Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning.
Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima...
Katibu mkuu wa CCM mh Chongolo amemshukuru Rais Samia kwa kuruhusu Mikutano ya siasa
Chongolo amesema wamekuwa wakiusubiri kwa muda mrefu fursa hii ili wawahabarishe Wananchi utekelezaji wa...
Rais Samia Suluhu kaika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar maadhimisho hayo yamefanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 10 Januari, 2023
Amezungumzia mambo...
Wazalendo amani iwe kwenu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya ufungaji wa Matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)...
Spika wa bunge Dr. Tulia Ackson amesema Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi wa CCM 2020-2025 aliongeza kuwa wananchi wa kata ya Iyela- Mbeya ni mashahidi kwa...
Walipoanza ilionekana kana kwamba hawa jamaaa ni marafiki sana but mambo yalikuja badilika. Kagame kama Magufuli hana rafiki wala adui wa kudumu.
Kuna sehemu maslahi ya hizi nchi mbili...
Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.
Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani...
Kupitia wizara zake za Wizara ya Elimu na TAMISEMI.....Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania imeonesha nia na juhudi kubwa za kuwekeza katika ujenzi wa madarasa mapya na pia kuongeza shule...
HABARI PICHA
Mkutano Baina ya Waziri wa Kilimo na Wahariri wa vyombo vya Habari Pamoja na Wadau wa Sekta ya Kilimo Unaendelea katika Ukumbi wa Mabele Jijini Dodoma.
Ajenda 10/30
KILIMO NI BIASHARA
SINGIDA KASKAZINI YANEMEEKA NA MIRADI YA MAJI, SERIKALI YATATUA KERO.
Jimbo la Singida Kaskazini linazidi kupata Miradi mbalimbali ya Maendeleo kila iitwapo leo Kwani Wanasingida Kaskazini kwa...
Nawashauri tu wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wanaoishi Ulaya mh Tundu Lissu na Godbless Lema wamwachie nafasi wakili msomi Peter Kibatala aweze kutimiza majukumu yake kwa wepesi.
Lissu na Lema...
Waziri wa Elimu Prof Mkenda amesema anashangazwa kuona Joining Instructions za Wanafunzi wa shule za Serikal zikiwataka kutoa michango mbalimbali inayofikia hadi sh 300,000 kwa mwanafunzi mmoja...
Kuna clip imesambaa kwenye mitandao ikimuonyesha nesi anayelazimisha kutumika dawa zilizo expire.
Huyu aliyerekodu video ile na ikarushwa tukaifaidi anastahili kupongezwa na kama ni mfanyakazi...
Kauli hiyo ya Kikakamavu imetolewa na Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Mbeya, Mh Suma Fyandomo.
Fyandomo Ametaja Sababu ya uwanja huo kubadili jina lake kuwa ni Kwa vile Tulia Ackson ni Mwenyeji...
Kuna watu hapa JF wanakariri habari za miaka ya nyuma halafu wanazileta sasa bila ya kujua nini haswa wanachokiandika.
Ni hawa wanaopenda kuandika habari za nchi kuibiwa, na habari za ndege...
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia hivi punde kwamba Mwl Mnyeti, ambaye wakati wa awamu ya 5 alipanda ghafla kutoka ualimu wa sekondari hadi UDC na hatimaye U RC na baadaye ubunge wa bila...
Hello
Bwana Sugu naona Jimbo la Mbeya Mjini kwa Sasa huna Chako maana Dk. Tulia Ackson anafanya kweli na Wana Mbeya wapenda Maendeleo wamemuelewa.
Zama za kudanganya Vijana wasiojielewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.