Kigwangalla na Bashiru ni mapacha

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
KIGWANGALA NA BASHIRU NI MAPACHA!!

Jana Desemba 04, 2022 kwenye mitandao ya kijamii pameibuka mjadala kuhusu Mabehewa ya Reli yetu tarajiwa ya kisasa ulioanzishwa na Mbunge wa Chama chetu cha Mapinduzi CCM wa Jimbo la Nzega, Mheshimiwa Dkt Hamis Kigwangala.

Niseme tu kama Mwanachama wenzake wa CCM nimeshtushwa sana, kwani dhambi aliyoifanya Dkt Bashiru dhidi ya mafanikio makubwa ya Rais Dkt Samia, ndiyo dhambi hiyo hiyo aliyoifanya Dkt Kigwangala. Hii dhambi inaitwa UNAFIKI WA KISIASA.

Naomba nizungumze kidogo na Mhe. Kigwangala kwani sio tu hoja zake juu ya hayo Mabehewa lakini pia uhalali (legitimacy) wake wa kuzodoa HADHARANI juhudi hizi zisizomithilika za Rais wetu Samia za kutekeleza miradi hii ya mikakati iliyoanishwa kwenye Ilani ya CCM ya mwaka 2020/2025 inatia MASHAKA makubwa kwenye umma.

Dkt Kigwangala,

Unashangaa mabehewa kuletwa yaliyotumika (used) huku unasema huna shida na Rais wetu Dkt Samia wala Baraza la Mawaziri kwamba una shida na TRC;

1) Tuseme hujaona ripoti ya TRC na Serikali kuhusu hadhi ya Mabehewa hayo kupitia tovuti na mitandao ya kijamii kwamba hayo mabehewa yaliyowasili nchini ni MAPYA yametengenezwa na kampuni ya Sung Shin Rolling Stock Technology Limited ya nchini Korea Kusini na kwamba ni kwa ajili ya ECONOMY CLASS? Huiamini TRC? Humwamini Waziri Mbarawa? Humwamini Msemaji Mkuu wa Serikali Msigwa? Kwako mabehewa mapya unataka hadi yameremete kama vito vya thamani?

2) Na hata kama tuseme hayo mabehewa ni "used", je ni kitu cha kushangaa? Tuseme hukuisikia Hotuba ya Rais Dkt Samia aliposema; "... Sitaki kuficha hapa, tutanunua vya kuanzia, tutanunua vilivyotumika (used) lakini vyenye hali nzuri, tutavitengeneza reli ifanye kazi."? Halafu bado unasema huna shida na Rais? Unaona sahihi kutomwamini na kupingana na Mwenyekiti wako wa Chama hadharani? Unadhani sote ni watoto wa 'vidudu' hatuwezi kutafsiri?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alienda hadi kiwandani huko Korea ya Kusini yanapotengenezwa mabehewa na injini za treni na akathibitishia umma wa dunia kwamba mabehewa yote yana viwango vya kimataifa vya treni ya kisasa na kuruhusu yaletwe nchini, wewe unasema ishu ya mabehewa si ya Baraza la Mawaziri wala Rais, ni ya TRC unamhadaa nani? Humwamini Waziri Mkuu, Humwamini Rais na Mwenyekiti wako wa Chama? Ooops!!

Hapo Twitter naona umeweka magazijuto lukuki ukihangaika kuonesha Mabehewa ya treni yaliyoletwa si yenye hadhi ya kutumiwa na treni ya kisasa tuliyoahidiwa, unamaanisha hujui utofauti wa madaraja katika vyombo hivi vya usafiri? Unataka First Class na Economy Class ziwe Sawa? Nauli zitakuwa Sawa? Mbona wewe kama Mbunge una Bima ya daraja la kwanza tofauti kabisa na wapiga kura wako wa Nzega wenye bima ya Afya ya elfu 30? Mbona huwa hutuwekei msururu wa posts kuonesha utofauti wa bima hizo na kupigania usawa?

Dkt Kigwagala,

Hold on:

Kupitia maandiko yako umesema mabehewa yaliyonunuliwa ni ya masafa marefu wakati kipande cha reli kilichokamilika ni cha Dar es Salaam hadi Morogoro; ulitaka Serikali ya Chama chetu cha Mapinduzi CCM inunue treni ya masafa mafupi halafu baadae reli ya Dar es Salaam hadi Mwanza ikikamilika Serikali iingie tena gharama ya kununua treni ya masafa marefu? Procurement ya Chuo gani hii umesomea Dkt?

Dkt Kigwangala, kwenye suala la manunuzi Usijifiche kwenye kivuli cha Shirika la Reli (TRC) Kaka yangu, wewe mtaje unayetaka kumtaja tujue moja, usizunguke mbuyu.

LEGITIMACY.

Kaka yangu Kigwangala unajua wazi implications za wewe Mbunge, Kigogo wa zamani wa Chama na Serikali tena wa ngazi ya juu kabisa (Baraza la Mawaziri) kukosoa juhudi za Serikali ya Chama chako hadharani; una immunity ya Bunge kusema Bungeni hujasema, unaogopa? Kuna Umoja wenu wa Wabunge wa CCM hujasema, kuna kuandika barua straight kwa Katibu Mkuu na hata Mwenyekiti wa Chama chetu hujaandika; UNAKUJA KUANDIKA TWITTER unataka tukuone una nia njema na Rais na Serikali yetu?

Dkt Kigwangala,

UNAFIKIRISHA!!

Suphian Juma Nkuwi,
Kada-CCM
Desemba 05, 2022.

_20221205_183349.JPG
 
Labda amekumbuka enzi zake
Akiwa mbishi pale Nzega!

Ila ni lini CCM mtaacha kupigana makufuli Midomoni?

Hii nguvu kubwa unayoitumia wewe Sufiani Juma na Lucas Mwashambwa ni nini malipo yenu?

Je!
Nyinyi pia hamkumbuki kwamba Samia nae ni mpita njia na ataondoka Ikulu na kumpisha mwingine muda wake ukifika?

Je!
Huyo atakaefuata yeye mnamjua kama nae atawaweka kundi gani?

Je!
Unajitoa ufahamu kwamba,mwana "CCM" akiandika au kuhoji mambo yasiyompendeza kupitia vikao vyenu. CCM Inakuwa "hatari" kwake,kuliko njia hii mpya ambayo hata Raia tunapata kujua na hivyo kuwafanya wabaki salama!

Kwa CCM kuogopa kuwadhuru!

Je, Mnadhani kwa mtindo huu mnamjenga Samia au "CCM" yenu?

Mbona "ANC" wameweza na nyinyi mmeshindwa!

Tatizo mnatetea viongozi wenu badala ya kutetea wananchi waliowateua.

Acheni "TumboPolitics" nchi hii,sio ya kikundi bali ni ya wananchi wapiga kura wa nchi hii.

Mnatetea UFISADI kuliko wahanga wa UFISADI!

View attachment 2436965
 
Kaka, tufanye ww sio Kada wa ccm, ni raia wa kawaida, tena mkulima ambae Kodi yako inakatwa vizuri kabisa

Hiko alichoongea kigwangala ni Sawa yy kusema na kutoa alart au sio sawa?

Je, ni haki yake kuhoji au hapana ?

Naomba ujibu kama raia na sio kama Kada wa CCM.
 
Wanaandika Vijana Wazalendo wa TRC

Jana Desemba 04, 2022 kwenye mitandao ya kijamii pameibuka mjadala kuhusu Mabehewa ya Reli yetu tarajiwa ya kisasa ulioanzishwa na Mbunge wa Chama chetu cha Mapinduzi CCM wa Jimbo la Nzega, Mheshimiwa Dkt HKigwangalla. twitter.com/i/web/status/1…
Image

Niseme tu kama Mwanachama wenzake wa CCM nimeshtushwa sana, kwani dhambi aliyoifanya Dkt Bashiru dhidi ya mafanikio makubwa ya Rais Dkt @SuluhuSamia, ndiyo dhambi hiyo hiyo aliyoifanya Dkt Kigwangala. Hii dhambi inaitwa UNAFIKI WA KISIASA.
Naomba nizungumze kidogo na Mhe. Kigwangala kwani sio tu hoja zake juu ya hayo Mabehewa pia uhalali wake wa kuzodoa HADHARANI juhudi hizi zisizomithilika za Rais wetu Samia za kutekeleza miradi hii ya mikakati iliyoanishwa kwenye Ilani ya CCM ya 2020/2025 inatia MASHAKA makubwa.

Dkt Kigwangala,

Unashangaa mabehewa kuletwa yaliyotumika (used) huku unasema huna shida na Rais wetu Dkt Samia wala Baraza la Mawaziri kwamba una shida na TRC;

1) Tuseme hujaona ripoti ya TRC na Serikali kuhusu hadhi ya Mabehewa hayo kupitia tovuti na mitandao ya kijamii kwamba hayo mabehewa yaliyowasili nchini ni MAPYA yametengenezwa na kampuni ya Sung Shin Rolling Stock Technology Limited ya nchini Korea Kusini na kwamba ni kwa ajili ya ECONOMY CLASS? Huiamini TRC? Humwamini Waziri Mbarawa? Humwamini Msemaji Mkuu wa Serikali Msigwa? Kwako mabehewa mapya unataka hadi yameremete kama vito vya thamani?

2) Na hata kama tuseme hayo mabehewa ni "used", je ni kitu cha kushangaa?

Tuseme hukuisikia Hotuba ya Rais Dkt Samia aliposema; "... Sitaki kuficha hapa, tutanunua vya kuanzia, tutanunua vilivyotumika (used) lakini vyenye hali nzuri, tutavitengeneza reli ifanye kazi."? Halafu bado unasema huna shida na Rais?

Unaona sahihi kutomwamini na kupingana na Mwenyekiti wako wa Chama hadharani? Unadhani sote ni watoto wa 'vidudu' hatuwezi kutafsiri?
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alienda hadi kiwandani huko Korea ya Kusini yanapotengenezwa mabehewa na injini za treni na akathibitishia umma wa dunia kwamba mabehewa yote yana viwango vya kimataifa vya treni ya kisasa na kuruhusu yaletwe nchini,
wewe unasema ishu ya mabehewa si ya Baraza la Mawaziri wala Rais, ni ya TRC unamhadaa nani? Humwamini Waziri Mkuu, Humwamini Rais na Mwenyekiti wako wa Chama? Ooops!!

Hapo Twitter naona umeweka magazijuto lukuki ukihangaika kuonesha Mabehewa ya treni yaliyoletwa si yenye hadhi ya kutumiwa na treni ya kisasa tuliyoahidiwa, unamaanisha hujui utofauti wa madaraja katika vyombo hivi vya usafiri?

Unataka First Class na Economy Class ziwe Sawa? Nauli zitakuwa Sawa? Mbona wewe kama Mbunge una Bima ya daraja la kwanza tofauti kabisa na wapiga kura wako wa Nzega wenye bima ya Afya ya elfu 30? Mbona hutuwekei msururu wa posts kuonesha utofauti wa bima hizo na kupigania usawa?

Dkt Kigwagala,

Hold on:

Kupitia maandiko yako umesema mabehewa yaliyonunuliwa ni ya masafa marefu wakati kipande cha reli kilichokamilika ni cha Dar es Salaam hadi Morogoro; ulitaka Serikali ya Chama chetu cha Mapinduzi CCM inunue treni ya masafa mafupi halafu baadae reli ya Dar es Salaam hadi Mwanza ikikamilika Serikali iingie tena gharama ya kununua treni ya masafa marefu? Procurement ya Chuo gani hii umesomea Dkt?

Dkt Kigwangala, kwenye suala la manunuzi Usijifiche kwenye kivuli cha Shirika la Reli (TRC) Kaka yangu, wewe mtaje unayetaka kumtaja tujue moja, usizunguke mbuyu.
LEGITIMACY.

Kaka yangu Kigwangala unajua wazi implications za wewe Mbunge, Kigogo wa zamani wa Chama na Serikali tena wa ngazi ya juu kabisa (Baraza la Mawaziri) kukosoa juhudi za Serikali ya Chama chako hadharani; una immunity ya Bunge kusema Bungeni hujasema, unaogopa?

Kuna Umoja wenu wa Wabunge wa CCM hujasema, kuna kuandika barua straight kwa Katibu Mkuu na hata Mwenyekiti wa Chama chetu hujaandika; UNAKUJA KUANDIKA TWITTER unataka tukuone una nia njema na Rais na Serikali yetu?

1) Tuseme hujaona ripoti ya TRC na Serikali kuhusu hadhi ya Mabehewa hayo kupitia tovuti na mitandao ya kijamii kwamba hayo mabehewa yaliyowasili nchini ni MAPYA yametengenezwa na kampuni ya Sung Shin Rolling Stock Technology Limited ya nchini Korea Kusini na kwamba ni kwa ajili
ya ECONOMY CLASS? Huiamini TRC? Humwamini Waziri Mbarawa? Humwamini Msemaji Mkuu wa Serikali Msigwa? Kwako mabehewa mapya unataka hadi yameremete kama vito vya thamani?

2) Na hata kama tuseme hayo mabehewa ni "used", je ni kitu cha kushangaa?
Tuseme hukuisikia Hotuba ya Rais Dkt Samia aliposema; "... Sitaki kuficha hapa, tutanunua vya kuanzia, tutanunua vilivyotumika (used) lakini vyenye hali nzuri, tutavitengeneza reli ifanye kazi."? Halafu bado unasema huna shida na Rais?
Unaona sahihi kutomwamini na kupingana na Mwenyekiti wako wa Chama hadharani? Unadhani sote ni watoto wa 'vidudu' hatuwezi kutafsiri?
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alienda hadi kiwandani huko Korea ya Kusini yanapotengenezwa mabehewa na injini za treni na akathibitishia umma wa dunia kwamba mabehewa yote yana viwango vya kimataifa vya treni ya kisasa na kuruhusu yaletwe nchini,
wewe unasema ishu ya mabehewa si ya Baraza la Mawaziri wala Rais, ni ya TRC unamhadaa nani? Humwamini Waziri Mkuu, Humwamini Rais na Mwenyekiti wako wa Chama? Ooops!!

Hapo Twitter naona umeweka magazijuto lukuki ukihangaika kuonesha Mabehewa ya treni yaliyoletwa si yenye hadhi ya kutumiwa na treni ya kisasa tuliyoahidiwa, unamaanisha hujui utofauti wa madaraja katika vyombo hivi vya usafiri?
Unataka First Class na Economy Class ziwe Sawa? Nauli zitakuwa Sawa? Mbona wewe kama Mbunge una Bima ya daraja la kwanza tofauti kabisa na wapiga kura wako wa Nzega wenye bima ya Afya ya elfu 30? Mbona hutuwekei msururu wa posts kuonesha utofauti wa bima hizo na kupigania usawa?
Dkt Kigwagala,

Hold on:

Kupitia maandiko yako umesema mabehewa yaliyonunuliwa ni ya masafa marefu wakati kipande cha reli kilichokamilika ni cha Dar es Salaam hadi Morogoro; ulitaka Serikali ya Chama chetu cha Mapinduzi CCM inunue treni ya masafa mafupi halafu baadae reli ya
Dar es Salaam hadi Mwanza ikikamilika Serikali iingie tena gharama ya kununua treni ya masafa marefu? Procurement ya Chuo gani hii umesomea Dkt?
Dkt Kigwangala, kwenye suala la manunuzi Usijifiche kwenye kivuli cha Shirika la Reli (TRC) Kaka yangu, wewe mtaje unayetaka kumtaja tujue moja, usizunguke mbuyu.
LEGITIMACY.

Kaka yangu Kigwangala unajua wazi implications za wewe Mbunge, Kigogo wa zamani wa Chama na Serikali tena wa ngazi ya juu kabisa (Baraza la Mawaziri) kukosoa juhudi za Serikali ya Chama chako hadharani; una immunity ya Bunge kusema Bungeni hujasema, unaogopa?
Kuna Umoja wenu wa Wabunge wa CCM hujasema, kuna kuandika barua straight kwa Katibu Mkuu na hata Mwenyekiti wa Chama chetu hujaandika; UNAKUJA KUANDIKA TWITTER unataka tukuone una nia njema na Rais na Serikali yetu?

Dkt Kigwangala,

UNAFIKIRISHA!!
Huwez mfananisha Bashiru na hio takataka ingine.
 
Shida kuhoji ukweli( wao ) halisi unaosemwa na kutuaminisha vs Ukweli wa Kigwa.
Watueleze sio kutushawishi.
 
Alaaa! Kwani shida ni nini? Huoni mantiki ktk maelezo ya mhe rais na yale ya waziri mkuu kuna ukinzani?

Rais anasema tutanunua used na wakati huo huo waziri mkuu alienda kiwandani. Huku waziri wa miundombinu akisema ni used. Halafu gharama yake ni kubwa mno.

Jibu hoja za Kigwangalla usimshambulie
 
Mtoa mada hata ww ukiangalia vizuri hilo ni kontena la kawaida sana.
 
Ukweli unauma watulie na kufanyia kazi hizo hoja, sio kulalamika kwanini mtu kahoji.
 
Tatizo la chawa ni kutetea uongozi na si wananchi.

Wananchi (akiwemo Kigwangala) wana mashaka na yale mabehewa kuwa kuna upigaji,kwanini uchunguzi usifanyike?

Mnaficha nini hadi kutaka kuwageuzia kibao wanao hoji?

Mnazidi kutufanya tuwe na mashaka zaidi,kwa taarifa yako mleta mada
 
KIGWANGALA NA BASHIRU NI MAPACHA!!

Jana Desemba 04, 2022 kwenye mitandao ya kijamii pameibuka mjadala kuhusu Mabehewa ya Reli yetu tarajiwa ya kisasa ulioanzishwa na Mbunge wa Chama chetu cha Mapinduzi CCM wa Jimbo la Nzega, Mheshimiwa Dkt Hamis Kigwangala.

Niseme tu kama Mwanachama wenzake wa CCM nimeshtushwa sana, kwani dhambi aliyoifanya Dkt Bashiru dhidi ya mafanikio makubwa ya Rais Dkt Samia, ndiyo dhambi hiyo hiyo aliyoifanya Dkt Kigwangala. Hii dhambi inaitwa UNAFIKI WA KISIASA.

Naomba nizungumze kidogo na Mhe. Kigwangala kwani sio tu hoja zake juu ya hayo Mabehewa lakini pia uhalali (legitimacy) wake wa kuzodoa HADHARANI juhudi hizi zisizomithilika za Rais wetu Samia za kutekeleza miradi hii ya mikakati iliyoanishwa kwenye Ilani ya CCM ya mwaka 2020/2025 inatia MASHAKA makubwa kwenye umma.

Dkt Kigwangala,

Unashangaa mabehewa kuletwa yaliyotumika (used) huku unasema huna shida na Rais wetu Dkt Samia wala Baraza la Mawaziri kwamba una shida na TRC;

1) Tuseme hujaona ripoti ya TRC na Serikali kuhusu hadhi ya Mabehewa hayo kupitia tovuti na mitandao ya kijamii kwamba hayo mabehewa yaliyowasili nchini ni MAPYA yametengenezwa na kampuni ya Sung Shin Rolling Stock Technology Limited ya nchini Korea Kusini na kwamba ni kwa ajili ya ECONOMY CLASS? Huiamini TRC? Humwamini Waziri Mbarawa? Humwamini Msemaji Mkuu wa Serikali Msigwa? Kwako mabehewa mapya unataka hadi yameremete kama vito vya thamani?

2) Na hata kama tuseme hayo mabehewa ni "used", je ni kitu cha kushangaa? Tuseme hukuisikia Hotuba ya Rais Dkt Samia aliposema; "... Sitaki kuficha hapa, tutanunua vya kuanzia, tutanunua vilivyotumika (used) lakini vyenye hali nzuri, tutavitengeneza reli ifanye kazi."? Halafu bado unasema huna shida na Rais? Unaona sahihi kutomwamini na kupingana na Mwenyekiti wako wa Chama hadharani? Unadhani sote ni watoto wa 'vidudu' hatuwezi kutafsiri?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alienda hadi kiwandani huko Korea ya Kusini yanapotengenezwa mabehewa na injini za treni na akathibitishia umma wa dunia kwamba mabehewa yote yana viwango vya kimataifa vya treni ya kisasa na kuruhusu yaletwe nchini, wewe unasema ishu ya mabehewa si ya Baraza la Mawaziri wala Rais, ni ya TRC unamhadaa nani? Humwamini Waziri Mkuu, Humwamini Rais na Mwenyekiti wako wa Chama? Ooops!!

Hapo Twitter naona umeweka magazijuto lukuki ukihangaika kuonesha Mabehewa ya treni yaliyoletwa si yenye hadhi ya kutumiwa na treni ya kisasa tuliyoahidiwa, unamaanisha hujui utofauti wa madaraja katika vyombo hivi vya usafiri? Unataka First Class na Economy Class ziwe Sawa? Nauli zitakuwa Sawa? Mbona wewe kama Mbunge una Bima ya daraja la kwanza tofauti kabisa na wapiga kura wako wa Nzega wenye bima ya Afya ya elfu 30? Mbona huwa hutuwekei msururu wa posts kuonesha utofauti wa bima hizo na kupigania usawa?

Dkt Kigwagala,

Hold on:

Kupitia maandiko yako umesema mabehewa yaliyonunuliwa ni ya masafa marefu wakati kipande cha reli kilichokamilika ni cha Dar es Salaam hadi Morogoro; ulitaka Serikali ya Chama chetu cha Mapinduzi CCM inunue treni ya masafa mafupi halafu baadae reli ya Dar es Salaam hadi Mwanza ikikamilika Serikali iingie tena gharama ya kununua treni ya masafa marefu? Procurement ya Chuo gani hii umesomea Dkt?

Dkt Kigwangala, kwenye suala la manunuzi Usijifiche kwenye kivuli cha Shirika la Reli (TRC) Kaka yangu, wewe mtaje unayetaka kumtaja tujue moja, usizunguke mbuyu.

LEGITIMACY.

Kaka yangu Kigwangala unajua wazi implications za wewe Mbunge, Kigogo wa zamani wa Chama na Serikali tena wa ngazi ya juu kabisa (Baraza la Mawaziri) kukosoa juhudi za Serikali ya Chama chako hadharani; una immunity ya Bunge kusema Bungeni hujasema, unaogopa? Kuna Umoja wenu wa Wabunge wa CCM hujasema, kuna kuandika barua straight kwa Katibu Mkuu na hata Mwenyekiti wa Chama chetu hujaandika; UNAKUJA KUANDIKA TWITTER unataka tukuone una nia njema na Rais na Serikali yetu?

Dkt Kigwangala,

UNAFIKIRISHA!!

Suphian Juma Nkuwi,
Kada-CCM
Desemba 05, 2022.

View attachment 2436943
Kidosho wa UWT unabidii sana kutafuta uteuzi
 
Back
Top Bottom