Naomba wajuzi wa mambo Pascal Mayalla na Lucas mwashambwa mnisaidie uelewa na wengine wasio na uelewa kama mimi. Hivi ni vigezo gani vinatumika kumteua DC au kumtengua DC.
Hawa walioteuliwa...
Tundu Antipas Lisu alipanda Jukwaani na kulihutubia Taifa.
Ni vema tukajadili kile alichozungumza badala ya kumjadili yeye binafsi na maisha yake.
Sukuma Gang kumbukeni huyu ni Tundu kama Lisu...
Watanzania tunachotaka ni katiba mpya kusaidia nchi. Katiba hii mpya ambayo majadiliano yameanza sio ya vyama vya siasa ni ya Tanzania nzima kwa ujumla. Tusiwe wazito kuchukuwa na kuiga wenzetu wa...
Liberia ni Taifa lililoundwa na watumwa weusi kutoka Marekani, Waliporudi liberia walikuta wenyeji walianzisha Taifa lao ,Bendera ya liberia inafanana sana na ya Marekani
Samuel Doe yeye...
Taarifa huwa haziozi.
Hoja hiyo kwenye mada; Iliibuliwa na siye Mwingine bali Nguli wa Siasa wa CHADEMA.
Unaweza pitia hapa kwa Taarifa
Bila ya Kuharibu shehena.
Hatahivyo nitamnukuu...
Yule Dereva alikimbia na Lissu ingawa alitakiwa kuja kuwa shahidi mzuri wa Lissu,kwa kusaidia kutoa maelezo ya jinsi alivyoona na anachokumbuka yeye!
Siyo Lissu wala Chadema officials yoyote...
Januari 27 ni kumbukumbu ya siku ya Kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Katika kusherehekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa watu utakiana Kheri na...
Siku chache zilizopita Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetimiza miaka 30 tangu kilipopatiwa usajili wa kudumu Januari 21, 1993.
CHADEMA kimekuwa kikiimarika kila kukicha, licha ya...
Siasa za Chadema pasua kichwa sana. Kuna wakati inabidi ujifanye chizi kuwaelewa
Leo wanafurahia kila kona Tundu Lisu kushangiliwa na Watoto wa shule ya Msingi
Enzi za Shujaa Maguful Wanafunzi...
Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli...
Hakika bado wapo Watanzania wanaoililia nchi yao kutokana na ukweli kwamba hakuna tena viongozi wenye uchungu nao, sasa anapokuja mtu kama Tundu Lissu aliyejidhihirisha wazi kutetea wananchi ni...
Serikali ya awamu ya sita imekua na mwendelezo mzuri sana sekta ya afya, imejenga zahanati 786, na vituo vya afya 471, pia imekarabati na kuboresha huduma katika hospitali za almashauri 154, Bila...
Hali ngumu ya maisha inayosababishwa na mfumuko wa bei za bidhaa masokoni,wazo la katiba mpya litatawa mwaka 2023 nguvu kutoka kwa wananchi,trade unions,NGO'S,wataalamu wa elimu ya siasa na uraia...
MAJI YA ZIWA VICTORIA YAFIKA MGONGORO - JIMBO LA IGUNGA
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Igunga (IGUWASA) imefanikiwa kufikisha huduma ya maji safi ya Ziwa Victoria kwenye Kijiji cha...
NI KUWEKEZA KWENYE UZALISHAJI PEKEE NDIO KUTATUTOA HAPA NA SERIKALI IMEJUA NA IMESHACHUKUA HATUA.
Hali ya bei za vyakula kwenye masoko mbalimbali nchini bei inaonekana kuongezeka mara mbili mpaka...
Kwenye siasa ukishakuwa upande usiotakiwa njia pekee ya kusalimika kwako ni kupambana tena hadharani. Ukiwa mnafiki na muoga utamalizwa fasta.
Inafika wakati kama yule mwanamke kwenye biblia...
MBUNGE SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU AISHUKURU SERIKALI YA RAIS SAMIA KWA MRADI WA SWASH
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais...
Leo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.
Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio...
Mheshimiwa Lissu kaingizana nchini jana kama farasi wa ngongo. Mapokezi yake tu ni ishara tosha kuwa huyu ni mtu wa namna gani kwa watu wake.
Kwenye hotuba yake mara tu baada ya kuwasili...
Pamezuka Tabia ya Wagombea ubunge wa Chadema waliogaragazwa na wale wa CCM 2020 kusimama Majukwaani na kujitangaza kama Wabunge
Utaratibu huu unawavunja moyo Wabunge halali waliochaguliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.