Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 876
- 4,101
Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja hivi karibuni katika kuongeza ufanisi.
Mabadiliko hayo yanaweza yasiwe na tija au yakawa na tija, ila naamini mabadiliko hayo yakilenga kuvunja Baraza kumwondoa Waziri Mkuu yataleta ufa badala yake aachwe amalize miaka miwili ijayo.
Bado sioni Waziri Mkuu kwa sasa, labda waandaliwe. NI upi mtizamo wako juu ya kumwondoa PM?