Dkt. Kigwangalla alipohamisha wanyama kutoka Serengeti/ Ngorongoro hadi Burigi Chato kelele zilipigwa sana kutokea Chadema

..bora wanyama wote wangehamishiwa Burigi / Chato, ili Ngorongoro ibakie eneo la Wamaasai kuchunga mifugo yao.
 
Tunakumbushana tu namna Wapinzani walivyomshambulia Dr Kigwangalla alipoamua kuboresha Hifadhi ya Burigi Chato

Ufipa st walicharuka kana kwamba Burigi Chato siyo Tanzania

Nchi ngumu sana!
Chato ni wapi? hebu tukumbushe
 
Tunakumbushana tu namna Wapinzani walivyomshambulia Dr Kigwangalla alipoamua kuboresha Hifadhi ya Burigi Chato

Ufipa st walicharuka kana kwamba Burigi Chato siyo Tanzania

Nchi ngumu sana!
Nasikia wata lii wanamiminika burigi mpaka wanamwagikaa!!
 
Tunakumbushana tu namna Wapinzani walivyomshambulia Dr Kigwangalla alipoamua kuboresha Hifadhi ya Burigi Chato

CHADEMA walicharuka kana kwamba Burigi Chato siyo Tanzania

Nchi ngumu sana!

So what ilikuwa move mbaya . Kama unaongelea ndege ya waarabu nenda moja kwa moja kwenye point. Chadema sio waswmaji wako hawako bungeni ingekuwa vema uongee na wabunge wako. Wakati ule waongeaji walikuwa wabunge
 
Tunakumbushana tu namna Wapinzani walivyomshambulia Dr Kigwangalla alipoamua kuboresha Hifadhi ya Burigi Chato

CHADEMA walicharuka kana kwamba Burigi Chato siyo Tanzania

Nchi ngumu sana!
Lakini leo hilohilo Likigwangala anachomesha mahindi Nzega, Waziri wa twitter.
 
Yani bora Jiwe alitangulia faster march 17 2021. Yani angeendelea kutawala miez mitatu Zaid uchui wa nchi ungeporomoka. Yani jamaa yeye alikuwa anacheza kuiba matrillion billion hakutaka kusikia. Ikulu ya chatto baada ya kufa wazalendo wamekuta macontainer ya kutosha yaliyoshehen hela zetu.

Magonjwa Mtambuka JF Member
Tangu 2021 ndo uje useme leo mambo ya hela?

Utakuja kuwa mchonganishi hadi upigwe mawe ufe.

Punguza.
 
Una takwimu za watalii waliokwenda Chato Tangu 2019?
Kwani kuhamisha wanyama na kupeleka eneo lingine la tanzania ni kwa ajili ya utalii tu.?

Hivi ukitokea mlipuko wa magonjwa serengeti ukaua pundamilia wote huoni badae wanaweza chukuliwa pundamilia wa chato au faru wakapelekwa serengeti.Sasa unaweza chukua pundamilia waliopo huko zoo abudhabi au Doha ukawaleta serengeti?
 
Back
Top Bottom