Deghe Mangae
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 171
- 152
Siasa za Nchi yetu na ukweli ni Maadui, wanasiasa wengi kuambiwa ukweli hawapendi kitu ambacho ni Kibaya mno kamwe usipokubali ukweli au kukosolewa ujue wewe ni mzigo, Matokeo yake unatengeneza bomu La maangamizi hii ni kitu ya ajabu sana mwanasiasa kupenda sifa zisizo na mashiko. Nchi yetu imejaa siasa za visasi tu.
Mfano inapotokea uchaguzi jimboni Baadhi ya vijiji visipopigia kura chama Tawala ugomvi wa visasi hawiishi na Huduma muhimu mtakosa kisa kura yako Umempa mpinzani najiuliza shida nn kama ni maendeleo ni kodi zetu wote yaani ni shida siasa za Nchi yetu nadhani kwa sasa hii katiba inayowapa Kiburi irekebishwe tuheshimiane[Lickle bit]