Waziri Mwingulu: Miongoni mwa Watanzania milioni 62, ni Watanzania milioni tatu tu ndio wanalipa kodi

VAT mbona almost kila mtu analipa,sasa anaongelea kodi gani?
Unalipa wapi- mkuu ngoja nikupe mfano wapo wanaompa hela binti wa wazazi wake ila anayetambuliwa ni yule aliyetoa mahali- mnanunun bidhaa kwa wasiotoa risiti ama hamchui risiti na mkichukua hamjali kama kiasi cha fedha ni kile mlicholipa
 
Waziri Mwingulu ameyasema hayo leo Jumatano Januari 11, 2023 alipokuwa akifungua Kongamano la Kodi Kitaifa jijini Dar es Salaam, akisema tofauti na zamani, sasa miongoni mwa Watanzania milioni 62, ni Watanzania milioni tatu tu ndio wanalipa kodi.
kwa hiyo Raia 95.2% hawajui kitu kinaitwa kodi.
 
... eti tofauti na zamani; zamani under 18 walikuwa wanalipa kodi? Age structure ya nchi hii ikoje? 18 - 60? Maana kimsingi hao ndio walipa kodi; alitakiwa afanye comparison based on that age group na sio kuzungumzia watanzania wote.
 
Hawajui kabisa mkuu. Ukitoa watoto ambao ni kama 19,000,000 sawa na 33% na vijana wasio na ajira au wanaotafuta kazi 5,000,000 sawa na 8.2%
 
... eti tofauti na zamani; zamani under 18 walikuwa wanalipa kodi? Age structure ya nchi hii ikoje? 18 - 60? Maana kimsingi hao ndio walipa kodi; alitakiwa afanye comparison based on that age group na sio kuzungumzia watanzania wote.
Mkuu mbona kama una hasira
 
Waziri Mwingulu ameyasema hayo leo Jumatano Januari 11, 2023 alipokuwa akifungua Kongamano la Kodi Kitaifa jijini Dar es Salaam, akisema tofauti na zamani, sasa miongoni mwa Watanzania milioni 62, ni Watanzania milioni tatu tu ndio wanalipa kodi.
Halafu mkiambiwa hamjui kazi mnawaambia watu waende burundi.
Nimuulize waziri kwani tozo sio kodi? Je watanzania wangapi wana simu..maana serikali imekua inajidai karibu raia wote wana simu.
Watapata laana wote kwa kusaliti njia sahihi ya magufuli
 
Back
Top Bottom