Tunasumubuana na mijadala kibao juu ya ubora wa elimu TZ na sasa naona kuna juhudi za kupunguza makali ya mitihani ya darasa la 7.
Ukweli ni kwamba ili tuwe na elimu bora lazima pia tuwe na wasimamizi bora. Mmojawapo ni huyu Katibu mkuu wa NECTA je, ndiye bora tuliyestahili kupata hapa Tanzania?
Lazima yeye mwenyewe aonyeshe alikuwa ni Mwanafunzi bora na hana elimu iliyopindishwa.
Tusijekuta mtu ambaye aliiba mitihani vyuoni, leo hii ndo msimamizi wa elimu yetu. Ndo maana naomba wasifu wa mtu huyu. Kama hafai hakika tupige kelele aondoke.
Siyo majungu ni haki yetu wa-Tanzania.