Rais naomba kazi hii kama itakupendeza!!!

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,759
Nataka kulisafisha hili jiji ndani ya siku 90 tu litakuwa kama paris, !nataka niwaonyeshe watu kwamba hii dar usafi ni lazima sio hiyari na katika hili nikipata nitaanza na mbagala kisha manzese,na tandale ,hapa tandale na mbagala nitaomba kibali chako nitumie sheria ya viboko,kwa wanaotafuna maembe ,miwa,kutema tema mate hovyo na wenye maduka wanaotupa taka kwenye mifereji ya maji inayopita mbele ya maduka yao. hawa kwa ruhusa yako nitawacharaza fimbo hadharani.

Kuna watu wazima wanakojoa kwenye makopo na kujisaidia kwenye mitaro nitafunga digital camera ambazo zitawaonyesha live kupitia tbc ,itv,clouds tv na azam ili wasithubutu kurudia tena! ,mimi na timu yangu tutatembea na viboko kwa wakazi wa vingunguti ambao muda wote mitaro imejaa vinyesi na mikojo na inapita mbele ya nyumba zao nitawacharaza fimbo sana.

Ole wao tandika na gongolamboto kwenye mtaro unaopita mbele ya msikiti,nasema ole wenu labda muombe mungu ninyimwe hii kazi. na nawaahidi kwamba hakuna hata ganda la pipi litakaloonekana mitaani.
 
Usafi ni tabia ya mtu,japo kwa kutumia nguvu unaweza mbadirisha japo kwa muda mrefu.Labda utumie teknolojia ya camera ndio utafanikiwa,kwa kuzifunga maeneo husika,kila atakayechafua eneo anabainika,tofauti na hapo hasa ,mbagala,gongolamboto kule kazi ipo.
 
Watakuloga kesho yake ushidwe kuamka,uchafu mwingine ni mazindiko ya waganga ,kuvuta wateja kwenye biashara zao
Upuuzi mtupu! Yaani waTanzania wengi akili ziko kwenye uchawi Uganda wa kienyeji na ndio maana hakuna kuendelea kila kukicha kuangalia ya wengine! Fanya ya kwako lisha familia yako.

Swala la usafi jiji kama lenye watu wengi na wageni hadi kutoka nje ya nchi mahiteli mengi viongozi wengi wa Serikali hadi Rais yuko hapo lakini jiji chafu!!

Huko alikozungumzua mtoa mada ni balaah na wale viongozi wa Serikali za mitaa, Halmashauri kama hawako vile. Achilia mbali Mkuu wa mkoa na Wilaya!

Kuna umuhimu wa kupata mtu wa aina hii. Na hii pia ni kuleta magonjwa ky kipindupindu.

Watu wanatakiwa wawe na adanu ya utupaji/uhifadhi wa taka.

Unga mkono hoja hii!.
 
Kunywa maji ,Kisha Soma kwanza ulichoandika,upuuzi mtupu,si utulie uandike kinachoeleweka,watoto wako wakija uko badae kusoma muandiko huu wa baba yao ,watasikitika sana
 
Nataka kulisafisha hili jiji ndani ya siku 90 tu litakuwa kama paris, !nataka niwaonyeshe watu kwamba hii dar usafi ni lazima sio hiyari na katika hili nikipata nitaanza na mbagala kisha manzese,na tandale ,hapa tandale na mbagala nitaomba kibali chako nitumie sheria ya viboko,kwa wanaotafuna maembe ,miwa,kutema tema mate hovyo na wenye maduka wanaotupa taka kwenye mifereji ya maji inayopita mbele ya maduka yao. hawa kwa ruhusa yako nitawacharaza fimbo hadharani. kuna watu wazima wanakojoa kwenye makopo na kujisaidia kwenye mitaro nitafunga digital camera ambazo zitawaonyesha live kupitia tbc ,itv,clouds tv na azam ili wasithubutu kurudia tena! ,mimi na timu yangu tutatembea na viboko kwa wakazi wa vingunguti ambao muda wote mitaro imejaa vinyesi na mikojo na inapita mbele ya nyumba zao nitawacharaza fimbo sana. ole wao tandika na gongolamboto kwenye mtaro unaopita mbele ya msikiti,nasema ole wenu labda muombe mungu ninyimwe hii kazi. na nawaahidi kwamba hakuna hata ganda la pipi litakaloonekana mitaani.
Mkuu, kazi gani. wakati tumekubaliana kwanba jukumu la usafi wa mazingira, ni wajibu wa kila mwananchi katika manzingira yake usika ndug.
 
Nataka kulisafisha hili jiji ndani ya siku 90 tu litakuwa kama paris, !nataka niwaonyeshe watu kwamba hii dar usafi ni lazima sio hiyari na katika hili nikipata nitaanza na mbagala kisha manzese,na tandale ,hapa tandale na mbagala nitaomba kibali chako nitumie sheria ya viboko,kwa wanaotafuna maembe ,miwa,kutema tema mate hovyo na wenye maduka wanaotupa taka kwenye mifereji ya maji inayopita mbele ya maduka yao. hawa kwa ruhusa yako nitawacharaza fimbo hadharani. kuna watu wazima wanakojoa kwenye makopo na kujisaidia kwenye mitaro nitafunga digital camera ambazo zitawaonyesha live kupitia tbc ,itv,clouds tv na azam ili wasithubutu kurudia tena! ,mimi na timu yangu tutatembea na viboko kwa wakazi wa vingunguti ambao muda wote mitaro imejaa vinyesi na mikojo na inapita mbele ya nyumba zao nitawacharaza fimbo sana. ole wao tandika na gongolamboto kwenye mtaro unaopita mbele ya msikiti,nasema ole wenu labda muombe mungu ninyimwe hii kazi. na nawaahidi kwamba hakuna hata ganda la pipi litakaloonekana mitaani.
Utapigwa uchakae
 
Mbona hujaweka namba muzee?
 
You made my evening🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom