Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amepiga marufuku watu wachafu kuonekana mitaani hasa wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
Leo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM...
Ni Msimu Wa siasa ndivyo tunavyoweza kusema, tangu mikutano ya hadhara ipigwe marufuku ni muda mrefu Sana.
Lakini sasa busara imetumika kuruhusu siasa za majukwaani kuanza.
Nasukumwa na...
Uzinduzi wa vijana wa vurugu au kwa jina la kisasa chawa watakaotumika kuwavaa watu wa upinzani hautaishia Dar es Salaam pekee,
Meya wa jiji la Dar es Salaam anatumika kama chambo tu kuzindua...
Mimi ni CCM lia lia, lakini ukweli usemwe tusisubiri watu wafe ndio tuwasifie ni unafiki kiwango cha lami.
Kumsifia mtu akiwa hai sio dhambi na kumkosoa marehemu pia sio dhambi japo ki Africa...
Kuna mwanafalsa mmoja wa kiingereza aliwahi kusema "To be or not to be that is question" hivi ndivyo ambavyo wanachadema tunaposhindwa au ndivyo tunavyoweweseka kuimba Ile nyimbo yetu Pendwa ya...
Diwani kata ya Mzimuni wilayani Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Manfred Lyoto amepongezwa na kamati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata hiyo kwa kujitolea kuwalipa posho watumishi wa afya...
Ndugu zanguni hodi hodi tunaingia. Sasa tunakuja kwa nguvu mpya. Kamanda Mbobezi mwenye uwezo mwingi na nguvu nyingi asiyechoka na hoja za ukweli anaingia.
Sio mwingine ni Kijana Jeuri, mjuaji...
Watanzania wa umri wangu kurudi nyuma, wote kwa wakati fulani tuliwahi kuwa wanachama wa CCM, iwe kwa kutaka au bila hiari, kwa kujiunga au kuungishwa, kwa kuelewa au bila ya kuelewa.
Nikiwa...
Moja ya jambo muhimu katik biashara ni upekee wa bidhaa yako. Watu hawaji kununua kwako bidhaa au huduma kwa sababu ya huruma, ni kwa sababu una kitu wanachohitaji na unakitoa kwa ubora kuliko...
TAARIFA KWA UMMA.
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NDG. SAMIA SULUHU HASSAN KUONGOZA VIKAO MAALUM VYA UONGOZI WA CCM NGAZI YA TAIFA...
Sekeseke la kisiasa limeanza kuibuka tena baada ya mikutano ya kisiasa ya hadhara kuruhusiwa. Moja ya mambo ambayo hayaepukiki katika siasa na ambayo ni mbinu nzuri ya uhamasishaji ni maandamano...
Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi (CS)...
Nilikuwa nasoma ripoti ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) iliyowakilishwa kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa January 2014. Ripoti...
Ndoto ya siku nyingi ya Wanyarwanda (Watusi) ya KUTEKA na KUTAWALA eneo lote la Maziwa makuu (DRC, Uganda, Rwanda, Burundi, TZ na Kenya), inaelekea kutimia.
Baada ya kuzitawala Uganda...
Kukopa siyo jambo baya, jambo baya unakopa kufanyia nini na unapokopa ina maana unakopesheka. Spika Ndugai ni mtu mwenye uwezo, hajataka kujua hizi fedha zilizokopwa zipoje.
Kwa mara ya kwanza...
▶️Ni kweli kabisa kuwa, katika Sekta ya Elimu serikali imeelekeza nguvu kubwa sana kwenye ujenzi wa madarasa katika Elimu msingi na Sekondari na vyuo vya kati na kuyaacha au kusahau maeneo mengine...
Nchi yetu ni masikini lakini ina utajiri mkubwa wa maliasili,lakini Je maliasili zetu zinaweka ugali mezani kwenye familia ngapi nchini? Je maliasili zetu zinatusaidia vipi kwenye kuondoa...
Twende moja kwa moja kwenye Mada
Robert Heriel achukuwe Fomu yeyote ili katika Uchaguzi unaokuja 2025.
Amejaa shehena, ana kipaji, anaaminika, ni Baba, ni Mkulima, ni mpiga Karate, Ni...
Muktasari:
Ndani ya mwaka mmoja na miezi mitano Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani imefanikiwa kuweka miundombinu mbalimbali itakayosaidia kuboresha elimu wilayani humo kwa shule za...