Nje ya Siasa: Mungu awabariki Mchungaji Msigwa na Lema kwa kumlinda Tundu Lissu pale Nairobi Hospital usiku na mchana bila kuchoka!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,980
141,996
Nje ya Siasa huyu Tundu Antipas Lisu ni ushuhuda wa Uponyaji wa Mungu wa mbinguni mwenyewe

Kipekee ashukuriwe Rais Samia kwa kumtembelea Lisu akiwa mahututi Hospital na kumtia moyo

Kadhalika ashukuriwe mzee wetu Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Mwinyi kwa kumtembelea Lisu hospital

Pia Mungu wa mbinguni amjalie Peponi marehemu Turki aliyemkodia ndege Tundu Lisu ili awaishwe nje ya nchi kwa matibabu

Bila kumsahau Balozi Mpoki aliyesaidia kitaaluma Lisu kusafirishwa akiwa salama, Mungu ambariki sana

Kipekee kabisa Mungu wa mbinguni uwajalie zaidi Neema ya Upendo mchungaji Msigwa na Godbless Lema waliokesha Nairobi Hospital wakimuombea na kumlinda Tundu Lisu ili shetani asimkaribie

Sisi Wakristo tumeziona nguvu za Mungu wa mbinguni kupitia Uponyaji wa TAL

Nawatakia Dominica njema!
 
Usipokunywa yale mataputapu akili zinakukaa sawa.
 
🙏🏽
 
MAGU alikuwa rais mbaya sana hapa nchini ambae hajawahi tokea ana Roho mbaya isiyojificha hata kwenye sura yake.
Nawashangaa wanaomlilia sijui wana fistula ya ubongo hata sielewi.
Yule jamaa alikuwa mwovu shetani mwenyewe pale aingie darasani kwanza.
 
Nje ya Siasa huyu Tundu Antipas Lisu ni ushuhuda wa Uponyaji wa Mungu wa mbinguni mwenyewe

Kipekee ashukuriwe Rais Samia kwa kumtembelea Lisu akiwa mahututi Hospital na kumtia moyo

Kadhalika ashukuriwe mzee wetu Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Mwinyi kwa kumtembelea Lisu hospital

Pia Mungu wa mbinguni amjalie Peponi marehemu Turki aliyemkodia ndege Tundu Lisu ili awaishwe nje ya nchi kwa matibabu

Bila kumsahau Balozi Mpoki aliyesaidia kitaaluma Lisu kusafirishwa akiwa salama, Mungu ambariki sana

Kipekee kabisa Mungu wa mbinguni uwajalie zaidi Neema ya Upendo mchungaji Msigwa na Godbless Lema waliokesha Nairobi Hospital wakimuombea na kumlinda Tundu Lisu ili shetani asimkaribie

Sisi Wakristo tumeziona nguvu za Mungu wa mbinguni kupitia Uponyaji wa TAL

Nawatakia Dominica njema!
Karma itawalipa
 
Mh kumbe kwel alikua anatafutwa auwawe ndo maan aliendelea kulindwa🤔🤔. Ila kwann hupelek pongezi kwa mkuu wa inji kipind hicho!!!
 
Back
Top Bottom