Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wananchi nawasabahi, Kabla ya mfumo wa vyama vingi kulikuwa na chama kimoja cha siasa nacho ni CCM, hivyo CCM haikuwa na chama rafiki kwa humu nchini. Baada ya mfumo wa vyama vingi kuruhusiwa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Tundu Lissu amerudi nchini na tunategemea joto la ushindani wa kisiasa litapanda kwa faida ya umma. Nina mambo matatu ya kujadili kuhusu TL, Muda umebadilika na inabidi atulie aangalie muelekeo...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Leo nimejikuta nakumbuka mambo mbalaimbali tuliyopitia Kama taifa kwa nyakat tofauti ambayo yalizua simanzi na taharuki lakini yakapita hivihvi bila kupewa mrejesho ingawa wahusika hukaa mbele ya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Siwasikii tena wazanzibari mkilalamikia kuwa serikali ya Tanganyika imejivika koti la Muungano na Yale makero ya Muungano siku hizi kimyaa nini kimewasibu Wazanzibari? Au ndio utamaduni wa...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Kufuatia mikutano ya vyama vya siasa kuruhusiwa na Mh. Tundu Lissu kurejea nyumbani, kujua atakuwa wapi mheshimiwa huyu kwa mikutano hii ingependeza sana. "Si waswahili wanasema mgeni aje...
3 Reactions
10 Replies
842 Views
Siku ya jana na Leo limezuka gumzo mtandaoni la picha za Lissu na Dada wa Chadema aliyevaa mkoba wenye rangi rangi zile za Upinde(LGBTQ). Wengi wanamshutumu Lissu na kumsema vibaya. Lakini Mimi...
5 Reactions
39 Replies
6K Views
Tumeshuhudia kwa mfano akina Halima Mdee na wenzake Rufaa yao imechukua zaidi ya Mwaka mmoja kuweza kusikilizwa na Baraza Kuu Sasa hii ni Katiba ya namna gani inayominya utoaji wa Haki kwa...
2 Reactions
10 Replies
600 Views
Waziri Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugumba bado ni kubwa nchini, " mpaka sasa hakuna takwimu rasmi za kitaifa ila utafiti mdogo ambao unaonesha 30% ya watu wana tatizo la ugumba, Duniani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wote tunajua kwamba Shujaa Magufuli alichangia takribani tsh 38 milioni kama mwanafamilia wa Mchungaji Msigwa ili zijazie bakuli la kulipia Faini Viongozi wa CHADEMA waliokuwa wamefungwa Jela...
3 Reactions
58 Replies
2K Views
Kulalamika bila kuweka facts hakusaidii lolote Inaeleweka wazi kabisa Wazanzibari wote ni Watanzania lakini Siyo Watanzania wote ni Wazanzibari Very simple Jumaa kareem!
1 Reactions
6 Replies
865 Views
Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja hivi karibuni katika kuongeza ufanisi. Mabadiliko hayo yanaweza yasiwe na tija au yakawa na tija, ila naamini mabadiliko hayo yakilenga kuvunja Baraza...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hili ni swali tu ndugu zangu, wala halina Uhusiano na jambo lolote lile. Cheo ni dhamana ya Muda mfupi sana ni kama mbio za kupokezana vijiti tu, leo huyu, kesho yule . Kiongozi aweza kuachia...
11 Reactions
103 Replies
9K Views
Polisi walisema hawawezi kuchunguza kwasababu wameshindwa kumhoji Lissu. Na kisingizio cha kutokumhoji Lissu ni kwasababu alikuwa nje nchi. Sasa Lissu amerejea Tanzania. Natarajia jeshi...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari JF, Kuna kitu hakiko sawa katika siasa za Tanzania. Kama ilivyo kwa viongozi na wanachama wakongwe wa vyama vya upinzani wengi wao walitoka CCM. Kwa kipindi hicho kuunda kwao vyama vya...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Kufuatia mkeka wa ma DC kutoka, imeonekana kuna jambo fulani linaepushwa ili kulinda ubadhilifu mkubwa uliofanywa kwenye chama wakati wa Katibu Mkuu Deus na genge lake. Juzi tu mkutano mkuu wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Unashangaa? Wenye akili walikuwa wanazikataa.... Akina Nyerere waliamua waitwe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na kushimiwa sana. Nyerere alikuwa akiona unajipendekeza sana kwake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba majibu ya swali hilo katika ulimwengu huu wa kuchakachua kufoji kubambikiza kuonea kutoleana ushahidi wa uongo je kuna haja ya Kuwa na kipengele kama hiki?
0 Reactions
1 Replies
447 Views
Baada ya ziara ya Rais Samia nchini China, 98% ya bidhaa kutoka Tanzania kwenda China zitaingia bila kutozwa ushuru. Hii itatoa fursa kubwa kibiashara kwa wakulima, wafugaji na wafanya biashara...
2 Reactions
12 Replies
939 Views
WINGU la mashaka juu ya mustakabali wa utawala wa Kagame nchini Rwanda ,lilianza kutanda muda mfupi tu baada ya maadhimisho ya 12 ya mauaji hayo ya Kimbari ,pale Mwanasheria wa ICTR alipotangaza...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom