Bashe kageuza Programu ya Block za Mashamba ya Kilimo kuwa ya UVCCM

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,547
Reaction score
14,209
Hii nchi hapa ndio huwa tunakwama kwamba hakuna jambo linaenda bila kuwa na element za siasa ndani yake, Nilitarajia Program ya Bashe iwe ya kusasa na kushindana na Program kama hizi kule Egypt ambako ndio wanao zalisha machungw ana kutuuzia Tanzania.

Sasa ghafla imegeuka kuwa ya UVCCM yaani kipa umbele sasa ni uwe mwan CCM ndio uweze kupewa Block, sio tena kwa vijana wenye hari ya kulima hapana
IMG-20230113-WA0001.jpg
 
hii programu ni nzuri sana na imelenga kuwakwamua vijana kiuchumi.

tatizo vijana walio wengi bado ni wavivu na hawapendi shughuli za kilimo.

nashauri programu hii iwalenge wakulima wa rika zote yaani; vijana, wababa na wamama.
 
Nzuri sawa ila kwa staili hii ya kuwalenga UVCCM haitafika kokote
 
Hii nchi hapa ndio huwa tunakwama kwamba hakuna jambo linaenda bila kuwa na element za siasa ndani yake, Nilitarajia Program ya Bashe iwe ya kusasa na kushindana na Program kama hizi kule Egypt ambako ndio wanao zalisha machungw ana kutuuzia Tanzania.

Sasa ghafla imegeuka kuwa ya UVCCM yaani kipa umbele sasa ni uwe mwan CCM ndio uweze kupewa Block, sio tena kwa vijana wenye hari ya kulima hapanaView attachment 2478923
Hii nchi kwakweli ni ya kusadikika
 
Sijaona hapo kama Building better tomorrow / block farming ndio inatoka hizo heka 300, yeye kama waziri ana milango kadhaa ya kufungua awape hao wafuasi .
 
Hii nchi hapa ndio huwa tunakwama kwamba hakuna jambo linaenda bila kuwa na element za siasa ndani yake, Nilitarajia Program ya Bashe iwe ya kusasa na kushindana na Program kama hizi kule Egypt ambako ndio wanao zalisha machungw ana kutuuzia Tanzania.

Sasa ghafla imegeuka kuwa ya UVCCM yaani kipa umbele sasa ni uwe mwan CCM ndio uweze kupewa Block, sio tena kwa vijana wenye hari ya kulima hapanaView attachment 2478923
Shame on Bashe for politicisation of development projects. Shame on Bashe for the blatantly discriminatory inclination on important national matters. Shame.....
 
Hii nchi hapa ndio huwa tunakwama kwamba hakuna jambo linaenda bila kuwa na element za siasa ndani yake, Nilitarajia Program ya Bashe iwe ya kusasa na kushindana na Program kama hizi kule Egypt ambako ndio wanao zalisha machungw ana kutuuzia Tanzania.

Sasa ghafla imegeuka kuwa ya UVCCM yaani kipa umbele sasa ni uwe mwan CCM ndio uweze kupewa Block, sio tena kwa vijana wenye hari ya kulima hapanaView attachment 2478923
Hapo wanaandaa mazingira ya kupiga pesa tu, Waziri wa Kilimo atujawahi ata kusikia amekwenda Israel au Misri kwenda kufahamu ni namna gani wenzetu wanafanya maboresho na kuendesha programs za Kilimo.
Huyu jamaa ni vile Mama hajamshitukia,ni mtu wa porojo na majigambo,hana jipya.
Kama wanataka kulima seriously,wangewezesha mashirika ya SUMA JKT na Magereza wakisaidiwa na SUA.Na Ili kuwepo na tija kwenye Kilimo vijana waliopitia SUA wangepewa kipao mbele.Uzalishaji mkubwa wa hizi blocks ungevutia wawekezaji kwenye Agro-processing industries!
Kilimo siyo cha kila mtu,vijana wenyewe hawa kazi kubet tu,wanaweza kulima na kusimamia mashamba?
 
Wanaturudisha enzi za miradi hewa ya SUKITA.....
 
Jambo Hilo ni Kodi zetu likichukuliwa Kisiasa Ili kufanikisha upigaji Kwa watoto wao ,washughulikiwe mapema sana..

Afadhari mtoa mada umetoa tahadhari mapema.
 
Back
Top Bottom