Freeman Mbowe atikisa Marekani, Wazungu wamkimbilia kuchota Ushauri wa namna alivyoweza kupigania Demokrasia kwa Jasho na damu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,293
217,275
Hivi ndivyo ilivyokuwa leo tarehe 8/12/2022 ambapo kulikuwa na vikao vya faragha vya kujadili Haki, Usawa na Demokrasia ikiwa ni maandalizi ya kuhitimisha vikao vya IDU hapo kesho.

Hapa akiteta jambo na Mbunge kutoka Florida Mh Michael Waltz

FB_IMG_1670526876895.jpg


Hapa chini akiwa amezungukwa na Kundi la viongozi wa kizungu wakimshangaa kwa uvumilivu wake pamoja na kusingiziwa Ugaidi wa Uongo

FB_IMG_1670526887948.jpg
 
Hivi ndivyo ilivyokuwa leo tarehe 8/12/2022 ambapo kulikuwa na vikao vya faragha vya kujadili Haki , Usawa na Demokrasia , ikiwa ni maandalizi ya kuhitimisha vikao vya IDU hapo kesho .

Hapa akiteta jambo na Mbunge kutoka Florida Mh Michael Waltz

View attachment 2440045

hapa chini akiwa amezungukwa na Kundi la viongozi wa kizungu wakimshangaa kwa uvumilivu wake pamoja na kusingiziwa Ugaidi wa Uongo

View attachment 2440051
Kibaraka wa mabeberu katika ubora wake. Mungu ataliepusha taifa hili na mikono ya watu wabaya.
 
Back
Top Bottom