Baada ya CHADEMA kuhudhuria mazungumzo na Rais Samia

Vmatongo

Senior Member
Dec 8, 2021
155
236
Hayo mazungumzo ni kama ndio yamekuwa powered na yamekuwa na maana na wananchi wameyachukulia kwa uzito unaostahili ndio maana sisi wajuzi wa mambo tulishaona kwamba nchi hii vyama ni viwili tu kwa sasa namaanisha Chadema na ccm, hao Act hawana uzito kwenye majukumu makubwa kama haya kwa sababu Zito haaminiki..

Sisi wananchi tupo tayari kuwapa ushirikiano wote mtakaouhitaji ili Tanzania isonge mbele.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom