Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Igunga wazindua ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,859
930
Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Igunga umetumia Siku ya tarehe 29 Januari 2023 kufanya uzinduzi ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya ikiwa ni muendelezo wa matukio mbalimbali yanayofanywa na Jumuiya za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea mahadhimisho ya Miaka Arobaini na Sita ya Kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM).

Aidha Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT) kwa niaba ya Wanawake wa UWT Igunga ametumia hafla ya uzinduzi kumshukuru Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kwa ushirikiano anaowapatia mpaka hatua ya kuanza Ujenzi.

Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga wametumia hafla ya uzinduzi kuhamasisha ushirikiano na Umoja katika kujenga Chama na Jumuiya zake.

Imetolewa na:
Nassor Saleh Amour
Igunga, Tabora
29 Januari 2023

indexZASDF.jpg
indexXCVB.jpg
indexVBNM.jpg
indexCVBGH.jpg
indexKLOP.jpg
indexZXAS.jpg
 
Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Igunga umetumia Siku ya tarehe 29 Januari 2023 kufanya uzinduzi ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya ikiwa ni muendelezo wa matukio mbalimbali yanayofanywa na Jumuiya za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea mahadhimisho ya Miaka Arobaini na Sita ya Kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM).

Aidha Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT) kwa niaba ya Wanawake wa UWT Igunga ametumia hafla ya uzinduzi kumshukuru Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kwa ushirikiano anaowapatia mpaka hatua ya kuanza Ujenzi.

Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga wametumia hafla ya uzinduzi kuhamasisha ushirikiano na Umoja katika kujenga Chama na Jumuiya zake.

Imetolewa na:
Nassor Saleh Amour
Igunga, Tabora
29 Januari 2023

View attachment 2499642View attachment 2499643View attachment 2499644View attachment 2499645View attachment 2499646View attachment 2499647
Mbona simuoni Suphian Juma hapo?
 
Wajiite Umoja wa Wanawake wa CCM (UWC)!Kujumuisha wote ni ubatili sana.
 
Hivi kwa Nini walitumia maana ya Umoja wa wanawake Tanzania na si Umoja wa wanawake wa CCM taifa. Kuna wake zetu hawapo ndani ya CCM wala huo muchepuko wao. Wanawaza teuzi ili kula rasilimali za nchi mengine wanatufanyia maigizo
 
Back
Top Bottom