Je, vyama rafiki na CCM kwa Tanzania ni vipi?

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Wananchi nawasabahi,

Kabla ya mfumo wa vyama vingi kulikuwa na chama kimoja cha siasa nacho ni CCM, hivyo CCM haikuwa na chama rafiki kwa humu nchini.

Baada ya mfumo wa vyama vingi kuruhusiwa kukaanzushwa na kusajiliwa vyama vingi vya siasa na vyote vikajinasibu ni vyama vya upinzani kwa maana dhidi ya CCM kwani ndio chama tawala.

Juzi CCM imetangaza kukutana na vyama rafiki vya hapa nchini je, vyama hivyo ni vipi? Je, ndio hivyi hivyi vinavyojiita vyama vya upinzani wakati wa mfumo ulipoanzishwa kwa upande mwingine?

Mwenye orodha ya vyama rafiki na CCM atujuze. Aulizae ataka kujua.
 
ACT, CUF, NCCR , CHADEMA, TADEA, ADC, UDP, DP,CHAUMMA, AFP na vyengine vyote vilivyo baki.
 
Huwezi jua kilichoko ndani ya carpet. Mtei founder wa chadema alikuwa BOT ,Hivi wew unajua mtumishi wa umma anayeweza fikia level hiyo ni wa namna gani
Hizi shule/vyuo vyetu vinatuletea middle class wa ajabu, yaani real?,Mr.Mtei kwa sababu alikua BOT !!!,ngoja niendelee kunywa ulanzi huku lingusenguse
 
Wananchi nawasabahi,

Kabla ya mfumo wa vyama vingi kulikuwa na chama kimoja cha siasa nacho ni CCM, hivyo CCM haikuwa na chama rafiki kwa humu nchini.

Baada ya mfumo wa vyama vingi kuruhusiwa kukaanzushwa na kusajiliwa vyama vingi vya siasa na vyote vikajinasibu ni vyama vya upinzani kwa maana dhidi ya CCM kwani ndio chama tawala.

Juzi CCM imetangaza kukutana na vyama rafiki vya hapa nchini je, vyama hivyo ni vipi? Je, ndio hivyi hivyi vinavyojiita vyama vya upinzani wakati wa mfumo ulipoanzishwa kwa upande mwingine?

Mwenye orodha ya vyama rafiki na CCM atujuze. Aulizae ataka kujua.
Tlpnasiuuuef mangiii
 
Back
Top Bottom