganaji wetu wa JWTZ Arusha nimeshuhudia baadhi ya mambo ya ajabu yaliyofanyika ndani ya uwanja na nasema...
CCM walilazimika kumpa madaraka Magufuli kutokana na mazingira ya wakati ule ila walidhani wangeweza kumdhibiti. Magufuli akawashangaza na kuwafumba midomo hata wale ambao walidhani wangekuwa na...
Ndugu zanguni, nimemsikiliza Mh. alipokuwa akiwahutubia Wana Diaspora Marekani. Moja kati ya masuala aliyozungumzia ni Katiba mpya. Nilichotambua ni kwamba, kama tutatembea kwenye mawazo yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.