Tundu Lissu: Nikitua tu nchini Tanzania Jumatano naenda direct kuhutubia Mkutano wa hadhara ulioandaliwa na chama, bado nadai kiinua mgongo Tsh 100mil

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,032
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema atawasili nchini Tanzania Jumatano 25 01 2023 saa 13:35 mchana na baada ya mapokezi ataenda Moja kwa Moja kuhutubia Mkutano wa hadhara ulioandaliwa na chama chake, hakuna kulala

Tundu Lissu amesema ameshalipwa na Serikali baadhi ya madai yake lakin Bunge bado halijamlipa kiinua mgongo kinachozidi tsh 100 million na bado hajarudishiwa gharama za matibabu anazostahili kisheria

Tundu Antipas Lissu amewaalika Wananchi Wote kwenye huo Mkutano mkubwa wa hadhara

Chanzo: Voice of America VoA
 
Source: Voice of America VoA
johnthebaptist nakualika na kukukaribisha sana kwenye mkutano huu, karibu upate madini na chakula cha ubongo kutoka kwa Mwamba, Jembe ,Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom