Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Nikki wa Pili ni mfano wa viongozi vijana wenye uadilifu na uchapakazi

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,200
27,255
Moja ya mambo ambayo yamekua yakilisumbua taifa letu vijana wanaopewa nafasi kwenye uongozi kushindwa kuacha alama.

Lakini Kuna huyu mheshimiwa Nikki wa Pili, amekua tofauti sana na vijana wengi kutokana na uadilifu na uchapakazi uliotukuka. Ndani ya muda mfupi amefanya mambo mengi makubwa sana na ya kutisha na kuweza kumsaidia mheshimiwa sana raisi wetu mama yetu SSH.

Hawa ni aina ya vijana wa kesho na hadhina kwa taifa letu, ni vyema kuwatunza na kuwapa ushirikiano ili tuwe na kesho yetu nzuri.

Mfano mzuri tu juzi hapa kaingia ushirikia na chuo Cha City College ili kusaidia kuinua elimu wilaya ya kisarawe.

Kutokana na mheshimiwa Nikki wa Pili kufanya makubwa sana kwenye uongozi, ni dhahiri Raisi wetu mpendwa Mama Samia ataendelea kuwaamini vijana wengine wengi.

#kisarawe mpya#
#T2025 SSH#

20220315_145046.jpg
 
Nikki wa pili bhna..yaani umekimbia twita umekuja kuleta upuuzi wako huku..kimsingi umepuyanga..jiandae kutumbuliwa siku sio nyingi.
Mana hakuna unalolifanya hapo kisarawe zaidi ya kupiga picha ofisi.

Mpe hi mama zuri..

Halafu ilikuaje umekubali kuajiriwa wewe si ulisema hutaki kazi hadi kuaminisha vijana kupitia nyimbo yako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Moja ya mambo ambayo yamekua yakilisumbua taifa letu vijana wanaopewa nafasi kwenye uongozi kushindwa kuacha alama.

Lakini Kuna huyu mheshimiwa Nikki wa Pili, amekua tofauti sana na vijana wengi kutokana na uadilifu na uchapakazi uliotukuka. Ndani ya muda mfupi amefanya mambo mengi makubwa sana na ya kutisha na kuweza kumsaidia mheshimiwa sana raisi wetu mama yetu SSH.

Hawa ni aina ya vijana wa kesho na hadhina kwa taifa letu, ni vyema kuwatunza na kuwapa ushirikiano ili tuwe na kesho yetu nzuri.

Mfano mzuri tu juzi hapa kaingia ushirikia na chuo Cha City College ili kusaidia kuinua elimu wilaya ya kisarawe.

Kutokana na mheshimiwa Nikki wa Pili kufanya makubwa sana kwenye uongozi, ni dhahiri Raisi wetu mpendwa Mama Samia ataendelea kuwaamini vijana wengine wengi.

#kisarawe mpya#
#T2025 SSH#

Nikki umerudi tena?🤣🤣🤣🤣
 
Wewe si ndio uliimba mziki wa Sitaki kazi, sitaki kuajiriwa, sitaki kutumwa nataka nijitume??🤣🤣🤣🤣

Ona ulivyo nawili sasa hivi??🤣🤣
 
Back
Top Bottom