Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Andrea Tsere amesema mtu yoyote Atakayesimama na mwanafunzi kwa Dakika 15 atakamatwa na polisi na kuandikishwa maelezo walichokuwa wakiongea. Kama kuna...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa. Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya...
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Hivi nini maana ya diaspora? Na Je, Lissu na Lema nao si diaspora au tofauti yao na hao diaspora wetu ni nini? Kwa nini wao tunawarusu kupiga siasa za nchi yetu na kuwaruhusu kugombea hadi uraisi...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa mpya ambayo imepatikana leo, kwamba kwenye uzinduzi wa Mikutano ya hadhara, Makamanda hawa watakuwepo, kwa vile tayari maandalizi ya kurejea nyumbani kutoka huko waliko...
24 Reactions
70 Replies
5K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kesho Jumatatu 09/01/2023 Kitaongea na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama hicho , yaliyo nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni...
9 Reactions
82 Replies
5K Views
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa ketu ambapo kilimo pekee kimeweza kutoa ajira kwa 70%. Kilimo ni biashara kwa sababu mkulima anaweza kuuza mazao anayolima kibiashara na kumtengenezea kipato. Na...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Kikwete ndiyo binadamu anayejua uchumi na siasa kwa pamoja. Agenda yake ya awamu ya pili alifanikiwa sana. Aliunganisha makao makuu ya mikoa kwa barabara za lami, nchi za jirani kwa lami, mfano...
5 Reactions
11 Replies
938 Views
CHADEMA kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo. 1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti. 2. Katibu mkuu awe Heche. 3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa...
5 Reactions
76 Replies
4K Views
Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha sekta binafsi inayoiwezesha nchi kukuza uchumi na kupata maendelo. Dk Mwigulu aliwaeleza...
1 Reactions
2 Replies
412 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara ya Elimu Bara na ile ya Zanzibar zinafanya kazi kwa kushirikiana katika suala la mageuzi ya Sera ya Elimu na maboresho ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Kuna Madudu huwa yanaendelea ila ukiweka mzani unaona wao wana nafuu hasa linapokuja suala la aman, demokrasia na maendeleo. Mwinyi mzee wa...
11 Reactions
53 Replies
2K Views
RC. KAFULILA ATIMUA MAOFISA USHIRIKA WA WILAYA6, AVUNJA UONGOZI AMCOS 335, BEI YA PAMBA SASA KUVUNJA REKODI YA MIAKA30. Haya ndio mambo 9 kwa mwelekeo wa Pamba Simiyu; 1. " Inafahamika Simiyu...
7 Reactions
77 Replies
5K Views
Wakuu, Tukiwa bado kwenye majonzi ya kumpoteza aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Joseph Magufuli. R.I.P Ifike wakati sasa Rais atakayepoteza maisha akiwa madarakani basi mrithi awe ni...
24 Reactions
198 Replies
13K Views
Leo tunaadhimisha miaka 59 mapinduzi ya zanzibar nimekumbuka maneno ya Rais Samia Suluhu aliyosema akiwa anahutubia katika kuhitimisha Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Hawa vijana wa CHADEMA waliojazana humu na kutoa maneno ya kejeli kumbe ni bure kabisa. Ni bure kiasi kwamba hawawezi kuongea kwenye mikutano ya hadhara na ndiyo maana wameahirisha kuanza...
1 Reactions
14 Replies
865 Views
Kwa namna tume ya uchaguzi, Katiba na kanuni za uchaguzi zilivyo sasa hivi itakuwa kazi bure kama vyama vya upinzani vitashiriki chaguzi bila kufanyiwa mabadiliko muhimu ya kidemokrasia, ni kweli...
4 Reactions
64 Replies
4K Views
CCM mkoani Mwanza wamesema hawatajibizana na Chadema bali watamtumia Mikutano ya hadhara kuelezea Ilani ya CCM Katika mkutano mkubwa uliofanyika leo Mjumbe wa NEC aliyepata kura nyingi nchini Dr...
6 Reactions
74 Replies
3K Views
Mimi binafsi ni mdau mkubwa sana na muumini mzuri wa siasa za CCM na mara nyingi napenda sana kutembea kwenye matawi ya CCM kujua yanayoendelea. Katika kipindi cha wiki moja tangu lile zuio la...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Ukifika Temeke..... Nenda mpaka kilipo kibao cha Mtakuja Street. Yard iliyopo nyuma ya kibao hicho ina mambo mengi ya kihalifu kwa upande wa Diesel na Petrol yard hiyo yenye geti jekundu ina mambo...
11 Reactions
54 Replies
8K Views
Unaweza kudhani awamu ya 5 Ufisadi ulipungua lakini muda utaongea, Shujaa Maguful alikuwa mkali lakini Watu waliendelea Kupiga wakijua wakishikwa kuna plea bargaining Bado naamini Rais wa awamu...
4 Reactions
12 Replies
600 Views
Back
Top Bottom