Mh.Silinde leo ameomba rasmi kujiunga na Chama Mapinduzi, na amesema yupo tayari kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa nguvu zote.
Spika Ndugai amemkaribisha na kumhamisha kwenye viti vya Upinzani...
Hayati Rais John Pombe Magufuli ndiye mtu aliyetajwa sana katika mwaka huu 2022,penye hoja na pasipokuwa na hoja,ndiye Rais pekee ambaye atazidi kuendelea kutajwa mara nyingi kwenye awamu hii na...
Sijawah kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok.
Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua...
Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani amefanikiwa kuboresha sekta ya elimu amejenga vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20 nchi nzima na kupelekea kufutwa kwa chaguo la pili kwa wanafunzi wa...
Gavana profesa Florence Luoga amemaliza muda wake kwa mujibu wa sheria za utumishi pale benki kuu, lakini jina lake litapakwa wino wa dhahabu kwa utumishi wake uliotukuka. Ni katika kipindi cha...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewasihi waandishi wa habari kuepuka kuandika maneno yasiyo ya staha na kuegemea upande mmoja wakati wa mikutano ya vyama siasa...
Hivi karibuni tulisikia vifaranga 60,000 vikiwa vimekufa kwa kukosa huduma kwenye uwanja wa ndege wa Dar baada ya kuingizwa nchini kinyume cha sheria na kutokuwa na vibali.
Vifaranga hivyo ni...
Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Masauni Yusuph Masauni ameitaja mikoa hiyo kuwa imekuwa na matukio ya kukamatwa kwa watuhumiwa waliokimbia baada ya kufanya vitendo vya ugaidi katika nchi jirani...
Wakati Shirika la Fedha Duniani (IMF) likitoa fedha shilingi trilioni 1.3 kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa virusi vya Korona, matumizi yake nchini Tanzania yalikua ya tofauti jambo...
Kwa kipindi cha miaka michache iliyopita nchi yetu haikuwa na sura nzuri katika swala la demokrasia, haki za watu na mahusiaono ya nje.
Ki-ukweli kabisa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...
Leo wakati Rais akizindua mpango wa maendeleo (tafsiri "matumizi") ya pesa ya Covid kutoka IMF, amesema anaagiza watumie "single source" kwenye manunuzi na kandarasi. Kasema zabuni za kawaida...
1. Job Ndugai; alipata madaraka makubwa na katika maeneo yote aliyowahi kuongoza hakuna eneo alifanikiwa kupewa sifa Bali siasa ilimfedgeesha.
Kwa SASA amezeeka lakini uzee wake umeambatana na...
Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amegoma kupokea sh,milioni 1 aliyopewa kama zawadi na halmashauri ya jiji la Arusha kutokana na mchango wake katika sekta ya elimu, badala yake ameelekeza fedha...
Hongera na kazi wadau.
Nitumie fursa hii kueleza habari njema za Royal Tour.
Idadi ya Watalii Waliotembelea Tanzania kwa miezi 11 ya mwaka 2022 wamefikia Milioni Moja na Laki mbili(1,200,000)...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amezungumzia uamuzi wa Rais Samia Suluhu kuruhusu mikutano ya siasa ya vyama, ambapo amewatahadharisha Wanahabari juu ya mikutano...
Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangia waziri wa nishati, Mh. January Makamba, atangaze mpango wa serikali utakaoiwezesha nchi yetu kuwa petrol hub itakayokuwa inasambaza mafuta haya kwa nchi nyingi...
KIGWANGALA NA BASHIRU NI MAPACHA!!
Jana Desemba 04, 2022 kwenye mitandao ya kijamii pameibuka mjadala kuhusu Mabehewa ya Reli yetu tarajiwa ya kisasa ulioanzishwa na Mbunge wa Chama chetu cha...
Amepotea na amekuwa kimya sana ni kama hayupo tena katika uga wa siasa zetu! Jamaa ni simba kweli kweli lakini nahisi ameng'olewa meno! Hasikiki tena na hata ziara zake hazipo kama enzi za mwendazake!
Watakaoiweza CCM ni wale tu,wanaoijua CCM kama nyumba yao.
Wanaoujua ubaya wake na mbinu chafu zake.
Upinzani Makini upo humo humo ndani ya CCM na sio sehemu nyingine.
Kadri watakavyoraruana,ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.