Rais Magufuli leo amefanya ziara Wilayani Missenyi ili kujionea athari za tetemeko la ardhi lililoukumba mkoa wa Kagera.
Rais akiongea kwa ujasiri amesema kuwa hili tetemeko limeipiga serikali...
Miaka miwili tu;
☞Sumaye amenyang'anywa mashamba
☞Bomoa bomoa isiyokuwa na moyo wala sheria imewaumiza mamia ya watanzania.
☞Wabakaji wa watoto wameachiwa mtaani
☞Mbowe amenyang'anywa Club na...
Hello Mapinduzi Day.
Kwa kauli hii, Musukuma anaongea kama nani? Tamisemi wanawategaje?👇
===
Wabunge Mkoani Geita wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutazama...
Gthinkers wasalaam,
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa Twitter.
Ukweli ni kwamba bei ya mafuta imeshuka sana Tanzania japo...
DEMOKRASIA HAIWAFAI WATU AINA YA MDUDE CHADEMA
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Mwaka juzi niliandika makala moja iliyokuwa ikimuonya na kumrekebisha Mwanaharakati na mwana chama wa Chadema, Ndugu...
Why Job Ndugai will still smile all the way to the bank
thecitizen.co.tz
Jan 7, 2022 12:00 PM
Even though the Speaker of Tanzania's National Assembly, Job Ndugai, has unceremoniously resigned from...
Nashindwa kuamini kabisa kuwa hii ndio chuki iliyopo katika siasa zetu.
Hapa ni Ofisi za Meya wa Jiji Karimujee hall Wamewaka Picha za Mameya wote Kabla ya Tanganyika Kupata Uhuru na baada ya...
On retirement the president is entitled to the following benefits under this law.
To begin with he shall be entitled to annual pension that will be payable to him every month at the rate of 80%...
Ni lazima nikiri wazi kabisa, mimi nilikuwa ni mmoja wa wanaomuunga mkono JPM kwa muda wote aliokaa madarakani. Sikuficha kuunga kwangu mkono, nilisimama nae muda wote. Bahati mbaya Binadamu siku...
Mkuu wa wilaya ya Mbarali amepandishwa kizimbani mkoani Lindi
DC alifisadi Fedha za kuchimba Visima alipokuwa akihudumu kama DED wa Ruangwa Jimboni kwa Waziri mkuu mh Majaliwa
Source ITV habari
Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa.
Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya...
Waziri Mwingulu ameyasema hayo leo Jumatano Januari 11, 2023 alipokuwa akifungua Kongamano la Kodi Kitaifa jijini Dar es Salaam, akisema tofauti na zamani, sasa miongoni mwa Watanzania milioni...
Hii nchi hapa ndio huwa tunakwama kwamba hakuna jambo linaenda bila kuwa na element za siasa ndani yake, Nilitarajia Program ya Bashe iwe ya kusasa na kushindana na Program kama hizi kule Egypt...
Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.
Historia inaonesha...
Salaam wanajukwaa na watanzania wote.
Kwanza, nimshukuru Mungu muumba kwa uzima na afya tele NAMI nimeiona siku ya leo.
Pili, Nimshukuru Rais wetu Mpendwa Mama msikivu, mnyenyekevu, mpole...
1. Uchumi wa Tanzania umeendelea kuzorota siku hadi siku. Na sasa maisha ya wananchi wengi yako taabani.
2. Ni nini serikali imekosea hadi hali ya uchumi wetu kuwa taabani kuliko wakati wowote...
Kwa kumbukumbu zangu huyu ndio Balozi bora kabisa wa Marekani kuwahi kuhudumu Nchini Tanzania .
Taarifa zinadokeza kwamba amehudumu nchini Tanzania kwa miaka miwili na Nusu
Binafsi nitamkumbuka...
Leo Jumatatu ya tarehe 09/01/2023 wanafunzi wamefungua shule ikiwemo wanafunzi 1,073,941 walioanza kidato cha kwanza ambao wote walipangiwa shule hakuna mwanafunzi ambaye yuko nyumbani kusubiri...
ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni 4MIL, na serikali inalipa kila mwaka
Hili limesemwa na Mwenyekiti wa Shule Binafsi Tanzania. Na amemshauri Rais akae na...
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Engaruka wilaya ya Monduli,mkoani Arusha,wamejeruhiwa vibaya kwa kipigo na baadhi yao kulazwa hopitalini mara baada ya kundi la wananchi wa kijiji cha...