Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Picha: Kinachoendelea FURAHISHA mkutano wa CHADEMA kwa Wana MWANZA Karibu,kwa updates zaidi! Mwanza ndio kumeanza kupambazuka kwa mbali, watu wakifanya pirika zao mapema,ili kuwahi mkutano huu...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
MIKUTANO YA HADHARA Na George Sylvester Wambura, Mikutano ya hadhara na Maandamano ni haki ya msingi ya Vyama Vya siasa kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa sura ya 258. Ukisoma kwenye haki...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
AFISA Mdhamini Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Thabit Othman Abdalla, amewataka watumishi wa umma kisiwani Pemba, kutoungana na watu wengine, katika...
1 Reactions
5 Replies
990 Views
Naelekea Mwanza kwenda kukiwasha. CCM ni janga la taifa. Limezidi kuwakandamiza watanzania kwa kuendeleza umasikini. Tozo haramu, ufisadi na ubwanyenye. Nitakiwasha jukwaani uwanja wa furahisha...
19 Reactions
146 Replies
7K Views
Mbunge wa Kilombero, Aboubakar Assenga amesema watanzania hawatarajii ruhusa ya mikutano iliyotolewa kwa vyama vya siasa wataitumia kutukana viongozi waliofariki. Pia amesema watanzania...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Hello JF Wote au baadhi tunafahamu namna James Mbatia alivyo na amejidhihiri kuwa mstari wa mbele kuonya, kushauri na kukemea maovu kwa namna ya heshima, unyenyekevu na staha yenye uzalendo kwa...
1 Reactions
2 Replies
640 Views
Ilikuwa ni 21.1.1993 chama chetu kilapata usajiri wa kudumu. Baada ya kuanzishwa rasmi mwaka 1992 na watu waliokuwa na mawazo na fikra za kimapinduzi na maendeleo ya watanzania. Cdm tumepitia...
6 Reactions
14 Replies
559 Views
Serikali ya CCM Acheni kutudhalilisha makada waaminifu kama sisi KWA hoja za hovyo zisizo na afya KWA Taifa! Hivi mnafikiri vishkwambi KWA walimu;- 1.Vitaongeza maslahi yao ya kazi...
1 Reactions
8 Replies
733 Views
Waziri Mkuu alisema tena kwa msisitizo, kwamba kila Mwalimu atapata Kishkwambi, lakini mpaka sasa takribani 77.8% ya Vishkwambi vimepigwa na wahuni. Shule yenye Walimu 18 waliopata Vishkwambi ni...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Mikutano iliyosubiriwa kwa hamu kubwa sana kama huu wa leo ina Saikolojia zake Nakumbuka Kiongozi mmoja wa TLP aliwahi kusigina Katiba ya JMT huku akishangiliwa na umati wa Wananchi na...
1 Reactions
13 Replies
573 Views
Katika nchi hii, Muhimili wa Power upo katika makundi makubwa mawili. (a) Wakiristo wa Tanganyika (b) Waislamu wa Zanzibar. Haya Makundi ndiyo makundi makuu yenye mamlaka za kisiasa hapa nchini...
8 Reactions
101 Replies
5K Views
Tuwe Wakweli Wabunge walikuwa hawafanyi Mikutano yoyote katika majimbo yao kwa kiburi tu kwani katazo la Serikali halikuwahusu wao So kesho zile zama za mguu juu ndio zinahitimishwa na Chadema...
12 Reactions
22 Replies
2K Views
Hatimaye Jiji la Mwanza limeanza kupendeza tena na kuheshimika tena kama zamani , baada ya watu wenye Ushawishi nchini Tanzania kuwasili kwa ajili ya uzinduzi wa Mikutano ya hadhara . Kwa...
23 Reactions
80 Replies
5K Views
Habari wana Jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nasikitishwa sana na umasikini na ugumu wa maisha unaoendelea kuongezeka huku kukiwa hakuna suluhisho la kueleweka Kutoka CCM. Nimewaza sana na...
14 Reactions
148 Replies
7K Views
Ninawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM. Ninaandika nikiwa nina hasira kali sana dhidi ya mbunge aitwae Babu Tale kutokana na hoja zake zilizokosa weledi huko bungeni wakati akichangia bajeti...
18 Reactions
57 Replies
7K Views
Habari! Spika wa Bunge aliyejiuzulu Kwa kusema Nchi itapigwa mnada Kwa sababu ya Madeni,amewataka Wananchi na Wanasiasa na jamii kiujumla kutumiza Wajibu wao Kila mtu Kwa nafasi yake ndio Wahoji...
1 Reactions
7 Replies
834 Views
Kiukweli nimshukuru sana Rais Samia kwa kufungulia Siasa za kidemokrasia hapa nchini Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema kwa sasa anaongoza Jimbo la Arusha kutokea Ottawa...
7 Reactions
9 Replies
984 Views
Januari 12,22023 , Mbunge mstaafu wa Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA , Joseph Mbilinyi alitweet" Nchi inaenda, so far so good. Hakuna tena kuokota viroba Coco, wala raia kutekwa ovyo na state...
5 Reactions
10 Replies
992 Views
Lucas mwashambwa pamoja na mazuri yote ya Serikali unayoyatangaza humu, umeshawahi kujiuliza kwanini bei ya Mchele ifike 4,000 kwa kilo tatizo liko wapi na nani amesababisha hali hiyo ili iweze...
4 Reactions
10 Replies
765 Views
Kwa ufupi sana Nimesoma mikutano itaanza hivi karibuni. Katika mikutano yenu mtaeleza ajenda mbalimbali ikiwemo katiba mpya na ugumu wa maisha. Hayo yote tunayajua. CCM wanajua vyote hivyo ila...
2 Reactions
11 Replies
692 Views
Back
Top Bottom