Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hayo mazungumzo ni kama ndio yamekuwa powered na yamekuwa na maana na wananchi wameyachukulia kwa uzito unaostahili ndio maana sisi wajuzi wa mambo tulishaona kwamba nchi hii vyama ni viwili tu...
1 Reactions
0 Replies
447 Views
Kumbe CCM na Chadema wamefanya Mikutano takribani 6 ya Maridhiano na hatimaye nchi sasa imekuwa moja na tunaenda Pamoja Hongera Mzee Kinana na timu yako ya Watu 5 Hongera Mzee Mbowe na timu...
1 Reactions
12 Replies
801 Views
Lugha yako, lafudhi yako, sura yako na unyenyekevu wako vinakupa kila aina ya sifa za kuwa kiongozi bora. Mambo matatu mazito umeyaruhusu leo ambayo ni nadra sana kuyasikia kwa viongozi wa...
0 Reactions
6 Replies
484 Views
Ni vizuri kwa anavyosifiwa sijakataa, ila ningependa kwa anaefahamu vizuri sheria inasemaje juu ya hili? Isitokee akakosolewa alafu sheria ikaleta ukakasi kama tunavyowajua wakosoaji wapo na...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
Mnyonge mnyongeni lakini Freeman Aikael Mbowe aka Mwamba amepambana sana kwa Habari ya Katiba mpya. Hata yule John Pambalu wa BAVICHA anastahili pongezi na ile timu yake. Hatimaye tunaenda kupata...
4 Reactions
4 Replies
512 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuondolewa kwa zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa zuio hilo lililodumu kwa miaka 6 baada ya kauli hii...
1 Reactions
2 Replies
722 Views
TRA kama ilivyo kwa Polisi, LATRA, Takukuru, EWURA, TCRA na wengine wa namna hiyo malamiko dhidi yao yanajulikana. Hakuwahi kusikia malalamiko ya watu wengine dhidi ya mamlaka hizi ikiwamo TRA...
23 Reactions
194 Replies
11K Views
Natumaini wote mtamaliza mwaka salama pamoja na wengine wetu kuanza kuharibiwa kipindi hiki na watu wasiojulikana. Tanzania ina mashujaa wengi sana ambao ama wamepoteza maisha au kuumia katika...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Kuna muda huwa najiuliza tu kama watanzania tulianza anzaje kuwa na mbunge kama Babu Tale Mwendazake alifanya kazi ya ubunge iwe ni kama kazi ya kubeti tu. Wanatangaza nafasi mwenye pesa...
23 Reactions
48 Replies
6K Views
Kundi la Watanzania wanaoishi nje ya nchi kupitia mtandao uitwao Green Advocates limejipanga kuhakikisha Rais wa sasa Dk Samia Suluhu Hassan anakuwa ndio mgombea wa CCM na kupata ushindi mkubwa...
0 Reactions
6 Replies
973 Views
Katika SIASA za HOVYO ambazo CCM imewahi KUZIFANYA toka kuanzishwa kwake ni Wakati wa Utawala wa wa AWAMU ya 5 Siasa hizo ni za 1. Kuvuruga UCHAGUZI wa SERIKALI za MITAA 2019 2. Kuvuruga UCHAGUZI...
4 Reactions
7 Replies
609 Views
ZITTO ACHA KUPOTOSHA. NI HIVI, MAKUSANYO YA AWAMU YA NNE NI SAWA NA MAKUSANYO YA MWAKA MMOJA TU KATIKA AWAMU YA TANO. Leo 10:15am,13/04/2020 Kulinganisha makusanyo ya miaka mitatu ya mwisho ya...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Nini kinaendelea? Hili ni swali linalogonga vichwa vya Watanzania wengi wenye shauku ya kujua majadiliano baina ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
21 Reactions
190 Replies
13K Views
Salaaam! Kuhusu kuundwa katiba mpya serikali haina budi kutenda haki juu ya muundo wa jopo au kamati au bunge ambalo halitahusisha mbunge yeyote na wa chama chochote, katiba iundwe na...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Amekuwa na wakati mzuri sana kwenye uongozi wake ndani ya muda mfupi. Ukiona mpaka viongozi wa upinzani hasa chama kama CHADEMA wanamkubali na kushiriki kwenye mwito wake ujue huo ni uungwana...
1 Reactions
6 Replies
470 Views
Gharma za bidhaa zilikuwa juu naona na mwaka huu bado zimeendelea kuwa juu. Bidhaa za muhimu sana zaidi ya mafuta zimekuwa bei ghali, CHAKULA. Sihitaji kutaja bei kwani kila anajione janga hili...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Hili jambo limenishangaza sana ! Na kwa utafiti niliofanya ni dhahiri wabunge wa ccm hawana uwezo wa kuitisha mikutano ya hadhara popote pale kwenye majimbo yao , ikiwa ni pamoja na vijiji...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakati bado najiuliza nani ataenda kuiwakilisha NCCR Magaeuzi kwenye kikao cha viongozi wa vyama vya siasa na Mh Rais, ila bado napata swali mwenyewe! Hivi walivyo wanasiasa wetu kesho unatarajia...
1 Reactions
11 Replies
981 Views
Nafuatilia hapa mkutano wa Rais Samia na viongozi wa vyama 19 vya siasa nchini amekiri wazi kuwa Serikali ipo tayari kuanza na kamati itakayoshauri Katiba ya Watanzania. Rais ameshauri wakati...
0 Reactions
3 Replies
476 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…