Rais Dkt. Samia ashinda Tuzo nyingine nchini India

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Rais wa JMT Dkt Samia ameshinda tuzo ya ku promote utalii iliyotolewa nchini India.

Waandaaji wa tuzo hiyo wametambua mchano wake wa kuugangaza utalii wa Tanzania kupitia filamu maafufi ya The Royal Tour.

Hongera sana Rias maana hii inakuwa ni tuzo ya 5 ndani ya miaka 2.

=======

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo ya Kimataifa ijulikanayo kama International Iconic Awards iliyotolewa na Taasisi ya International Iconic Awards ya India kwa kutambua mchango wake katika kuasisi na kushiriki kwa umahiri mkubwa katika filamu ya Tanzania: The Royal Tour, ambayo imekua na matokeo chanya kwa jamii inayomzunguka.

Tuzo hiyo imekabidhiwa leo jijini Dodoma na Uongozi wa Miss Jungle International na Bega kwa Bega na Mama (BBMF) kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana ili aweze kuifikisha kwa Rais.

Akipokea tuzo hizo, waziri amesema Rais ametoa mchango mkubwa katika kuinua sekta ya utalii nchini hasa baada ya athari kubwa ya janga la UVIKO 19, akiongeza kuwa filamu ya Tanzania: The Royal Tour imesaidia kutangaza vivutio vya utalii na kuvutia watalii wengi nchini.

“Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa natoa pongezi kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutunukiwa tuzo hii ya kimataifa, natoa shukran za dhati kwa Taasisi ya International Iconic Awards ya India, nchi ambayo ni maarufu katika soko la kimataifa la filamu duniani kwa kutoa tuzo hiyo kwa Mhe. Rais ambapo kwetu ni chachu ya kuongeza kasi zaidi ya utekelezaji wa Programu ya Tanzania: The Royal Tour,” amesema.

Aidha, Waziri Chana ametoa wito kwa wadau wa utalii kundelea kutekeleza kwa vitendo malengo ya Tanzania: The Royal Tour ili kuweza kufikia azma iliyokusudiwa katika kukuza na kuendeleza sekta ya utalii nchini na kushukuru Miss Jungle International ambao walipokea tuzo husika na kuja kuikabidhi kwa Rais.

Swahilitimes
 
JPM alikuwa akisema ni bora awe unpopular president huko nje lakini apendwe na wapiga kura wake wa ndani.

Hakusema mara moja hayo maneno alipenda kuyarudia, ni kauli fikirishi kwa mwenye mtazamo wa kina.
 
Huyu wapiga dili na walamba asali wameshajua anapenda sifa watakuwa wanampa tuzo fake waendelee kupiga pesa
Na Jiwe alikuwa anapenda Nini Kama SSH anapenda sifa?
Screenshot_20221208-201314.png
 
Rais wa JMT Dkt Samia ameshinda tuzo ya ku promote utalii iliyotolewa nchini India.

Waandaaji wa tuzo hiyo wametambua mchano wake wa kuugangaza utalii wa Tanzania kupitia filamu maafufi ya The Royal Tour.

Hongera sana Rias maana hii inakuwa ni tuzo ya 5 ndani ya miaka 2.

=======

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo ya Kimataifa ijulikanayo kama International Iconic Awards iliyotolewa na Taasisi ya International Iconic Awards ya India kwa kutambua mchango wake katika kuasisi na kushiriki kwa umahiri mkubwa katika filamu ya Tanzania: The Royal Tour, ambayo imekua na matokeo chanya kwa jamii inayomzunguka.

Tuzo hiyo imekabidhiwa leo jijini Dodoma na Uongozi wa Miss Jungle International na Bega kwa Bega na Mama (BBMF) kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana ili aweze kuifikisha kwa Rais.

Akipokea tuzo hizo, waziri amesema Rais ametoa mchango mkubwa katika kuinua sekta ya utalii nchini hasa baada ya athari kubwa ya janga la UVIKO 19, akiongeza kuwa filamu ya Tanzania: The Royal Tour imesaidia kutangaza vivutio vya utalii na kuvutia watalii wengi nchini.

“Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa natoa pongezi kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutunukiwa tuzo hii ya kimataifa, natoa shukran za dhati kwa Taasisi ya International Iconic Awards ya India, nchi ambayo ni maarufu katika soko la kimataifa la filamu duniani kwa kutoa tuzo hiyo kwa Mhe. Rais ambapo kwetu ni chachu ya kuongeza kasi zaidi ya utekelezaji wa Programu ya Tanzania: The Royal Tour,” amesema.

Aidha, Waziri Chana ametoa wito kwa wadau wa utalii kundelea kutekeleza kwa vitendo malengo ya Tanzania: The Royal Tour ili kuweza kufikia azma iliyokusudiwa katika kukuza na kuendeleza sekta ya utalii nchini na kushukuru Miss Jungle International ambao walipokea tuzo husika na kuja kuikabidhi kwa Rais.

Swahilitimes
Ukitaka kujua una matatizo sifiwa na wachina, wahindi, waswahili na CCM
 
Tuzo zisizo na faida kwa maisha ya mwananchi wa kawaida...hapo wapigaji wanam set tu!.
 
Nonsense, hizo tuzo zake zinasaidia vipi kutatua changamoto za Watanzania?. Oneni aibu nanyi, kutwa kucha kusifia upuuzi mnaliangamiza taifa.
 
Yuko Marekani akitoka huko atapitia India kupokea Tuzo.
Huku Tz deni la Taifa limezidi Trilion 90
 
Nonsense, hizo tuzo zake zinasaidia vipi kutatua changamoto za Watanzania?. Oneni aibu nanyi, kutwa kucha kusifia upuuzi mnaliangamiza taifa.
Hata juzi Dodoma bara 50/50 na visiwani wamepiga makofi.
Kweli bara tumelogwa
 
Back
Top Bottom