Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema Serikali inaendelea kufuatilia kwa ukaribu na kuhakikisha barabara ya Kitunda inafanyiwa matengenezo kwa haraka
Pia soma: KERO - Barabara...
Kenya Msikubali maelekezo ya huyu Mwanamke Wa Zanzibar ya kutumia mikwaju kwa Wananchi wenu hata Watanzania.
Aliyeonja nyama ya Mtu haachi.
Hawa ni Gen Z waliopigwa mikwaju na Utawala wa Samia...
Je Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?.
Sote ni mashuhuda wa namna viongozi wa...
Mwanasiasa Jacob Samwel Malate wa Ilala Dar es Salaam amemshutumu Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba kwa kusababisha taharuki na kuchochea mzozo katika jamii kufuatia kauli alizotoa...
Nashangaa kuona CHADEMA wanahangaika na mikutano wakati hawana hata balozi mmoja nchi nzima nadhani Sheria zitungwe ili kudhibiti vurugu za namna hii,
Nauliza CHADEMA mnafanya mkutano kwa faida...
Watanzania tudumishe umoja wetu, udugu wetu, mshikamano wetu, katika kutatua changamoto zetu, hii ndiyo misingi tuliyoachiwa na wazee wetu pamoja na waasisi wa mataifa yetu.
Uzalendo ni kujitoa...
Huu ndio Ukweli wa Wazi kabisa ambao kila mwenye akili timamu anapaswa kuukubali.
Aliyetambulishwa kama Mwakilishi wa Chadema kwenye Mkutano huo unaoongozwa na Tapeli Mamluki John Mrema si...
Wanabodi
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa HabarI, hii ni makala yangu ya pongezi kwa Waziri wetu wa habari,Mhe Paul Makonda kwa kuusema ukweli mchungu kuhusu tasnia ya habari ya...
Mzee Joseph Warioba,Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ananikumbusha "story" ya Waziri Mkuu wa zamani wa Nchi ya Burundi,Mh. Generali Alain Bunyoni ambaye alishiriki kuunda na...
Unaenda kununua mkoba wa milioni 13 wakati mna kiwanda kinatengeneza mikoba ya ngozi original pale moshi. Unapata mkoba safi wa ngozi hapo hapo unatangaza bidhaa za nchi yako. Hivi huko vyuoni...
Hizo ni sauti za wanawake wakisema hawataki fidia wanataka watoto wao waliouawa kwenye Uchaguzi Oktoba 29, 2025 na baaada ya Uchaguzi,
kifupi mgeni hataki soda anataka 700 yake
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amebaisnisha mafanikio ya sekta ya usafiri wa anga kwa kipindi cha kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026, ikionyesha ukuaji mkubwa wa idadi ya abiria na...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewateua makada 17 kutoka kwenye vyama mbalimbali vya siasa kuwania ubunge wa Isimani mkoani Iringa ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wa jimbo...
Tanzania, nchi yenye mamlaka kamili iliyosaini mikataba mbalimbali ya Kimataifa hususani mikataba ya kulinda haki za binadamu na ulinzi wa rasilimali za umma imeacha misingi hiyo,na sasa inajinadi...
Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika
Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya...
HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA...
ISIMANI YAFURIKA WANANCHI WAMPOKEA EMMANUELA KWA MIKONO MIWILI.
Mamia ya Wananchi wa Tarafa ya Pawaga Kata ya Itunundu Wilaya ya Iringa Vijijini wamejitokeza katika Uzinduzi wa Kampeni za...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kupunguza tozo ya Uendelezaji wa Miundombinu Mipya ya Bandari (PID) kutoka asilimia tisa hadi asilimia 4.5 ya kodi ya forodha.
Mkurugenzi...
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kuwa sekta ya uchukuzi nchini imefanikiwa kuzalisha jumla ya ajira 198,480 kupitia ujenzi wa miradi mbalimbali na utoaji wa huduma za...