Wezi waliopo sasa ni wa namna hii.

Wezi waliopo sasa ni wa namna hii.

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2,622
Reaction score
3,147
Wanahujumu mali za umma kisha kesho yake wanaita vyombo vya habari na kumsifia Mama kwa sifa zote zilizopo Duniani.
 
Kwahiyo unamaanisha machawa ndio wezi?
Hawa ndo wezi wabaya zaidi kwa sababu wana ile ya kulindana.
Lakini pia, chawa mmoja akifanikiwa kupiga, anamtaarifu na chawa mwenzie kwamba, sehemu fulani kuna mpigo, usizubae.
 
Hawa ndo wezi wabaya zaidi kwa sababu wana ile ya kulindana.
Lakini pia, chawa mmoja akifanikiwa kupiga, anamtaarifu na chawa mwenzie kwamba, sehemu fulani kuna mpigo, usizubae.
Chawa watakufyonza dam
 
Back
Top Bottom