Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu hii imetokea wilaya ya Siha Mwalimu wa madrasa amemwadhibu mwanafunzi kiasi Cha kumvunja kidole
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wabunge wameshindana kukimbia wakiwa kwenye magunia Kuwanywa soda haraka Kukimbia na buble kwenye kijiko kikiwa mdomoni Kula wali nyama haraka Kukimbiza [emoji215] Kuvuta kamba USSR Sent...
1 Reactions
46 Replies
2K Views
Tarehe 23 wakati wa ufunguzi wa mikutano ya kisiasa pale Mwanza mheshimiwa mwenyekiti alipwaya Sana. Alionesha ni kwa namna gani anashindwa kutumikia mabwana wawili. Uso wake ulionesha anatamani...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Nenda Mkoa wa Geita ukajionee Utekelezaji wa mradi wa REA awamu ya tatu mzunguko wa pili mkoani Geita umesitishwa bila sababu za msibgi na bila wakandarasi kujulishwa na mikataba tukiwa...
1 Reactions
1 Replies
978 Views
Habar za Asubuh waungwana! Jana nilikuwa Club House usiku mpaka saa 00:58 huko! Nilikutana na taarifa ya Mwenyekiti wa umoja wa vijana NCCR Mageuzi kupetea katika mazingira yakutatanisha huko...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Prof. Lipumba: Hitimisho, baraza kuu linatoa wito kwa watanzania pamoja na waandishi wa habari kujiunga na chama cha CUF chenye lengo la kujenga nchi yenye haki sawa na furaha kwa wananchi wote...
11 Reactions
83 Replies
7K Views
Neno Sirikali
1 Reactions
1 Replies
502 Views
Siasa za Africa Mashariki ni kama zinafanana sana. Wakati Tundu Lissu anapanga kuanzisha vuguvugu la Katiba Mpya pacha wake wa kisiasa huko Kenya anataka kufanya maandamano ya kupinga ushindi wa...
0 Reactions
5 Replies
715 Views
Habari! Nimefuatilia habari za mikoa mbalimbali na wilaya zake, watoto wengi ambao wamepangiwa shule za sekondari kuanza kidato cha kwanza hawajaripoti shule mpaka leo. Yawezekana wapo wazazi...
12 Reactions
40 Replies
3K Views
Kuna mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na Viongozi mbalimbali unafanyika Dakar Senegal Kwa Ajili ya masuala ya usalama wa chakula barani Afrika. ==== About 20 African heads of state and private...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Assalamualaikum WanaJf! Lengo la mada yangu ni kujadili swali kwamba: Inawezekana vipi kupata maridhiano kati ya CCM, chama tawala na CHADEMA, chama kikuu cha upinzani ilhali upande mmoja, CCM...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Wananchi wa Iringa Mjini wamemtaka mchungaji Msigwa ahakikishe Makamu mwenyekiti Tundu Lissu anafika Iringa haraka iwezekanavyo kwa mkutano wa hadhara. Wakizungumza maeneo ya Kitanzini Wanyalu...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimestushwa Sana na taarifa iliyotolewa Ikulu, ikionyesha kuwa wakuu wa wilaya 48, wamehamishwa vituo vyao vya kazi. Hivi Rais anawezaje kuwahamisha wakuu wa wilaya 48, Ili waende kwenye vituo...
17 Reactions
50 Replies
4K Views
Waziri wa Mambo ya Nje, Stergomena Tax amesema Mtanzania aliyefariki Dunia Nchini Urusi, Nemes Tarimo alikuwepo nchini humo kwa ajili ya masomo na alijiunga na Chuo cha Moscow Technology Pro mwaka...
4 Reactions
119 Replies
11K Views
Kwa Tanzania ya leo kisiasa ni Uchawa tuu. Hakuna jipya! Usitegemee chawa wa mwenzako, tengeneza wako. Ukilielewa hilo, 2025 haitakupa shida!
0 Reactions
18 Replies
928 Views
Nimekaa sehemu na watu makini wanabishana Katiba ilivyoathiri maisha yao na mimi nimepata cha kuuliza kwa wakuu humu. Binafsi nikijipima sioni jinsi ilivyoathili maisha yangu. Ninawajibika kwa...
11 Reactions
83 Replies
3K Views
Ndungu zangu watanzania, Rais Samia Amewateka watanzania,Amegusa mioyo ya watanzania, Amepanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania,Amewasha furaha katika mioyo ya wote, Watanzania Wana...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Mwaka 2019 ulipoanza ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mwabayanda kata ya Sukuma wilaya ya Maswa ,mkoa wa Simiyu wananchi walifurahi mno na kurukaruka kuwa mwisho wa adha ya kutembea umbali mrefu...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Wanafunzi 1,000 wanufaika na msaada wa vifaa vya shule vyenye thamani ya tsh. milioni 32 kutoka kwa Mariam Ditopile Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Dodoma. Mbunge viti Maalum Mkoa wa...
1 Reactions
10 Replies
797 Views
Back
Top Bottom