MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,161
- 35,716
Wakuu,
Kuna jambo nahisi hata wahiriri wetu na viongozi wa umma wameshindwa kurekebisha sababu ya mazoea au hapa tuambiane kama ni kiswahili sahihi.
Hivi ni sahihi kuita TISS kama Idara? Zamani najua taasisi nyingi za umma zilijulikana kama idara sababu hazikuwa zinajitegemea ila baada ya marekebisho makubwa na kuundiwa sheria zake zipo idara sio idara tena ikiwemo TISS. Kwanini imekuwa kawaida taasisi ya usalama wa taifa kuitwa Idara?
Inawezekana sifahamu ila naomba wajuvi watusaidie, tunapaswa kuita Taasisi ya Usalama wa Taifa au Idara ya Usalama wa Taifa?
Tuache wajuvi watujuze!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app