Kuna nini Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT)?

Kuna nini Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT)?

satininus

Senior Member
Joined
Feb 11, 2021
Posts
134
Reaction score
172
Kufuatia mkeka wa ma DC kutoka, imeonekana kuna jambo fulani linaepushwa ili kulinda ubadhilifu mkubwa uliofanywa kwenye chama wakati wa Katibu Mkuu Deus na genge lake.

Juzi tu mkutano mkuu wa CWT taifa ulimtimua Kaimu Rais na kumrudisha Rais aliyefurushwa kwa hila Mwl Leah Ulaya lakini kwenye mkeka wa jana viongozi wote wakuu wa chama wamepata uteuzi yaani; Leah, Mathamani na Maganga.

Kwa hiyo CWT haina uongozi wa juu. Naomba wafuatiliaji wa sakata la Uongozi wa CWT watupe ufafanuzi katika hili.
 
Kufuatia mkeka wa MaDC kutoka imeonekana kuna jambo fulani linaepushwa ili kulinda ubadhilifu mkubwa uliofanywa kwenye chama wakati wa Katibu Mkuu Deus na genge lake.Juzi tu mkutano mkuu wa CWT taifa ulimtimua kaimu rais na kumrudisha rais aliyefurushwa kwa hila Mwl Leah Ulaya lakini kwenye mkeka wa jana viongozi wote wakuu wa chama wamepata uteuzi yaani Leah,Mathamani na Maganga kwa hiyo CWT haina uongozi wa juu.Naomba wafuatiliaji wa sakata la Uongozi wa CWT watupe ufafanuzi katika hili.
Ayo mafungu waliyopiga ukute yalitumika kuokoa chama twawala kwenye uchaguzi maana siyo kwa promotion hiyo kwa top leaders wote wa CWT!
 
CWT nacho chama cha wababaishaji
Ukimjulisha na TuCTA ni vyama vya kuharibu hatima ya Watumishi bwa Umma. Vyama vilivyokubali Wazee wanaostaafu wa Nchi hii Walipwe Mafao ya Kikokotooo Ili waishi kimaskini na kufa Kwa Sonono. Vyama vinavyoongozwa na Waganga Njaa aka Chawa.
 
Katibu tu salary anakula 7M+3M marupurupu so pale ni wapigaji kama wengine,za ndani ni kuwa uteuzi umepita makusudi kuwatoa hao wapange sub yao naona katibu amegomea uteuzi ngoja tuone mwisho wa mchezo.
 
Katibu tu salary anakula 7M+3M marupurupu so pale ni wapigaji kama wengine,za ndani ni kuwa uteuzi umepita makusudi kuwatoa hao wapange sub yao naona katibu amegomea uteuzi ngoja tuone mwisho wa mchezo.
Katibu kagoma?
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Back
Top Bottom