Rais Samia akiwa Ulaya

Rais Samia akiwa Ulaya

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
8,464
Reaction score
18,236
Sasa huko mitandaoni, tunaona picha za mnato, zikimuonesha Samia akiwa na viongozi wa Ulaya, tunaambiwa "anafanya mazungumzo" Sasa kwenye picha ya mnato, utajuaje kama anazungumza issues, au alikuwa anasalimia tu?

Rais afanye mahojiano na BBC, Aljazeera Ili akuze profile, kama alivyofanya Ruto, sio kuleta mapicha tu na kutuambia yupo mazungumzoni

20230118_202230.jpg
 
Kinacholeta tija ya ziara za Rais Samia picha wala video ni matokeo chanya ya ziara zake. Kipekee, napenda kumpongeza sana Dkt. Samia kwa uwazi wa hali ya juu kwa anayofanya na hii inatoa picha halisi ya matumaini.

Ususibiri picha subiri uwekezaji, masoko ya nje, biashara
 
Rais wetu akiwa ughaibuni wale jamaa kwakweli wanamchukulia kama mwanamama nguli kwenye swala la mahojiano na watu mashughuri upande wa siasa lkn sio Rais kama tunavyofahamu hivyo atapewa misaada kulingana na vile anavyokua engage with them but stil they just looked at us like we kind of fools na kuongeza deni tuu kuwa kubwa, Wakijua kulipa ni sehemu urasimu wa mali kama unavyotendeka hivi sasa..wanyama kusafirishwa! Uwekezaji ambao hauna mwisho mzuri! Na mengine mengi zaidi...
 
Kinacholeta tija ya ziara za Rais Samia picha wala video ni matokeo chanya ya ziara zake. Kipekee, napenda kumpongeza sana Dkt. Samia kwa uwazi wa hali ya juu kwa anayofanya na hii inatoa picha halisi ya matumaini.

Ususibiri picha subiri uwekezaji, masoko ya nje, biashara

Huu ujinga wa kumuita kiongozi Dr. kwa cheo cha heshima ni ufala wa hali ya juu.
 
Sasa huko mitandaoni, tunaona picha za mnato, zikimuonesha Samia akiwa na viongozi wa ulaya, tunaambiwa "anafanya mazungumzo"sasa kwenye picha ya mnato, utajuaje kama anazungumza issues, au alikuwa anasalimia tu?

Rais afanye mahojiano na BBC, Aljazeera Ili akuze profile, kama alivyofanya Ruto, sio kuleta mapicha tu na kutuambia yupo mazungumzoni

View attachment 2486599

BBC kirefu chake Ni nini vile?
 
Rais afanye mahojiano na BBC, Aljazeera Ili akuze profile, kama alivyofanya Ruto, sio kuleta mapicha tu na kutuambia yupo mazungumzoni
Hiyo BBC labda ahojiwe na Kikeke atakaeweza kumkaripia. Akihojiwa na wazungu atamwaga chozi kwenye interview.
Kusoma hotuba kwa accent ya mbwembwe kama Shakespeare ni tofauti na kupigwa maswali ya hapo kwa hapo, anaweza jikuta lafudhi ya kitumbatu inakuja juu.

Kwa Tanzania hii kulikuwa na viongozi wawili tu waliokuwa na 'presence of mind' ya kuweza kujibu maswali bila kutetereka. Ilikuwa Nyerere na Mkapa, basi.
 
Kinacholeta tija ya ziara za Rais Samia picha wala video ni matokeo chanya ya ziara zake. Kipekee, napenda kumpongeza sana Dkt. Samia kwa uwazi wa hali ya juu kwa anayofanya na hii inatoa picha halisi ya matumaini.

Ususibiri picha subiri uwekezaji, masoko ya nje, biashara
ndugu umeua kwa maoni yako,bravo
 
Sasa huko mitandaoni, tunaona picha za mnato, zikimuonesha Samia akiwa na viongozi wa Ulaya, tunaambiwa "anafanya mazungumzo" Sasa kwenye picha ya mnato, utajuaje kama anazungumza issues, au alikuwa anasalimia tu?

Rais afanye mahojiano na BBC, Aljazeera Ili akuze profile, kama alivyofanya Ruto, sio kuleta mapicha tu na kutuambia yupo mazungumzoni

View attachment 2486599
Hoja yako sioni mashiko yoyote! hata Ruto kuna picha nyingi tu kapiga nao anywa ndiyo uhuru wa mawazo ulivyo, lakini bora tujadili zaidi issues siyo watu.
 
Sasa huko mitandaoni, tunaona picha za mnato, zikimuonesha Samia akiwa na viongozi wa Ulaya, tunaambiwa "anafanya mazungumzo" Sasa kwenye picha ya mnato, utajuaje kama anazungumza issues, au alikuwa anasalimia tu?

Rais afanye mahojiano na BBC, Aljazeera Ili akuze profile, kama alivyofanya Ruto, sio kuleta mapicha tu na kutuambia yupo mazungumzoni

View attachment 2486599
Punguza makasiliko Rais Samia Suluhu anachukuliwa kama mwanadiplomasia wa kwanza mwananmke east africa na mazungumzo aliyozungumza jana sana sana amezungumzia suala la kukuza kilimo nchini a

alisema kuwa kilimo cha Tanzania kinatarajiwa kukua kwa asilimia 10 ifikapo mwaka 2030 ukilinganisha na ukuaji wa sasa wa takriban asilimia 3.6.

Kwaiyo wewe kijana mvivu mwenye makasiliko amka ukajiajili katika kilimo maana gharama za kilimo zimepungua na serikali imetengeneza mazingira wezeshi kwa vijana
 
Kinacholeta tija ya ziara za Rais Samia picha wala video ni matokeo chanya ya ziara zake. Kipekee, napenda kumpongeza sana Dkt. Samia kwa uwazi wa hali ya juu kwa anayofanya na hii inatoa picha halisi ya matumaini.

Ususibiri picha subiri uwekezaji, masoko ya nje, biashara
Safi sana watanzania wengi wanaendeshwa na story za vijiweni na wala sio uhalisia inatakiwa tuweke macho kwenye outcome ya hizi safari kama safari hii vijana tunakwenda kunufaika na kilimo
 
Sasa huko mitandaoni, tunaona picha za mnato, zikimuonesha Samia akiwa na viongozi wa Ulaya, tunaambiwa "anafanya mazungumzo" Sasa kwenye picha ya mnato, utajuaje kama anazungumza issues, au alikuwa anasalimia tu?

Rais afanye mahojiano na BBC, Aljazeera Ili akuze profile, kama alivyofanya Ruto, sio kuleta mapicha tu na kutuambia yupo mazungumzoni

View attachment 2486599
Amekusikia
 
Back
Top Bottom