Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Igunga umetumia Siku ya tarehe 29 Januari 2023 kufanya uzinduzi ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya ikiwa ni muendelezo wa matukio mbalimbali yanayofanywa na...
Siasa za Nchi yetu na ukweli ni Maadui, wanasiasa wengi kuambiwa ukweli hawapendi kitu ambacho ni Kibaya mno kamwe usipokubali ukweli au kukosolewa ujue wewe ni mzigo, Matokeo yake unatengeneza...
Jana matokeo ya CSEE na QT yalitangazwa. Lakini hayakuwa na ranking wala hata kuonesha halmashauri inakopatikana shule husika.
1. Kufanya ranking ni mhimu Kama recognition kwa shule na mwanafunzi...
Sio kwenye elimu tu, huko kwenye afya na kilimo mambo ni fyongo tu.
Tuje sasa kwenye uchaguzi, mwaka 2019 walishinda vijiji vyote kwa 100% na mwaka 2020 walishinda ngazi zote za uchaguzi kwa...
Kusema kweli hili jambo silielewi kabisa, kwani polisi ni wale wale,je ni kwa nini hivi sasa kuna ongezeko la vibaka na matukio ya kihalifu na hawaogopi uwepo wa vyombo vya dola?
Je, huenda ni...
Huyu bwana aliupata Urais kwa mgongo wa Magufuli na wala hakuwa chaguo la Wazanzibar. Alikuja na mikakati mingi ikiwemo ule maarufu wa kukuza Uchumi wa Bluu.
Ila baada ya kifo cha JPM kama...
WAKUU,
Tangu asubuhi leo Watu wa haki za binaadam wamejifungia wanaojiita The commission on human and peoples' rights wamejifungia chumbani na baadhi ya watu waliookotwa na wanaharakati...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhuru Yunus pamoja na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe; Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Gerald Geofrey Mweli pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Watanzania ni Wavivu wanategemea kila kitu afanye Tundu Lisu na Mbowe
Kwa utaratibu huu hata Katiba mpya itakuwa ngumu kuupata, amesema
Wananchi ni...
Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote na mapendekezo ya serikali kuhusu utekelezaji wake ni mzigo kwa mwananchi hasa mwenye kipato kidogo aliye katika sekta isiyo rasmi. Serikali imeacha mzigo wa...
Wengi wetu humu Tumeona, tunesikia na tumesoma tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uwezekano wa kutokea shambulio la ugaidi hapa nchini.
Tumesikia mwitikio wa jeshi la polisi kuhusu hatua...
Imekuwa ni swali ninalojiuliza kila ninapokwenda kulala. Serikali mpya ya rais itachukua muundo gani,itakuwa na muonekano upi?
Sasa hivi nafikiri kwamba nchi ni disoriented,yaani watu...
Tunapongeza sana maboresho yanayofanyika kwenye Elimu yetu haswa wakati huu wa serikali ya awamu ya Sita.
Mheshimiwa Rais tunaomba umwagize Waziri wa Elimu ahakikishe kuwa wanafumzi wa shule za...
Hili jambo kwa kweli haliko sawa. Imefika mahali image ya mtu inachange kabisa.
Yaani ukiwa mkereketwa kijana wa CCM hata ukajitetea vipi kwamba jamani na mimi niko kwa maslahi ya Taifa bado...
Tunasumubuana na mijadala kibao juu ya ubora wa elimu TZ na sasa naona kuna juhudi za kupunguza makali ya mitihani ya darasa la 7.
Ukweli ni kwamba ili tuwe na elimu bora lazima pia tuwe na...
HIFADHI YA JAMII NDIYO MWARUBAINI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE; MUSWADA WA BIMA YA AFYA NI WA KUTUPILIWA MBALI!
Ndugu Waandishi wa Habari,
A. Utangulizi:
Muswada wa sheria ya ‘Bima ya Afya Kwa Wote’...
Nje ya Siasa huyu Tundu Antipas Lisu ni ushuhuda wa Uponyaji wa Mungu wa mbinguni mwenyewe
Kipekee ashukuriwe Rais Samia kwa kumtembelea Lisu akiwa mahututi Hospital na kumtia moyo
Kadhalika...
Asa itakuaje wafanyakazi wa T.P.A. niwachache hvo ma operator watatumika vibarua na wanalipwa 11500 huku makalani 9000, ni aibu ni Bora apewe muwekezaji watu wamesota Sana angalau wapate mikataba...