Leo ni Siku ya Uhuru wa Habari: Pongezi Waziri Makonda Kuusema Ukweli Mchungu, Pesa Ndio Kila Kitu, Hakuna Uhuru Bila Pesa. Waandishi Tafuteni Pesa

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
58,447
Reaction score
131,262
Wanabodi

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa HabarI, hii ni makala yangu ya pongezi kwa Waziri wetu wa habari,Mhe Paul Makonda kwa kuusema ukweli mchungu kuhusu tasnia ya habari ya kisasa,hakuna kitu cha bure!kila kitu ni pesa,pesa ndio kila kitu, hakuna uhuru wa habari, bila uhuru wa kiuchumi,hakuna uhuru bila pesa,ametutaka waandishi wa habari tafute pesa.

Screenshot_20260503_111600_com.easy.abroad_edit_31256194323961.jpg

Leo nazungumzia Uhuru wa vyombo vya habari Tanzania. Naomba kuanza kwa kutoa pongezi kwa Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Mhe. Paul Makonda kwa kuusema ukweli bayana kuhusu hali ya vyombo vya habari, kwa kukubali ukweli wa kisasa wa pesa ndio kila kitu, hata katika usasa wa sekta ya kisasa ya habari, pesa ndio kila kitu!. Hivyo amewataka waandishi wa habari, na vyombo vya habari, kutafuta pesa!, bila pesa, hakuna uhuru wa habari, na mimi naomba kuongezea, bila pesa, iwe hakuna habari!, kwanini habari iendelee kuwa bure?!. Habari nayo ilipiwe, vyombo vya habari vilipwe, waandishi wa habari, tulipwe posho nono kama wengine wanavyolipana!.

Waziri Makonda, ameyasema hayo, akimwakilisha mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya uhuru wa Vyombo vya Habari kitaifa yaliyofanyika mjini Arusha, ambaye ilikuwa awe Waziri Mkuu, Mhe. Mwigulu Nchemba.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Kuunda Mustakabali wa Amani: Kukuza Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa ajili ya Haki za Binadamu, Maendeleo na Usalama,” maadhimisho haya yamewakutanisha wanahabari, wadau wa vyombo vya habari, watunga sera, asasi za kiraia na washirika wa maendeleo kujadili nafasi ya uhuru wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokrasia, kulinda haki za binadamu na kukuza maendeleo endelevu.

Naomba kumnukuu Waziri Makonda
“ La kwanza tafuteni hela. Tafuteni hela. Wanahabari tafuteni hela. Waandishi wa habari tafuteni hela.Wamiliki wa vyombo vya habari tafuteni hela, huu uhuru tunaosema huu ni ngumu sana kuupata ukiwa maskini. Ni ngumu sana kuupata uhuru wa habari kama wanahabari wenyewe ni maskini. Mtanipinga leo lakini kuna mahala mtakaa mtakubali ya kwamba Makonda yuko sahihi.

Freedom tunayoipigania lazima iendane sambamba na mapambano ya kujenga uchumi imara wa wanahabari. Mwanahabari kama uchumi wake hauko imara, uhuru wake wa habari uko kwenye hati hati, yuko jeopadized ni rahisi kuwa manipulated if you are not economically fit.

Ajenda hizi mara nyingi tunakimbilia uhuru wa habari katika mapambano dhidi ya serikali lakini tunasahau ya kwamba uhuru wa habari ili uweze kupatikana kwa uhalali ni uwezo wetu wa kiuchumi utatuondoa wanahabari kufanya kazi kwa hofu na masimango.

Leo hii wako wanahabari ambao wako mifukoni mwa wanasiasa wanaandika stori kutokana na mwanasiasa alichokupa. Taifa hili lina watu ukiwatazama kwa jicho la habari na namna ya chombo cha habari kilivyowatengeneza ni watu wema sana lakini ni wauza madawa ya kulevya ni wala rushwa wakubwa ni wazembe ni mafisadi lakini wamefanikiwa kukamata na kuwaweka wanahabari mifukoni mwao!.

Media inamsifia mtu na kumuita ni mtu rahimu yule ni mtu mwema lakini kimsingi sio mtu mwema, kwa nini?, kwa sababu uchumi wa wanahabari unapokuwa mdogo unawapa nafasi wanasiasa uchwala na walushwa kuwaweka mfukoni.

Mimi kaka zangu na dada zangu tunafahamiana sasa nawaomba sisi tutengeneze mikakati ya kuhamisha ajenda kutoka kwenye ajenda za kuwabrandi watu. Tuibrandi nchi yetu kutoka kwenye ajenda ya kuwasifia watu tuonyeshe fursa za kiuchumi zilizoko kwenye nchi yetu. Huko ndiko fedha ilipo. Yaani wewe leo hii chukua tu sekta ya utalii. Sekta ya utalii ukiangalia vivutio tulivyoavyo leo hapa Tanzania hakuna nchi yoyote Afrika inayoifikia Tanzania kwa utajiri wa sekta ya utalii.

Lakini tuulizane wanahabari wanahabari wangapi wanaoripoti habari za utalii? Alafu twende tuangalie wanahabari wangapi wanaripoti habari za siasa. Ukienda hapo utakuta kule kwenye hela nyingi hakuna ripora, hakuna stori huku ambako tuna wanasiasa uchwala, walaar rushwa, mafisadi wanaotaka kuonekana wamana ndio waandishi wa habari wamejaa pale kila siku front page mwanasiasa mwanasiasa analeta hela kiasi gani huyo? Lakini kwa nini tunampa hiyo front line nani front page? Kwa sababu kuna kahela fulani tuko kwye kwenye kamtandao kakupewa posho. Na for your information ngoja niwambie kitu kimoja ukimpigania muovu haki ya Mungu walahi inakuapia hata wanao hawatoboa” Mwisho wa kunukuu.

Hili alilolizungumza Waziri Makonda, ni kweli, wakati mimi najiunga na tasnia ya habari, mwanzoni mwa miaka ya 90, Tanzania tulikuwa na redio moja, RTD na magazeti matatu, Uhuru/Mzalendo, Daily News/Sunday News, na Mfanyakazi, japo nilikuwa nalipwa mshahara mdogo, lakini kila kitu kilikuwa bure, elimu bure, afya bure, ukiwa kazini chakula bure, usafiri bure, tunapangiwa nyumba bure, hadi samani za ndani ni bure, tena hata ardhi ilikuwa inagawiwa bure, kila kitu ni bure, fedha ilikuwa sio msingi, fedha ni matokeo.

Sasa mambo yamebadilika, hakuna tena cha bure, kila kitu ni fedha, elimu inalipiwa, afya inalipiwa, ardhi ni mali, nyumba zinalipiwa, usafiri unalipiwa, kila kitu ni pesa!, kwanini mpaka leo mpaka kesho habari ni bure?!.

Nimeandika humu makala kadhaa, hakuna uhuru wa habari bila uhuru wa kiuchumi wa vyombo vya habari na waandishi wa habari. Kati ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, nini ni muhimu zaidi?. Kama serikali yetu inatoa ruzuku ya mabilioni kwa wanasiasa na waheshimiwa wabunge, wengine kazi yao ni kuupara tuu, kutokelezea, kusinzia, na kugonga meza kupiga makofi, hawachangii hoja yoyote, lakini wanalipwa vizuri, kwanini tushindwe kutoa ruzuku kwa vyombo vya habari na waandishi wa habari wenye jukumu muhimu la kuihabarisha jamii?.

Kiukweli hoja za Waziri Makonda, zimenikuna, tukimtumia vizuri, sekta ya habari, tutafika mbali.

Nawatakia waandishi wenzangu wote wa habari ,mapumziko mema ya siku yetu hii ya kimataifa ya uhuru wa habari,kwa msisitizo wa alichokisema Waziri Makonda,kuwa siku hizi,hakuna cha bure!,kila kitu ni pesa, hivyo waandishi tutafute pesa!。

Mungu Mbariki Waziri Makonda,

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
 
Na hiyo pesa mtaipata wapi kama sio ccm?

Inawabidi muandike propaganda ili mpewe pesa.
 
Wanabodi

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa HabarI, hii ni makala yangu ya pongezi kwa Waziri wetu wa habari,Mhe Paul Makonda kwa kuusema ukweli mchungu kuhusu tasnia ya habari ya kisasa,hakuna kitu cha bure!kila kitu ni pesa!,pesa ndio kila kitu,hakuna uhuru wa habari,bila uhuru wa kiuchumi,hakuna uhuru bila pesa!,ametutaka waandishi wa habari tafute pesa!.
View attachment 3583177

Screenshot_20260427-082911~2.png
 
Magufuli aliua sana uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, na sijui ni raisi gani atakuja kufungua uhuru uliokuwepo miaka ya nyuma?

Siku hizi mijadala ni habari za michezo tu, mambo mapana ya kitaifa na kukosoa media zinaogopa kuzungumzia

Legacy ya Magufuli
 
Wanabodi

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa HabarI, hii ni makala yangu ya pongezi kwa Waziri wetu wa habari,Mhe Paul Makonda kwa kuusema ukweli mchungu kuhusu tasnia ya habari ya kisasa,hakuna kitu cha bure!kila kitu ni pesa,pesa ndio kila kitu, hakuna uhuru wa habari, bila uhuru wa kiuchumi,hakuna uhuru bila pesa,ametutaka waandishi wa habari tafute pesa.

View attachment 3583177
Leo nazungumzia Uhuru wa vyombo vya habari Tanzania. Naomba kuanza kwa kutoa pongezi kwa Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Mhe. Paul Makonda kwa kuusema ukweli bayana kuhusu hali ya vyombo vya habari, kwa kukubali ukweli wa kisasa wa pesa ndio kila kitu, hata katika usasa wa sekta ya kisasa ya habari, pesa ndio kila kitu!. Hivyo amewataka waandishi wa habari, na vyombo vya habari, kutafuta pesa!, bila pesa, hakuna uhuru wa habari, na mimi naomba kuongezea, bila pesa, iwe hakuna habari!, kwanini habari iendelee kuwa bure?!. Habari nayo ilipiwe, vyombo vya habari vilipwe, waandishi wa habari, tulipwe posho nono kama wengine wanavyolipana!.

Waziri Makonda, ameyasema hayo, akimwakilisha mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya uhuru wa Vyombo vya Habari kitaifa yaliyofanyika mjini Arusha, ambaye ilikuwa awe Waziri Mkuu, Mhe. Mwigulu Nchemba.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Kuunda Mustakabali wa Amani: Kukuza Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa ajili ya Haki za Binadamu, Maendeleo na Usalama,” maadhimisho haya yamewakutanisha wanahabari, wadau wa vyombo vya habari, watunga sera, asasi za kiraia na washirika wa maendeleo kujadili nafasi ya uhuru wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokrasia, kulinda haki za binadamu na kukuza maendeleo endelevu.

Naomba kumnukuu Waziri Makonda
“ La kwanza tafuteni hela. Tafuteni hela. Wanahabari tafuteni hela. Waandishi wa habari tafuteni hela.Wamiliki wa vyombo vya habari tafuteni hela, huu uhuru tunaosema huu ni ngumu sana kuupata ukiwa maskini. Ni ngumu sana kuupata uhuru wa habari kama wanahabari wenyewe ni maskini. Mtanipinga leo lakini kuna mahala mtakaa mtakubali ya kwamba Makonda yuko sahihi.

Freedom tunayoipigania lazima iendane sambamba na mapambano ya kujenga uchumi imara wa wanahabari. Mwanahabari kama uchumi wake hauko imara, uhuru wake wa habari uko kwenye hati hati, yuko jeopadized ni rahisi kuwa manipulated if you are not economically fit.

Ajenda hizi mara nyingi tunakimbilia uhuru wa habari katika mapambano dhidi ya serikali lakini tunasahau ya kwamba uhuru wa habari ili uweze kupatikana kwa uhalali ni uwezo wetu wa kiuchumi utatuondoa wanahabari kufanya kazi kwa hofu na masimango.

Leo hii wako wanahabari ambao wako mifukoni mwa wanasiasa wanaandika stori kutokana na mwanasiasa alichokupa. Taifa hili lina watu ukiwatazama kwa jicho la habari na namna ya chombo cha habari kilivyowatengeneza ni watu wema sana lakini ni wauza madawa ya kulevya ni wala rushwa wakubwa ni wazembe ni mafisadi lakini wamefanikiwa kukamata na kuwaweka wanahabari mifukoni mwao!.

Media inamsifia mtu na kumuita ni mtu rahimu yule ni mtu mwema lakini kimsingi sio mtu mwema, kwa nini?, kwa sababu uchumi wa wanahabari unapokuwa mdogo unawapa nafasi wanasiasa uchwala na walushwa kuwaweka mfukoni.

Mimi kaka zangu na dada zangu tunafahamiana sasa nawaomba sisi tutengeneze mikakati ya kuhamisha ajenda kutoka kwenye ajenda za kuwabrandi watu. Tuibrandi nchi yetu kutoka kwenye ajenda ya kuwasifia watu tuonyeshe fursa za kiuchumi zilizoko kwenye nchi yetu. Huko ndiko fedha ilipo. Yaani wewe leo hii chukua tu sekta ya utalii. Sekta ya utalii ukiangalia vivutio tulivyoavyo leo hapa Tanzania hakuna nchi yoyote Afrika inayoifikia Tanzania kwa utajiri wa sekta ya utalii.

Lakini tuulizane wanahabari wanahabari wangapi wanaoripoti habari za utalii? Alafu twende tuangalie wanahabari wangapi wanaripoti habari za siasa. Ukienda hapo utakuta kule kwenye hela nyingi hakuna ripora, hakuna stori huku ambako tuna wanasiasa uchwala, walaar rushwa, mafisadi wanaotaka kuonekana wamana ndio waandishi wa habari wamejaa pale kila siku front page mwanasiasa mwanasiasa analeta hela kiasi gani huyo? Lakini kwa nini tunampa hiyo front line nani front page? Kwa sababu kuna kahela fulani tuko kwye kwenye kamtandao kakupewa posho. Na for your information ngoja niwambie kitu kimoja ukimpigania muovu haki ya Mungu walahi inakuapia hata wanao hawatoboa” Mwisho wa kunukuu.

Hili alilolizungumza Waziri Makonda, ni kweli, wakati mimi najiunga na tasnia ya habari, mwanzoni mwa miaka ya 90, Tanzania tulikuwa na redio moja, RTD na magazeti matatu, Uhuru/Mzalendo, Daily News/Sunday News, na Mfanyakazi, japo nilikuwa nalipwa mshahara mdogo, lakini kila kitu kilikuwa bure, elimu bure, afya bure, ukiwa kazini chakula bure, usafiri bure, tunapangiwa nyumba bure, hadi samani za ndani ni bure, tena hata ardhi ilikuwa inagawiwa bure, kila kitu ni bure, fedha ilikuwa sio msingi, fedha ni matokeo.

Sasa mambo yamebadilika, hakuna tena cha bure, kila kitu ni fedha, elimu inalipiwa, afya inalipiwa, ardhi ni mali, nyumba zinalipiwa, usafiri unalipiwa, kila kitu ni pesa!, kwanini mpaka leo mpaka kesho habari ni bure?!.

Nimeandika humu makala kadhaa, hakuna uhuru wa habari bila uhuru wa kiuchumi wa vyombo vya habari na waandishi wa habari. Kati ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, nini ni muhimu zaidi?. Kama serikali yetu inatoa ruzuku ya mabilioni kwa wanasiasa na waheshimiwa wabunge, wengine kazi yao ni kuupara tuu, kutokelezea, kusinzia, na kugonga meza kupiga makofi, hawachangii hoja yoyote, lakini wanalipwa vizuri, kwanini tushindwe kutoa ruzuku kwa vyombo vya habari na waandishi wa habari wenye jukumu muhimu la kuihabarisha jamii?.

Kiukweli hoja za Waziri Makonda, zimenikuna, tukimtumia vizuri, sekta ya habari, tutafika mbali.

Nawatakia waandishi wenzangu wote wa habari ,mapumziko mema ya siku yetu hii ya kimataifa ya uhuru wa habari,kwa msisitizo wa alichokisema Waziri Makonda,kuwa siku hizi,hakuna cha bure!,kila kitu ni pesa, hivyo waandishi tutafute pesa!。

Mungu Mbariki Waziri Makonda,

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Hivyo mnasheherekea siku yenu kwa kuongezewa viungo wakabaji waliokosa ithibati?
 
Back
Top Bottom