Mwaka 2019 ulipoanza ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mwabayanda kata ya Sukuma wilaya ya Maswa ,mkoa wa Simiyu wananchi walifurahi mno na kurukaruka kuwa mwisho wa adha ya kutembea umbali mrefu...
U hali gani Mtanzania?
Napenda kutoa wazo na pendekezo maalumu kuhusu afya za wagombea Urais, Ubunge, Udiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa au Vijiji liwepo ndani ya Katiba Mpya itakayokuja...
Leo 27/January ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya Sita wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza miaka 63 hapa Duniani.
Rais alizaliwa January 27 mwaka 1960 katika nchi...
Nilishangazwa Sana na kauli aliyoitoa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande, eti pamoja na mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere, kukaribia kukamilika, watanzania tutegemee mgao zaidi wa Umeme...
Kama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, Makamu Mwenyekiti, amewahi kugombea Urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk, amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje?
Nashauri kamati ya...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) ametikisa kwa kishindo kikubwa kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Misenyi mkoani Kagera.
Watanzania kwa kiasi kikubwa inaingizwa hasara kubwa na makampuni ya China.
Kwa asilimia kubwa barabara nyingi zimejengwa na makampuni ya Kichina. Barabara hizi hazieleweki kama ujenzi wake...
Source:
Mwananchi Newspaper
Ijumaa, Januari 27, 2023.
Muktasari:
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kada wake, Nemes Tarimo aliyefia vitani nchini Ukraine akitetea masilahi ya...
Wakuu habari za leo,
Naomba radhi kwa watakaoelewa tofauti na nilivyoelewa mimi. Niwashirikishe katika maswali niliyoulizwa na Babu mmoja jana kwenye kituo cha daladala ambacho kina pilikapilika...
Mabadiliko ya kweli kwenye nchi huletwa pale tu vijana wanapohamasika kujihusisha na siasa. Vijana wanaweza kubomoa au kujenga nchi. Kiongozi dhalimu Charles Taylor aliwatumia vijana kujiwezesha...
Hawana tofauti na zile kampuni za kukodishwa kulia na kuomboleza misibani!
Ambao huweza kulia kwa machozi tosha,ilhali hata Marehemu mwenyewe hawakuwahi kumuona kavla ya kufariki. Achilia mbali...
Maisha mwendo mdundo.Bila shaka taifa litaanza kupata madini kupitia udaktari wa heshima, udaktari huu pia anao mbunge Musukuma.
Bado nafuatilia chuo kilichompa udaktari huo
Hureee vijana
Ni miaka 62 imepita baada ya Tanzania kupata uhuru kamili. Lakini ukiniuliza ni faida gani tumepata kwa kuwa huru, sina jibu.
1.Hatuna uhuru wa kisiasa. Siasa yetu bado inasimamiwa na mabeberu...
Kwanza napenda kumshukuru Mungu Kwa uhai huu na muujiza mkubwa ambao ameufanya Kwa Tundu Lissu.
Pia namshukuru Mungu Kwa kumuondosha haraka kwenye USO wa Dunia bazazi aliyengia disco na jambia au...
Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF limeitaka Urusi kukoma mara Moja kuwatumia Watanzania kwenye Vikosi vyake Vitani
CUF wamesema jambo hilo halikubaliki kabisa
Chanzo: Mwanzo tv
Mliposusia ruzuku Katibu mkuu mh Mnyika alitutangazia nasi tukawapongeza
Vivyo hivyo mtakapoanza kupokea tena kama bado mtujulishe Wadau ili tuwapongeze tena
Jumaa kareem!
VIONGOZI WAKUU WA KANISA LA EVANGELICAL ASSEMBLESS OF GOD OF TANZANIA [E.A.G.T] AKIWEMO ASKOFU MKUU WACHUNGUZWA KWA RUSHWA
Ndugu WanaHabari,
Kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na...
Wananchi nawasabahi,
Kabla ya mfumo wa vyama vingi kulikuwa na chama kimoja cha siasa nacho ni CCM, hivyo CCM haikuwa na chama rafiki kwa humu nchini.
Baada ya mfumo wa vyama vingi kuruhusiwa...
Tundu Lissu amerudi nchini na tunategemea joto la ushindani wa kisiasa litapanda kwa faida ya umma. Nina mambo matatu ya kujadili kuhusu TL,
Muda umebadilika na inabidi atulie aangalie muelekeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.